Kama kweli chanzo ni kupigwa chini ndio ujinyuongee, ni bora wafe waishe kwani hata hivyo kwa sasa ardhi yetu haina rotuba ya kutosha hivyo vifo vya fedhea kama hivyo kwetu ni faida sana kwani mbolea itaongezeka kwenye udongooooooooo!!!!!!
Mimi nakushauri kama kweli unataka kusoma ili ujue vizuri kazi yako, nenda vyuo vya tech kama DIT huwa ndio vinztoa zao la ukweli. Lakini kama dhumuni lako ni kupata theoretical degree nenda kwenye hizi University zetu za ndani ya Nchi.
Kwa mara ya kwanza ya kwanza leo nasikia kuwa SUA kafa wa kike even though kajinyonga, huwa hapo SUA walikuwa wanakufa wanaume tuuuu!!
Inawezekana zile slides za akina Prof Kasuku na mwenzake Prof Silayo zimemuuumiza huyu mdada kisha kaona haina maaana yeye kuendelea kuishi huku Physiology na...
Umeleta wazo la msingi sana, ila nakushauri uende ukasome vizuri kabisaa kiatabu cha Falsafa na Usanifu wa Hoja kutoka kwa Wayunani hadi Watanzania (Waafrika) kilichoandikwa na Dk Adolf Mihanjo hapo ndipo utajua ya kwamba waafrika tuna falsafa au hatuana.
Mimi wasiwasi mkubwa ni kuwa hii mitaihani ipo chini ya mkaguzi mkuu wa Elimu Kanda, na hawa huwa wanashindana ni yupi kafaulisha sana ni yupi kafelisha sana hivyo itakuwa ni rahisi sana kwao kuanza kuchakachua matokeo kwani kila mmoja hatotaka kuwa nyuma ya mwenzake.
Hivyo nitoe ushauri wangu...
Wahenga walisema 'Amlipae mpiga nzumari ndio huchagua wimbo' Mara zote kuendisha taifa kwa kutegemea misaada sio jambo zuri kwani hata misaada yenyewe anayekupa ndiye atakayekuchagulia kipi cha kufanyaia na kipi sio cha kufanyia na mara zote waliopo juuu huwa hawataki kufikiwa na waliopo chini...
Wazo lako ni zuri sana mwanajamii mwenzetu, lakini tatizo ni kwamba Mbwa mzee hafundishwi kubweka!! kwa uelewa wangu mdogo hakuna eneo ambalo lina watu wenye fikara finyu katika swala la ndoa kama wanafunzi wa vyuo vikuuu!!
Tatizo linalowakumba ni kudharauliana palepale chuoni, na hata ukimtaka...
Kama kweli hawa waalimu wangeamua kufuata ushauri wangu wa Mei mosi ya mwaka 2008, wa kuomba kwamba hiki chama tukibadilishe kiwe chama cha siasa hapo mafanikio yangekuwepo!! lakini hivi hivi huwa gari la kuvutwa haliovertake! Lakini kama ni kweli kuna tawi jipya limeibuka ndani ya CWT itakuwa...
Miongoni mwa kazi mbaya duniani ni zile ambazo hazina MASALIA, kuna vijana wengi sana najua wanakuja kwenye wizara ya Elimu wakiwa wametokea directly from University & Colleges huwa wanakuwa na mitazamo mikubwa sana juu ya hii kazi, but If you want to know how to swim you must jump into the...
Nilivutiwa sana na tittle ya thread yako, ila kitu kilichonishtua ni haya madudu uliyoandika humu!! Mimi nahisi wewe sio mwalimu wa kufundisha wanafunzi wa darasani, ila unaweza ukawa mwalimu wa kijiwe cha wahuni tuuu!!
kama kweli hizi takwimu zina ukweli ndani yake, itabidi hadi huku kwetu kwenye elimu nako kuwe kuna board ya kuwatungia waalimu mitihani ili angalau tuondoe hawa abrubakacha kwenye elimu.
Ni bora tungeondoa uhuru wa Mavazi kwenye hii Nchi, kwani hali ni mbaya sana!! Hawa dadaz kwa sasa ni balaa, hata kama ana miguu iliyopinda kama ya Mbwa wa Parokiani naye utamkuta na mavazi ya ajabu kweeeelii!!!
Mbona kwa hizo pass akiomba Chuoni moja kwa moja anapata, labda ungeweka wazi kuwa amesoma combination gani!!! Na ni vyema hata kama ataomba kupitia TCU ajaze zaidi vyuo vya private kwani wanaweza kumchukua. Lakini kwenye swala zima la open University mimi siungi mkono hoja kwani kuna jamaa...
Wewe kaa ukijua ya kwamba Wanafunzi wa UD, Wanajua kupigania haki zao za msingi. Na vilevile UDSM wana utawala mzuri sana, kuanzia Serikali ya Wanafunzi hadi wamiliki wa chuo.
Sema tatizo la Nchi kama ya TZ ni kukosa utawala wa sheria na kutoa updates kwa wananchi, Kwa kweli tumesikia kupitia baadhi ya vyombo vya habari kuhusu hili swala ila jambo la kusikitisha nimkwamba adhabu waliyopewa niu ndogo sana wala haiendani na kosa walilolifanya. Hivyo ingetakiwa angalau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.