Search results

  1. M

    V.V.U na Upimaji wake (Coincidences)

    Mkuu nimekuPM...
  2. M

    Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Tizeba apelekwa Kilimo na Mifugo

    Jimbo lipo Wilayani Sengerema mkoani Mwanza
  3. M

    Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    laiti pesa hizo wanazotumia kuwanunua wapinzani wangezirudisha kwa wananchi kwa kuzielekeza kwenye miradi ya maendeleo, hakika nchi hii isingekuwa hapa ilipo leo
  4. M

    Tundu Lissu akataa kununuliwa ili awasaliti UKAWA na CHADEMA

    ...uko sahihi mkuu, huwez shindwa walipa watumishi kwa wakati kwa kuwekeza pesa mingi kudhoofisha upinzani! wanatakiwa wadhoofishe upinzani kwa kutatua kero/changamoto zinazowanga wapira kura/wananchi!
  5. M

    Mulongo: Sijawahi kutuma ujumbe wa vitisho kwa Lema

    Hakika hauko sahihi mkuu.....nikikumbuka jinsi kiti cha spika kilivyotamia ushahidi/uthibitisho wa waziri mkuu kuongea uongo bungeni, Lema hawezi kuongea kitu/jambo ambalo hana ushahidi/uthibitisho nalo hivyo basi jamaa hana hata chembe ya uongo
  6. M

    Lipumba: Aslimia 75 ya wakazi wa Dar ni maskini wa kutupa!

    Uko sahihi mkuu, wafanyakazi wana hali mbaya sana kiuchumi..... Salary kuchelewa cku 3 familia nyingi zitaumia mwana ukweli uko hivyo
  7. M

    Lipumba: Aslimia 75 ya wakazi wa Dar ni maskini wa kutupa!

    Kikulacho kinguoni mwako mkuu..... Nowdays tuko na mkoloni mweusi ambaye ni mbaya kuliko yule wa siku zile, maana hawa jamaa tulio nao sasa wanatunyonya mpaka tone la mwishooo!
  8. M

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Mkuu inaonekana hujielewi waongea vitu gani? Kwani Kiwia kalichukua jimbo la Ilemela kutoka mikononi mwa nani? 2010 Kwa mkono wake Diallo alisaini kukubali matokeo kuwa Kiwia ndio mbunge wake wa Ilemela
  9. M

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Mkuu unaifahamu vizuri shughuli ya kilimo au waropoka tu? Kilimo sio kazi rahisi kama unavyofikiria! Ndani ya nchi hii, huwezi kulima popote na zao lolote kwa kipato unachokitetea hapo juu!
  10. M

    Naunga Mkono Bajeti Wakati Jimboni Wanaharibu Mali Zako Ni Sawa?

    mkuu huko tuendako si ajabu kusikia hivi Ang'olewa meno kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake. Wanaopigiwa kelele wabadilike kutokana na udhaifu wao kiuongozi wakigoma KUBADILIKA, wapiga kelele uamua KUBADILIKA wao kwa kuacha kupiga kelele na kuchukua hatua kwa vitendo..... Ni hatua tuliyofikia...
  11. M

    Naunga Mkono Bajeti Wakati Jimboni Wanaharibu Mali Zako Ni Sawa?

    Mkuu huko tuendako sio ajabu kusikia hivi Ang'olewa meno kwa kushindwa kutekeleza ahadi zake. Hahahahahaha na kwa kulipwa mamilion ya kodi za wananchi bila kufanya shughuli/kazi lengwa ya kutetea maslahi mapana ya mabosi/waajiri wake ambao ni wananchi
  12. M

    Wadada, Hii ni style gani?

    Mkuu imekupagawisha nin? Ngoja walengwa waje kukujibu
  13. M

    Je kuwa na mpenzi lazima muoane?

    Sio lazima mkuu ingawa wote wanaingia kwa mahusiano wakitegemea hayo matokeo! Mkishawekana karibu mnapata wasaa wa kujuana kiundani zaidi, kujuana huko ndio kutapelekea maamuzi ya aidha kuoana au kutokuoana!
  14. M

    Kina dada, kwani kuolewa ni lazima?

    Hahahahahahaha mkuu umenivunja mbavu
  15. M

    Mimi tena wanaume basi!

    Kabla ya kulaumu wanaume jitathmini kwanza, usikute wewe ndio tatizo la kutemwa! Angalia unakosea wapi, rekebisha makosa hayo utapata mwanaume utakayejiweka daima
  16. M

    Kikwete: Sijashindwa kuiongoza Tanzania!

    Tukionacho ni bora maisha na sio maisha bora kama alivyoaminisha wananchi, anang'ang'ania majukumu ambayo hayawezi hata robo kwani uwezo wake uko chini mno
  17. M

    Wabunge hawa hawatarudi Bungeni 2015

    Tuwekee vigezo ulivyotumia ambavyo vimepelekea wewe kufikia hitimisho lako...
  18. M

    Watanzania hatuaminiki hata kidogo???

    mkuu hauko peke yako, wengi wetu hatujivunii bali tunavumilia tu kama wewe..........
Back
Top Bottom