Search results

  1. Bolibo

    Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

    Pia kitukingine ambacho wamechemka sana nikitendo chakuonyesha route zote huanzia dar peke wakati kunamijimingi tu tanzania ambayo imeendelea na imekwishapewa hadhi ya kuwa majiji !!!!!!?
  2. Bolibo

    Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

    Bado sana tunahitaji route za mikoa yote tanzania tuzione hapo waache ujanja ujanja!!!!!!!
  3. Bolibo

    Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

    Wamechemka kwani nimikoa hiyo tu michache ndiyo wanatumia usafiri wabasi? wajipange upya bado sannah
  4. Bolibo

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Kwakweli ameizaririsha nchi !!!!
  5. Bolibo

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Wazifa wake ktk nchi ushaporwa na shetani.
  6. Bolibo

    Komandoo wa JWTZ Kikosi cha Ngerengere mbaroni kwa mauaji

    Na sasa si komandoo tena ni muaji !!!!
  7. Bolibo

    Kodi katika mishahara ya watumishi kupunguzwa

    Swali kwa huyo katibu? ameongelea kuhusu wafanyakazi wa uma wasijihusishe na siasa! na je analionaje hili la mawaziri kuwa wabunge! au katumwa kuja kufanya siasa za chinichini na kuwapiga mkwara wafanyakazi wa uma. Kwajili ya uchaguzi ujao wa 2015, asijidanganye huyo sasahivi kila mtu anaijuwa...
  8. Bolibo

    Nini Kazi ya Rais Kama hawezi kukemea kuonya au kuliepushia Taifa hasara?

    Wote ni walewale hapo hakuna wakumkemea mwenzie! nishidah kama mtanzania final ni 2015 tumia kura yako vizuri, kura yako ndiyo itakayo leta usawa ktk tanzania.
  9. Bolibo

    Mwigulu Nchemba Utawaua bure Maafisa ktk Halmashauri mbalimbali hapa Nchini

    Uko sawa nivema kwa mtu yeyote anapofanya jambo zuri ni vyema kupongezwa, ili kumpa moyo aendele kufanya vizuri zaidi.
  10. Bolibo

    Gharama kuunganisha umeme wa majumbani bure mwakani

    N hivi washazibiti rushwa tz. Kuunganishiwa meme bure, kwa nchi yetu hi bado sana! ni kama ndoto za alinacha sijuwi. Maana hi huduma ya sasa ya kuunganishiwa umeme ni yakulipia na watu tunalipia gharama zote za kuunganishiwa umeme, na bado hatupewi hiyo huduma kwa wakati, mpaka utoe rushwa ndipo...
  11. Bolibo

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete hoyee!

    Tunampongeza kwa kusikiliza malalamiko yalio ya wengi ukijumuisha na ukawa, na wengi tulilalamika kuhusiana na hu mchakato jinsi ulivyokuwa unaendeshwa ktk lile bunge la kuunda katiba mpya, kwa kweli lile bunge lilikuwa linaendeshwa ndivyo sivyo, kwamanahiyo sasa uamuzi alio chuwa raisi ni...
  12. Bolibo

    Rais Jakaya Mrisho Kikwete hoyee!

    Hao niwaharibifu tu hawana issue kaziyao kubwa ni kuvimbisha matumbo yaotu, na hawako kimaslahi ya nchi! na sasa ni kazi kwetu wa tanzania kuwatambua vizuri watu wa jinsi hiyo, na watu wa jinsi hiyo huruka yao kubwa ni unyonyaji.
  13. Bolibo

    Wengi ya wanaJF wameifanya Jamiiforums ni sehemu ya kujifariji

    Yeye ndiyo anajifariji JF huo ni utafiti mufirisi.
  14. Bolibo

    Kubadilisha fedha(renew) kunamaanisha kukua kwa uchumi?

    Kunahaja ya waziri husika kuja kutoa ufafanuzi kwa wananchi, maana serikari inawajibu wakutoa ufafanuzi huo kwa wananchi wake! wengi wetu bado hatujuwi ni sababu gani? zimepelekea serikari kubadilisha noti ya shiring miatano kuwa sarafu! wakati huohuo hili swala huwa linagharimu fedha nyingi...
  15. Bolibo

    Tetesi Nyumba imeungua Geita.

    Bado tunalifatilia, tuta wa juza tukisha pata ukweri ju ya hilo.
  16. Bolibo

    Serikali haiko makini na ndio maana watu wanaendelea kuangamia kwa ajali

    Mimi naunga mkono hoja, kuwa serikalri lazima ijipange kuzibiti hizi ajali barabarani! na serikari inajukumu la kuhakisha inakomesha kabisa hizi ajali barabarani, pia tunatakakuona serikari inachukua hatua stahika ktk kukomesha ajali barabarani. Na sisi kama wananchi tuta pima na kuona ni...
  17. Bolibo

    Mambo manne muhimu yatakayo ifuta CCM katiika ramani ya siasa nchini

    Narejea kutika kifungu namba moja: MAHAKAMA YA KADHI, hivi mbona hamuelewi nyie watu mmesha ambiwa hi katiba sio ya dini, hi katiba niya nchi nasi ya waislamu, kwamana hiyo basi kama hao wajumbe watatoka nje tutawashanga! na tutajuwa wazi kwamba kumbe lengo lao kuu ilikuwa nikupeleka sheria za...
  18. Bolibo

    Bunge la Katiba limepoteza mvuto

    Kwani wewe usichokielewa hapo ni nini? wewe ndiyo hatukuelewa! jama mbona katoa maelezoyake vizuri tu na ameeleweka wewe tu ndo huja muelewa!
Back
Top Bottom