Search results

  1. Possibles

    Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Kama wewe ni mwanaume basi tambua unatakiwa kutumia akili yako kwenye suala hili. Kama wewe ni mwanamke basi tambua unatakiwa kutumia hisia katika suala hili.
  2. Possibles

    Waliowahi kupotelewa na ndugu au mtu wa karibu mje mtupe experience

    Huu uzi si mchezo. Una habari za kutisha.
  3. Possibles

    FT: Azam FC 2-1 Yanga SC | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | 17.03.2024

    All the best My Team Young Africans. Boli litatembea leo an Azam atapigwa zinazomtosha.
  4. Possibles

    FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

    Mnaofuturu baadae mfuturu vya kutosha mpate nguvu ya kuwashangilia Wananchi.
  5. Possibles

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Namna hii. Mpaka jasho linatoka. We have lost this life
  6. Possibles

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Thanks. Nilisahau hii.
  7. Possibles

    FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

    Nashauri GEITA GOLD wajichagulie wenyewe tuwapige goli ngapi leo.
  8. Possibles

    Biashara ya Night Club Dar imekufa?

    Binafsi kizazi cha sasa naona kama haki-enjoy kabisa. Watu wanakaa tu pub wanatandaza beers na pombe kali nyiiiingi, no dancing ni kutikisa vichwa tu na kushikashika warembo. What a lazy life!? Kipindi hicho unakula bia mtaani ikifika saa sita mnahamia club huko hata ukitaka kuongea labda...
  9. Possibles

    FT: Yanga SC 5 - 0 Ihefu SC | NBC Premier League | Azam Complex | 11.03.2024

    GAME ON. COME ON CHAMPS YOUNG AFRICANS🟩🟨🟩🟨💪💪💪💪💪
  10. Possibles

    FT: Namungo FC 1-3 Yanga SC | NBC Premier League | Majaliwa Stadium | 08.03.2024

    Kila la kheri chama langu, chama la Jangwani, chama la ushindi.
  11. Possibles

    Falsafa ya Gamondi: Football is a show game (An Art) bado kuna Mtu ana swali?

    Kwa mujibu wa kauli ya Gamondi basi watakaobishia huu uzi ni wale wasiopenda mpira.
  12. Possibles

    Umewahi kufanya kazi gani yenye hatari kubwa ambayo kidogo ikutoe uhai?

    Viwandani kuna mambo mengi ya ajabu yanaendelea huko. Hata mtu apaze sauti vipi hayafanyiwi uchunguzi maana viongozi wakienda wanapewa chochote kitu wanakaa kimya.
  13. Possibles

    Niliwaambia tumieni tu CCM Mkwakwani au Sheikh Amri Abedi Kaluta na msithubutu kwenda CCM Kirumba mkanipuuza acheni sasa yawakuteni

    Teh Teh Teh....mwanasikba pekee ambaye hajalaumu referee. Nakuelewa sana reasoning yako very objective. Simba ilikuwa mwenyeji wa hii mechi hivyo ilikuwa busara kimbinu kuchagua uwanja ambao wana influence nao kubwa. Sijui aliwashauri nani kupeleka mechi Kirumba. Labda kwa kuwa RC Makala yuko...
  14. Possibles

    Hakuna winga hatari kwa sasa katika ligi ya NBC kama Kipre Junior kutoka Azam FC

    Ukweli ni kwamba Azam kwa sasa wamejipata. Kipre, Sillah, Msindo wako on fire balaa. Bajana mzee wa mishuti, Yahaya Zaydi na Feisal wanatakata sana pale kati.
  15. Possibles

    Ushauri kuhusu uchaguzi wa godoro bora

    Ahsante kwa huu uzoefu wako
  16. Possibles

    Ushauri kuhusu uchaguzi wa godoro bora

    Mimi pia nilishajipanga kununua VITA SUPREME nilishauriwa kuwa haliumizi mgongo. Sasa hawa wamekuja na hoja za Tanfoam wananichanganya hapa. Ngoja niendelee kusoma comments za waja.
  17. Possibles

    Mambo muhimu niliyojifunza katika maisha yangu ya kuajiriwa

    One of the best threads kwa kufungia mwaka.
Back
Top Bottom