Search results

  1. J

    Jamani, nahitaji kujua 'Routing Numbe'r za CRDB kwa ajili ya Paypal

    Pole kwa kuchelewa kukujibu. Transfer inatoka wapi kwenda wapi?
  2. J

    Biashara mtandaoni tunakwama wapi

    Masokotz ndugu una chochote Cha kuongeza hapa
  3. J

    Msaada wa kuverify google admob akaunti

    Nenda kwenye office za sanduku la posta zilizopo karibu na wilaya yako au karibu nawe. Kuna sanduku la posta kwa mtu binafsi na kampuni. Nenda na kitambulisho chako cha NIDA, Mpiga kura na Barua kutoka serikali ya mtaa inayo elezea kuwa unahitaji huduma hiyo. Ambatanisha vyote kisha nenda kwenye...
  4. J

    Biashara mtandaoni tunakwama wapi

    Habari ndugu zangu, pole na uchovu wa siku nzima. Leo nimeona niwasilishe haya mawazo kwa ufupi, ili tuweze kujadili na kuweza kujua nini cha kufanya ili tuweze kuvuka hatua moja kwenda nyingine. Twende kwenye mada husika Kwa kipindi kilefu nimejaribu kupitia na chunguza biashara za...
  5. J

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Garama za SWIFT Transfer (Bank Transfer) ni kubwa mno kiasi kuanzia $10 - $700 ni $15. Kuanzia $701 na kuendelea wana charge 1.5%. Sasa hapo walio wengi ni ngumu kifikisha zaidi ya $700 labda uwekeleze pesa mpaka zifike $701 ndipo utoe kwa bank transfer. Njia ambayo huwa naona ni nzuri. 1...
  6. J

    Msaada Perfect Money deposit

    Nipo hapa kama unahitaji Perfect Money, Advcash, Skrill. Naira Bank Transfer (Nigeria Bank Transfer) Makato ni 25%
  7. J

    Computer4Sale Nauza Macbook Pro touchbar inch 13

    Ghalama za malipo hasa ya ushuru baada ya mzigo kufika zipo. Unaweza kuwasiliana na Mwl.RCT atakusaidia.
  8. J

    SWALI: Kati ya Shetani na Adamu nani alikuwa wa kwanza kuwepo duniani

    Mada hii iendelee jamani, maana naona Darasa zuri sana hapa kwa pande zote za dini.
  9. J

    Computer4Sale Nauza Macbook Pro touchbar inch 13

    Unaweza ukanipigia simu tukayajenga
  10. J

    Computer4Sale Nauza Macbook Pro touchbar inch 13

    Bei imeshuka kidogo Ml. 1.8
  11. J

    Computer4Sale Nauza Macbook Pro touchbar inch 13

    Karibu tufanye biashara, maelewano yapo
Back
Top Bottom