Search results

  1. W

    Waziri Mkuu: Tutakuwa tunatumia Kiswahili kwenye mikutano ya kimataifa, tutaajiri wa kututafsiria

    Nimependa comment yako mkuu, wakichanganyana tu itaonekana wengine wanaogopa kiingereza nadhani wawe na msimamo mmoja
  2. W

    Type of Men/Husbands And Their Characters

    Nasali nipate mwanaume mwenye msimamo na pendo lake, aweze kusimama imara na kutetea pendo lake hata kama unatokea mtihani mkubwa wa aina gani katika penzi, mwenye uelewa na huruma juu ya hisia za mwenza wake, hizo characters nyingine zaweza kuwa imaginary, in reality sifa zingine zinakuwa za...
  3. W

    Wema vs Lulu

    Napita tu........
  4. W

    Wema, diamond... Hakuna ndoa

    Kwani tatizo nini jamani?imekuwaje mpaka wametibuana?
  5. W

    Diamond na Pete ya uchumba kwa Wema

    Kila shetani na mbuyu wake mwaya!go head and prove them wrong...you will make a nice family!me i loved ur deep kisses cku ya bthday, aisee raha ya mapenz kujiachia, acheni wanafki wachonge na waombeeni maisha marefu waone success zenu na ndoa yenu, all the best wema and diamond!i love to see...
  6. W

    Wanaume tuwe wasafi jamani!

    Basi sisi wapanda daladala ndo tunakoma!kuna madume inanuka vibaya!jana nilikuwa kwenye daladala, mwe!nusu nizimie, mtu anatema harufu kama guruwe!tukafungua madirisha yote lakini wapi!ful ku suffocate!!wanaume wenye tabia ya uchafu muache jamani!hv hata mwana mke atakukiss vipi kama hali...
  7. W

    Wanaume tuwe wasafi jamani!

    Basi sisi wapanda daladala ndo tunakoma!kuna modume inanuka vibaya!jana nilikuwa kwenye daladala ya mwenge chuo, mwe!nusu nizimie, mtu anatema harufu kama guruwe!tukafungua madirisha yote lakini wapi!ful ku suffocate!!wanaume wenye tabia ya uchafu muache jamani!hv hata mwana mke atakukiss vipi...
  8. W

    Facebook imekuwa sumu kwa wapenzi wengi, muwe makini inavunja mahusiano ya wapendanao

    Fb, fb, fb!imejaa umbea tu..its a stupid world, i dont like it..
  9. W

    Akina dada acheni hizo bana! Mnaboa sana sometimes!

    Wote wale wale, ngoma dro lol!
  10. W

    Demu anapenda sex phone

    Kama yupo mbali nawe it sounds better kama mpo jiji moja halaf ndo hivyo mh kuna walakini..
  11. W

    When a woman love.....

    I hate pretenders like you!!!be real!if u dont love her then let her go, wewe unatamaa na zawadi zake na jinsi anavyo ku handle, waache wanaostahili wapewe penzi, u are not real!!i dont like you pretender, i can be in her shoes..its very bad to play with other people's feelings..be honest...
  12. W

    Tanzania: Crisis kubwa inakuja

    Kwakweli hali mbaya, hii mada imenigusa sana..wasomi wengi wanakuwa hopeless...hata hiyo elimu inakuwa haina maana kama mtu anavyeti kibao halafiu vinakuwa kama mapambo, inasikitisha sana, hebu tusaidiane kukabiliana na hili jambo maana hali mbaya sana..
  13. W

    Pro-CHADEMA wengi ni mbumbumbu wa siasa?..Let me Teach you once for all-freely

    Ni kupasuana vichwa bure, hata vyama vibadilike mara saba sabini, ije chadema, chademana, cuf, cufuana, ibaki ccm au ccmua watu kula kupo palepale, watu wanaongea tu..hakuna mtu asiyeingia kwenye system akaacha kula yeye kwanza, mimi naona wengine humu 'ndo wale wale tu" hakuna mtu kila kukicha...
  14. W

    Kipindi cha DK 45 cha ITV ni mdomo wa serikali?

    Selemani semunyu kazi kwako!!bullet ushauri wako mia kwa mia!
  15. W

    Watanzania Wengi ni Wavivu? The Moment of Truth!

    Kabisa, mwambie mwambie, kama hana la kusema anyamaze, ahlah!!
  16. W

    Baadhi ya Watanzania Waishio Marekani wampongeza JK

    Mh!kaazi kweli kweli..mtanzania wa kawaida ambaye hata shule ni mungu asaidie, hatoweza kuelewa alipo, wala anapoelekea maana tunayumbishwa na vyombo vya habari regardless ni old media or new media like social media. Hawa wanasema hivi wale vile, wengine hawaelewi which is which, sometimes i...
  17. W

    Anaomba ushauri..

    Hajaolewa, ni binti mkubwa anakaribia umama, si ndo hivyo nilisema hapo juu kuwa wachumba hawakai nae,akipata mchumba anampiga chini, sababu zisizo eleweka, cyo kwamba hajatulia katulia sana tu ila anabahati mbaya..
  18. W

    Wageni mnaoingia Zanzibar kuweni makini na hili...

    Kabisaaa..hao kama wanaona ulevi noma mbona kuf***na hawaoni noma!
Back
Top Bottom