MUHIMU: Ofisi ya Mbunge wa Ubungo inapenda kuwataarifu Mawakala wote wa MABADILIKO nchini kuwa tarehe 21 Julai, 2013 siku ya jumapili kuanzia saa 8 Mchana kutakuwa na MKUTANO MKUBWA WA HADHARA utakaoongozwa na Dr. Willbroad Slaa, John MNYIKA(Mb.) pamoja na Madiwani wa CHADEMA wa Mkoa wa DSM...
Hi ni hatari, lakini ni kawaida kwa nchi changa kama yetu kwa Wamerikani kufanya hivyo, lakini Rais wao akifanya ziara China kila kitu atapangiwa na serikali ya China kwani ili ni Taifa kubwa.
Viongozi wengi wa Africa wameshindwa kutumia raslimali tulizonazo kwa ajili ya kujikomboa kutoka katika Umaskini, Ujinga na Maradhi bali wamebaki kuomba misaada toka ughaibuni na kuendeleza familia zao na kusahau majority ya watu wanaowaongoza, inatupasa sasa tuchukue hatua juwawajibisha ili...
CHADEMA now is a strong institution which suspect to take power at anytime..ni chama ambacho kina mipango inayotekelezeka na yenye malengo ya kuwakomboa Watz, hakika TUTASHINDA na UKWELLI utafahamika tu!
"...Mkuu nakubaliana na wewe kwa 100% ni kweli kabisa Taifa letu sasa linapoteza muda mwingi kujadili UDINI wakati kuna matatizo mengi ambayo yanahitaji ufumbuzi....Tuache kujadili mambo yasiyokuwa na msingi ktk mustakabali wa nchi yetu bali tutumie muda mwingi, raslimali tulizonazo na nguvu...
"..Watz wa sasa sio wale wa mwaka 1947, leo wanauwezo wa kutambua ukweli na uhongo..hakika hauwezi kuwadanya kwa vitu vidogo kama CCM wanavyovikilia leo.."
Ni kweli kwa mujibu wa sheria za nchi yetu askari yeyote yule haruhusiwi kujiuhusisha na siasa, na ni hatari kubwa sana kama majeshi yetu yatashabikia siasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.