Search results

  1. backry

    Bakwata, Basuta Walaani DC Kuvuliwa Hijabu

    Inaonekana watu wengi wanazungumzia suala hili bila upeo wa kina juu ya uislam na misingi yake.Ujue uislam ndio uchangie mada kama hizi sio kukurupuka ......Huu sio ushabiki wa ccm na chadema......Kuheshimu imani ya mwingine ni kuheshimu na kuujali utu wako.
  2. backry

    Rostam amgeukia Nape Nnauye

    Kutumia wataalamu wa uongo kuuficha ukweli hakumaanishi kwamba ukweli utapotea bali ni kama kutoa majibu ya uongo kwa mgonjwa ambapo ugonjwa ukidhihiri hata asiye mataalamu atabaini mgonjwa yu taabani......na hatutohitaji tena utaalamu katika kubaini ukweli ...
  3. backry

    Eti ni kwanini?

  4. backry

    Toa mawazo yako kuhusu hili

    , [/U] [/B][/COLOR]Ondoa hii yenye rangi nyekundu ili na wengine watoe mawazo yao, maana naamini hakuna anayeweza kuwa demu wa jamaa hata kinadharia.
Back
Top Bottom