Search results

  1. Bob

    Mwanza: Heche achangisha Tsh. Milioni 2.3 kujenga ofisi ya CHADEMA

    Je CCM ilijenga ofisi zake au ilitaifisha mali za serikali?
  2. Bob

    Stand ya Magufuli itakufa kwa maamuzi haya mkuu wa mkoa!

    (a) Dar inahitaji sio chini ya bus stand tatu. 1. Mbezi kwa magari yanayoelekea katikati ya nchi na kanda ya ziwa, kanda magharibi na nyanda za juu kusini na maeneo jirani, 2. Maeneo ya Mbagala kwa ajili ya usafiri kuelekea Kusini mwa Tanzania, na 3. Boko au Bunju kwaa abiria waelekeao...
  3. Bob

    Nimeomba mkopo CRDB, kabla ya kupewa wameanza kunikata hela kila mwezi. CRDB shida nini?

    Kiufupi, hawana cash. Wanasubiri deposits ndio walipe dividends (NB. ukitangaza dividend sehemu ya faida inageuka kuwa deni, kulipa deni lazima uwe na cash). Kutoa mikopo mipya mtasuburi sana, mark my words.
  4. Bob

    Juice ya tende na maziwa

    somo mujarabu.
  5. Bob

    Fahamu zaidi kuhusu Mr Kuku

    Hapo bado hujafanya analysis vizuri. Kuna gharama hujaziweka kuanzia na ununuzi wa vifaranga, chakula, madawa, mishahara, etc. Ukichukuwa hayo ni dhahiri huwezi hata nusu ya anachoahidi. Hii ni upatu at the best. wajinga ndio waliwao.
  6. Bob

    CRDB, fanyieni kazi tatizo la business transactions, nmeshindwa kupata huduma

    CRDB sasa imekuwa kama kitengo cha NMB kwani uongozi mpya umechukua Directors/Managers kwa kiasi kikubwa NMB (completely recycling). Idea/Model ya NMB ndio imepandikizwa CRDB yaani ubunifu ni zero kabisa (copy and paste).
  7. Bob

    Kwa mwendo huu, sijui kama ATCL itamudu ushindani wa kimataifa wa biashara ya anga

    Ukiua ushindani! This becomes real and not a mere expectations. Bob
  8. Bob

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    Hii project imeishia wapi?
  9. Bob

    Tundu acha kuongeza maadui. Njoo upige goti utubu maisha yaendelee

    Tuwe waunguana japo kidogo. Lissu alikuwa katika hali gani baada ya shambulizi. Je, katika hali hiyo alikuwa na uwezo wa kuomba rufaa? Jaribu kushirikisha faculty zote za ubongo wako kabla ya kutoa shutuma kama hii. Ni dhahiri kuna waliofanya maamuzi kwa niaba bila ridhaa yake. Mimi sijaona kosa...
  10. Bob

    Kampuni kutoka China yashinda zabuni ya BRT awamu ya pili kutoka Kariakoo hadi Mbagala

    Kwa historia hii kampuni ndio iliyojenga TAZARA. Project nyingi za karibuni imefanya Israel, nadhani ndio wanaojenga Ubungo Interchange.
  11. Bob

    Nini kinatokea usiku huu hapa dar?

    Kuna milipuko, sijui ni nini?
  12. Bob

    Metl Tañzania-Mohamed enteprises Tanzania Limited huajili kiudini,vyeo hupeana kiukoo na huangalia rangi...

    Mbona hukusema, hata kwenye vitorori vya lambalamba za AZAM lazima awe mwenzetu? Acha ubaguzi!
  13. Bob

    PSSSF kuanza rasmi Agosti mosi 2018

    Nilivyomwelewa waziri kwenye hili tamko, "watakaoajiriwa serikalini wataandikishwa PSSSF na watakaoajiriwa sekta binafisi ni NSSF" amezungumzia mambo yajayo. Kuhusu yalivyo wakati huu, hakusema neno na hapo ndipo simtofahamu inapowadia. Nionavyo mimi ni vigumu sana kuwahamisha waliopo sasa...
  14. Bob

    TTCL bado hawajaweza kujipanga na kupambana na mabadiliko ya soko huria

    Narrow network coverage (centre za miji mikubwa tu) + Poor/lack of marketing strategies, is killing this sleeping giant.
  15. Bob

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ninawezaje kutoka kuwa mteja wa T1 kwenda T2 au T3.
  16. Bob

    Kadinali Pengo ashauriwe...

    Member of TISS, kabla ya kuwa padre. I am not surprised.
  17. Bob

    Clouds Media Group tafadhali msirudie tena kosa hili siku nyingine

    Mtu analenga uteuzi! Atangoja sana.
  18. Bob

    Nimefiwa na BIBI

    Pole sana mkuu. R.I.P bibi yetu.
  19. Bob

    Rais asiyesafiri nje ya nchi yake hajiamini, haiamini timu inayomzunguka

    Makamu yupo Afrika Kusini. Waziri mkuu yupo Cuba. Hakuna wa kumuachia duka. Understood! Over.
Back
Top Bottom