Search results

  1. mkale

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    maneno kama vile mhanga ,mwathirika ,rindima na zizima huwa mara nyingi yanatumika ndivyo sivyo.
  2. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kuchukua ni lazima ujipange ndio na ndipo niliposema kwa msimu ujao kama huu hatpata chochote.. excuse yake itakuwa ni ubingwa wa EPL ama mashindano ya ulaya na si vinginevo. ikishindikana itabidi afanye kama xavi.. unkaa pembeni.. mwingine anakuja kuendleza pale ulipoishia.
  3. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    msimu huu imebaki EPL pekee ;arteta hata kama akiikosa tena auchukulie huu msimu kama somo na uzoefu kupata ila kashajitengenezea mazingira magumu ya kupewa tena muda zaidi kuendlea kubaki arsenal mana kitakachotizamwa ni ubingwa wa EPL ama mashindano ya ulaya na si kingine kwa msimu ujao.
  4. mkale

    Je, ni sahihi baba kuwanunulia binti zake nguo za ndani hata kama watoto hao wako sekondari na vyuo?

    mtoto wa kike ata kumuogesha tu kama wewe ni baba.. haitakiwi akivuka 4 yrs.
  5. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    arteta ndio wakulaumiwa zaidi kwa matokeo haya..
  6. mkale

    KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    soko kama lina uongozi ,uchukue hatua ama uwajibishwe kwanza.
  7. mkale

    Kwanini Watutsi wa Congo wasichukuliwe kama Wamasai, Wakurya au makabila mengine ambayo yako mipakani?

    watutsi kiasili ni jamii ya wafugaji.. hawakai sehemu moja daima.
  8. mkale

    Rwanda Yafanikiwa Kuishawishi Jumuiya ya EAC Kuadhimisha na Kuitambua April 7 Kama Sikukuu Rasmi ya Maadhimisho ya Mauaji ya Halaiki Kwa Watutsi

    inasemekana kuwa watu wapatao laki nane waliuawa ,wengi wao wakiwa watutsi ,lakini wakiwemo pia wahutu wenye misimamo ya wastani..
  9. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    second leg ikiwa bayern watacheza kama walivo cheza jana.. kutakuwa hakuna haja ya kuanza na mchezaji aina ya kai pale mbele ;panahitajika mchezaji aina ya jesus.. mana sikuona wakifanya pressing sana kwa arsenal. upande wa defence ikiwa sane bado atatokea kulia kama jana.. inahitajika beki ya...
  10. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    david raya mchezo wake wa kutoka sana leo tena umechangia kufungwa goli la kwanza.. sijui jamaa anawazaga nini yani kuliacha lango lake mbali vile.
  11. mkale

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    pochettino msimu ujao.. anapaswa kupewa mechi 10 tu za mwanzo kuweza kujua kama kuna progress yoyote hasa kwenye patterns of play.
  12. mkale

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    diaz mtu sana.. mule kuna mchanganyiko wa mane kwenye upande wa kujituma uwanjani pamoja na neymer jr upande wa samba soccer. nunez yeye apunguze utoto tu ila ni forward ya hatari sn pia.
  13. mkale

    "likes" za taarifa mbaya katika mitandao ya kijamii humaanisha nini?

    ni kutokuwa na uelewa kwamba ina maanisha nini unapo like a comment.
  14. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    kwa mechi zilizobaki.. wachezaji wote ni wa muhimu na hawapaswi kukosekana iwe ni kwa injury ama suspension.
  15. mkale

    Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    sidhani kama urefu ni ishu sana kwenye suala la acceleration.. usain bolt kamzidi kai urefu ila ni fastest athlete. mchezaji kunyumbulika mara nyingi inakuja na kipaji.. kanu alikuwa mrefu ila wote tuliona uwezo wake.
  16. mkale

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    yhaa! palmer ni kipaji kile na ana room ya ku improve.. pep nahis pia hajajiskia poa sana kuondoka kwake.
  17. mkale

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    jitahidi kuangalia mechi nzima na sio matukio peke yake.. palmer sikatai ni mchezaji mzuri na mwenye kipaji ila tukizungumzia all-round play.. kwa kile kinachoonekana uwanjani na tukaacha ku base sana na stats ambazo wkt mwingine hazina uhalisia kamili.. at present ,saka bado kamzidi palmer...
  18. mkale

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    sio washinde tu peke yake pia matokeo kwa upande wa bayern munich ni afungwe ndio leverkusen watakuwa mabingwa. au leverkusen ikitokea aka draw mchezo unaofuata na bayern munich nae aki draw ,basi leverkusen pia watakuwa mabingwa apo.
  19. mkale

    Singularity microfinance

    nakushauri ukipata wee walipe tu mana walisemaga dawa ya deni kulipa kama unaona kero kudaiwa.. vinginevyo utaishi kama digidigi.
Back
Top Bottom