Search results

  1. A

    Natafuta Subaru Impreza iliyopata ajali

    Habari Wakuu! Nina uhitaji wa gari iliyopata ajali subaru Impreza model ya mwaka 2008-2010. Kwa mwenye salvage ya aina hiyo ya gari tunaweza kuwasiliana.
  2. A

    Dodoma: Naibu Waziri wa TAMISEMI Festo Dugange apata ajali akiendesha gari

    Mkuu, TIRA sio shirika la bima bali ni mamlaka ya usimamizi wa shughuli za bima nchini, NIC ndio shirika la bima la taifa.
  3. A

    Mafanikio ya Utawala wa Jakaya Kikwete ndani ya Miaka 10

    Kifafanue hicho kitu ukireflect na orodha ya mtoa mada.
  4. A

    Uchaguzi 2020 Karatasi za kupigia kura katika uchaguzi wa mwaka huu zitachapishwa humu nchini au zitatoka nje ya nchi?

    Ni mmoja ya washitakiwa katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mh. Tundu Lissu,pamoja na Mhariri wa Gazeti la Mawio, Simon Mkina na Jabir Idrisa. Pengine hii tender wamekuwa awarded kwa makubaliano ya kazi pasipo malipo in exchange ya wao kufutiwa mashtaka. Kwani uhusika wao katika kesi ni kwa...
  5. A

    Mr. Kuku afikishwa Mahakamani akikabiliwa na mashtaka saba ikiwemo kufanya Biashara Haramu ya Upatu kwa kukusanya bilioni 17

    Huyu dogo ni tapeli,si ndio huyuhuyu aliwapiga hela watu katika mradi wake wa kukopesha kupitia mtandao wa L-PESA?
  6. A

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Huyu ni tapeli,si ndio huyuhuyu aliwapiga hela watu katika mradi wake wa kukopesha kupitia mtandao wa L-PESA?
  7. A

    Huduma ya kupandikiza mimba Muhimbili

    Pole sana, kwa ninavyo fahamu DAR IVF wanatoa hizo huduma na kuna watu kadhaa ambao ninawafahamu binafsi wameshapata hizo huduma kupitia hicho kituo. Jaribu kuwatembelea au uwapigie simu ili upate taarifa zaidi.
  8. A

    Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    Tokea awali nilipatwa na hisia hii inawezekana kuwa ni stunt ya kishamba ya kutafuta publicity na kwa asilimia kubwa alifanikiwa kwani "alibreak the internet" siku alipoweka wazi kwamba amekuwa anakuwa physically abused na mumewe,watanzania wasishangae wakimuona na mavazi ya kijani na njano...
  9. A

    Kuna athari gani za kiusalama kupiga picha kwenye pantoni Feri?

    Itakuwa pia ni njia ya kuepuka lawama iwapo chombo kitapata ajali halafu ibainike kwamba chanzo ilikuwa ni uzembe wa TEMESA kwa kubeba abiria kuliko capacity ya chombo. Overloading bado imekuwa ni kizungumkuti katika sekta ya usafirishaji abiria katika nchi hii.
  10. A

    Msiba wa Jasusi Agustino Mahinga umetufundisha mengi. Kuna mambo mengi ya kufanywa na Diwani Athumani

    Unaweza kuwa una taarifa ila zikawa sio taarifa sahihi.Mimi binafsi nimeuguza mzazi wangu katika ICU ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute mwaka 2014 na taasisi ilikuwa inafanya kazi na mpaka surgeries zilikuwa zinafanyika kwa wakati huo. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. A

    Nimepoteza hamu ya kufanya mapenzi. Ushauri wako tafadhali

    Mkuu jitahidi kulala kwa muda unao shauriwa na wataalamu, kula vyakula vyenye madini ya zinc,kula matikiti maji,ndizi, parachichi, almonds,tende,mtindi,mchanganyiko wa asali na mdalasini.Ikigoma bado rudi hapa tukushauri supplements za kutumia. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. A

    Bei ya kivuko cha daraja la Kigamboni zapandishwa ghafla kipindi hiki cha korona, kutoka 1500 kwa gari Dogo hadi 2000

    Mkuu gari yako ni gari gani? Issue wanayoangalia ni kama kwenye kadi inasoma STATION WAGON wewe utalipia Tshs 2000, kama gari yako inasomeka kama saloon kwenye kadi utalipia Tshs 1500.Sasa haya mabadiliko yanayo zungumziwa hapa ni kwa wamiliki wa saloon cars kuanza kutozwa Tshs 2000 badala ya...
  13. A

    R.I.P Gene Deitch (creator of Tom and Jerry)

    R.I.P Sent using Jamii Forums mobile app
  14. A

    Gazeti la Mwananchi online lafungiwa miezi sita na kulipishwa faini milioni 5 kwa kupotosha

    Usiongee vitu usivyo vijua. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Wanawake, Wakati wa kusex ni mambo gani huwa yanawakera kutoka kwa wanaume!

    Kama unajiamini na hali yako ya usafi na mwenzio yuko comfortable kukufanyia hiko kitendo,sidhani kama kuna shida yeye kukukiss. Sent using Jamii Forums mobile app
  16. A

    Kuna taarifa kuwa kampuni ya AVIS Tanzania nayo imefunga biashara na sasa inauza magari yake

    "Watu wangu wana angamia kwa kukosa maarifa". " Mtafute ELIMU usimuache aende zake". Sent using Jamii Forums mobile app
  17. A

    Kuna taarifa kuwa kampuni ya AVIS Tanzania nayo imefunga biashara na sasa inauza magari yake

    Swadakta, basi jitahidi nawe kuwa unachanganya na zako.Hayo ya kusema "fulani alisema" ni kiashiria cha kwamba umetosheka na kuridhika na kauli za huyo fulani kwamba ni sahihi kwa 100% Sent using Jamii Forums mobile app
  18. A

    Kuna taarifa kuwa kampuni ya AVIS Tanzania nayo imefunga biashara na sasa inauza magari yake

    Akili za kuambiwa....? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom