Search results

  1. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Ni kweli mkuu, atapata wateja wengi sana
  2. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Elia nimemsoma mkuu ni noma sana, ila bei si mchezo..sofa miln 8 duu
  3. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Direction mkuu au namba yake
  4. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Thanks, ana vitu vizuri sema bei yake sio mchezo
  5. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Asante sana Mkuu, ukipata namba yake naomba mkuu
  6. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    sasa gharama ya kusafirisha mpaka dar mkuu, itakuwa kubwa sana
  7. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Nimeshasema nipo Dar es Salaam Mkuu
  8. K

    Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa

    Ila kuna wengine hawajitangazi hawapo instagram mkuu
  9. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Asante kwa angalizo.. nipo Dar es Salaam. Nikipata namba nitashukuru mkuu
  10. K

    Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa

    kiongozi, kuna kampuni nzuri wengi wamejitangaza Istagram na mapicha ya kazi zao. Moja hipo Keko na nyingine Tangibovu Nashukuru sana mkuu
  11. K

    Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa

    Hello wandugu.. Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe pls nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje. Ahsanteni.
  12. K

    Natafuta watengenezaji wa sofa seti za kisiasa za leather

    Hello wandugu, Natafuta watengenezaji na wauzaji wa sofa za kisasa zilizotengenezwa kwa leather kwa matumizi ya nyumbani. Bei iwe reasonable. Mwenye namba ya muuzaji au anayetengeneza mwenyewe please nijulishe. Nahitaji zilizotengenezwa vizuri zinazobonyea, kama vile zimeagizwa kutoka nje...
  13. K

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Naombeni msaada wa mawazo. Mimi ni mwanafunzi nimemaliza mwaka juzi nimepata pass (gpa ya 1.3). Ningependa kwenda kusomea nursing nimeshahangaika sana na ndugu zangu wamehangaika bila mafanikio. Naombeni msaada wenu wa mawazo wa chuo na course yeyote ile ili niweze kusonga mbele. Asanteni sana...
  14. K

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Mimi nina shida. Naombeni msaada wenu wa mawazo. Nimemaliza form four mwaka juzi nina pass ya 1.3. Ila ninataka nikasomee uuguzi, naombeni msaada wenu nifanyeje. Nimeshahangaika sana na ndugu zangu wamehangaika bila mafanikio. Ninahitaji kusoma, hata kama sio nursing hata course yoyote ile ili...
Back
Top Bottom