Search results

  1. M

    Gesi ya Mtwara na Rasilimali Nyingine: Maswali ya Msingi!

    Wana Mtwara wamejifunza wapi hayo????? Lazima kuna mahali ambapo wameona unufaikaji wa rasilimali zinazopatikana katika eneo husika. nafikiri tujadili "What went wrong?" katika ugawaji wa rasilimali zetu ambapo kimewafanya Watanzania wenzetu wa Mtwara kufiakia hapi.
  2. M

    Wizara ya nishati na madini kuwasilishwa leo hotuba yake

    wana jf, nipeni kinachotokea mtwara leo.............
  3. M

    Kikwete: Ravalomanana was revoluted!

    Watanzania tujiwekee utaratibu wa kujisomea, mbona ni neno la lawaida sana, wewe ulitaka asemaje?????????. Asante mwalimu wangu kwa kumuelimisha ili ajue kuwa hata kiingereza kina nyakati mbalimbali.
  4. M

    Siri nzito idara ya habari maelezo. Mh membe aanza kuhujumiwa rasmi

    Inaonekana hujui unalosema, kutosajiri magazeti siyo kipimo sahihi cha UDIKTETA, ni vema ukaomba msamaha kwa hilo.
  5. M

    Ni kweli Mhe. Deo Filikunjombe alichoma gari la serikali kwa makusudi?

    Dogo unaakili sana, hiyo ndiyo hoja!!!!!. Deo achome gari la serikali ili iweje???? Katika Wasifu wake hakuna mahali alipowahi kufanya kazi na akakabidhiwa gari la Serikali. Kwani MKURABITA ambako alifanya kazi kulikuwa na madreva ambao waliwaendesha. Hilo gari la Serikali ni la Wizara gani na...
  6. M

    Wasifu wa Deo Filikunjombe

    Licha ya hayo yote, Deo akiwa Jeshi la Polisi alifundishwa kukusanya habari za vitani na siyo za mitaani, Ni mtu makini na anajua anchokifanya kwa LEO na Baadae. Pindi anakazi ya ziada. Namshauri Aachane na Jimbo la Ludewa. Kwa Ushauri: Akishawishi CCM kugawa Jimbo ili apate Jimbo lake. Ila Napo...
  7. M

    Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    Tuandamane kukusanya michango ya kujenga shule ili watoto wenu tukasome na kuondoa ujinga badala ya kuandamana kwa upuuuuuuuuuuuuuzzzzzzzzzzzi, tumekosa elimu tuuuuuuuuuuuuuuuuu na mengineyo ni kisingizio. Huyo jamaa ingawa ni jamaa yangu, shule hana ndiyo yupo hivo............ Hivyooooooooooooo.
  8. M

    Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    Tuendelee kuombea amani, tunakushukuru kwa taarifa kwani kijijini huku hadi redio ndiyo upata taarifa za kweli, tupe zaidi.
  9. M

    Picha: Yaliyojiri Dar na kwingineko Oktoba 19, 2012

    Tujifunze kutunza AMANI, na tuongeze vita tukipambana na UJINGA, MARADHI NA UMASKINI. Ya Misri si mazuri hata kidogo
  10. M

    Kulipa bima ya gari na kuacha kulipia bima ya nyumba zao tatizo ni nini?

    Naomba wana JF mnifahamishe juu ya hili: Kwa Watanzania wanaomiliki vyombo vya usafiri kama magari, wengi wao na kama si wote wamelamika kilipia bima magari hayo ambayo kwa hesabu ya kawaida thamani yake huenda ikawa ni ndogo ukilinganisha na nyumba ambamo wanaishi. Thamani ya nyumba zao ni...
  11. M

    Watoto wa vigogo waiteka UVCCM!

    tusimsingizie Mungu Juu ya hili, ni vema tukatafakari na kutafuata tulipojikwaa. Hiyo ndiyo politics ya sisi Wabongo. ukipanda mahindi usitegemee kuvuna karanga. TAFAKARI ZAIDI.
  12. M

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Ndugu zetu wangapi wamepoteza maisha katika mgomo wa kwanza mbona hukusema kitu, leo Uli unajifanya kuongea sana, acha unafiki wa mawazo.
  13. M

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Kwa Mungu roho ya Mtu Masikini na Roho ya Mtu tajiri ni SAWA, Kwanini Roho ya ULI iwe ya pekee kiasi kwamba inahitaji maandamano ya nchi Nzima???????????????????????. Drsssssssss, mmetanguliza masilahi yenu mbele kwa kugharimu roho wa Watanzania maskini, Leo yanampata kiongozi wa migomo...
  14. M

    Wakuu wa wilaya waliotemwa...

    Hivi Wilaya ya makete ni nani vile? Ok, Alikuwa Kwikwega. naye kapigwa chini ili akasome nafikiri.
  15. M

    Chama cha madaktari (MAT) hakina uwezo wa kisheria kuitisha migomo

    Hukatazwi kudai haki yako, tatizo ni pale unapodai haki yako kwa kuhujumu maisha ya MTU ambaye hata thamani yake huijui kabisa. kwani hata hiyo haki unayoidai ukipewa utaipeleka wapi???????. au utarudisha maisha ya watu wanaokufa kwa sababu ya wewe kugoma baada ya kupewa haki yako...
  16. M

    Ludewa - Ufisadi wa kutisha ujenzi wa barabara

    . Umenifurahisa sana Mh. Naibu Mwanri, Big Up sana. Nimesikia unaratiba ya kukagua miradi ya Mikoa yote miwili ya Njombe na Iringa. Ni matumaini yangu utaibu mengi katika miradi mikubwa yote ya wilayani. Mzeeeeeee usikubaliane na ratiba waliyokupangia, watakuwa wamechangua miradi mizuri mitu...
  17. M

    Mwakyembe anasikitisha! Walaaniwe wanaohusika!

    Mungu Muweza wa yote Atatenda Miujiza ya Kumponya Mwakyembe. Amina.
  18. M

    Katibu mkuu kiongozi na kiatu cha Luhanjo

    Wanajamii nawauliza, Katibu Mkuu Kiongozi aliyeteuliwa sasa, atakiweza kiatu cha Mh. Luhanjo na timu yake iliyopo? au atahitaji kuipanga upya. na Kama ndiyo ni lini ataifanyanya kazi hiyo?? Maendeleo ni sasa na mabadiriko ya Ari mpya, Kasi Mpya na nguvu mpya ni sasa.
  19. M

    Bungeni: Ngonjera yaendelea! Wabunge waendeleza mipasho dhidi ya CHADEMA (Nov 17)

    Kwa Myafanyayo CHADEMA juu ya wananchi yanabaraka hata mbele ya Mungu, ndiyo maana mnasonga mbele, nahisi na kuamini kuwa mmebarikiwa kuliko vyama vingine. Msife moyo kwani wananchi tupo nanyi katika kila nyanja. Msikate tamaa, "wembe ni uleule" ambao CCM waliuanzisha kwa kuimba wakashindwa...
  20. M

    Mkataba mwingine wa kijinga: Liganga na mchuchuma

    Wahenga walisema, "Bora kukosa mali upate akili". Sina uhakika kama usemi huu ni wa kweli? kwani kwa kuingia mikataba ya haraka na yenye kuwanyonya Watanzania eti kwa kisingizio cha kupata 20% na meg.watt 300, na eti hakuna mkataba wa madini wenye asilimia kubwa kama hii, si hoja. Ukweli unabaki...
Back
Top Bottom