Search results

  1. V

    Vocha ya sh 1000 kuuziwa 1200 inatafsiri nini!

    ni za kweli.vocha zimepanda bei
  2. V

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Izo tiles na wako peku???wanatafuta ugonjwa wa baridi yabisi
  3. V

    Ushawahi ishi na binti nyumba moja anakupenda kama hakupendi

    amri ya sita.USIŹINI...walaa hata karbu zinaa
  4. V

    Kumbe matapeli bado wapo

    ndo wanatapelije?
  5. V

    Naomba kuelezwa kwa undani kuhusu government bond kutoka BOT

    hivi hua ni uvivu wa kutafuta, wa kusoma au ni hulka tu kutaka kuuliza uliza na majibu yanatikana hata kwa kusearch hapa hapa jamii fôrum. Haya unataka kujua bond za BOT kuhusu nini hasa?ili usaidiwe
  6. V

    Ushuhuda nikiwa mhudumu wa gesti kwa miaka 10

    Tell us what we dont know, usituambie hayo tunayoyajua.
  7. V

    Kukosea kupiga simu kwanini iwe kwa watu wa kabila moja?

    Niidhani hili balaa linaniangukiaga mimi tu.Mara zote ni wasukuma
  8. V

    GoodOne sales officer

    Kufanya kurasa huu active..kuwa unapost bidhaa na bei yake... Usihangaike na kuangalia comments watu hawaandiki.wenye shida watakutafuta tu.
  9. V

    Special thread: Kilimo cha umwagiliaji (Irrigation)

    Kilimo cha umwagiliaji ndio kitatu Komboa. Kutegemea mvua ni hasara za kujitakia
  10. V

    Nilijitoa kufanya naye maisha ila ameniachia wakati mgumu nikiwa na mimba yake

    Hela za kiwanja alochouza zitaisha ...na atarudi kwako kwa machozi na magoti..na majuto. Na utamsamehe.mtayajenga upya.Amen. Vumilia kipindi hiki cha mpito.Jambo moja hukufanya, ni kusali na kuomba kwa ajili ya mahusiano yako. Bado hujachelewa ingia magotini.
  11. V

    Matumizi yangu yote ya mwezi June

    Uko vizur.Mana sijaona mahali penye rejesho ...ina maana hujakopa.... Mkuu...The girl ndio kuhonga??
  12. V

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Mohamed Kiyaiyai.....mzee wa nambiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiieeee
  13. V

    Mnawakumbuka watuma salamu maarufu redioni wa enzi hizo? Tujikumbushe kwa kuwataja...

    Alianza kutuma salam anzia late 1960's/1970s...kwenye idhaa za kiswahili ziliokuwepo.Huyu alikua bingwa kweli kweli
  14. V

    Ramzan Kadyrov (shujaa na mbabe wa kivita) aonekana kwenye video ya ajabu akipigana na UFC Champion wa Kiswidi

    Japo sina mafunzo.lakini nadhan naeza pigana zaidi ya hapo...labda ndio maana ukaiita "video ya ajabu"
  15. V

    Nimepungua kilo kutoka 98 mpaka 75. Namshukuru Mungu

    Umetumia mbinu gani kushusha huo uzito?mda gani? Kuna magonjwa ulokua nayo wakati ukiwa na uzito wa zaman
  16. V

    Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

    Na pia kuna faida ya capital gain,na ndio msingi hasa wa Ku trade stocks. Mf CRDB mwaka Jana hisa moja ilisoma 230 sasa ivi ni 430 .. Angalia capital gain ni ngap,zidisha mara idadi ya hisa zako
  17. V

    Tuliokurupukia kuanzisha biashara baadaye tukajua hatujui tukutane hapa

    Nini kinakufanya useme ni chai? Biashara Halali kabisa iyo.
  18. V

    Kauli ya mwanadada huyu imenishangaza baada ya kumuomba tendo la ndoa

    Kama hujaoa/ kuolewa/ndoa,haliitwi TENDO LA NDOA. Inaitwa uzinzi au uvunjaji WA amri ya 6. Unapata wapi nguvu ya Kuita uzinzi TENDO LA NDOA ?? Mwenye ndoa akivunja amri ya 6 na mtu asiye mweza wake,inaitwa UASHERATI.
Back
Top Bottom