Search results

  1. J

    Natafuta mtu anayekusudia kununua gari toka japan wiki/mwezi huu tusaidiane ktk transactions .

    Asante! Yes, hakuna utapeli hapa, na kwa mtindo huo ni lazima u-save kiasi cha kutosha. Namsubiri mtu alieko tayari tufanye transactions. Naamini ata furahi na kulidhika sana, maana nina wasiliana na kampuni yake moja kwa moja (kwa simu) na kumsaidia ipasavyo. Mwenye nia usikawie tafadhali...
  2. J

    Natafuta mtu anayekusudia kununua gari toka japan wiki/mwezi huu tusaidiane ktk transactions .

    Asante 'Father of All'. Kimsingi, mwenye nia anitumie tu namba ya simu, e-mail au face book account. Mimi nita wasiliana naye kwa njia hizo na kumpatia taarifa zangu zaidi ambazo anaweza kuzihakiki na kujilidhisha. Zaidi, nita m-guide kwa advocate apate ulinzi wa sheria na kuhakikishiwa...
  3. J

    Natafuta mtu anayekusudia kununua gari toka japan wiki/mwezi huu tusaidiane ktk transactions .

    Asante sana King'asti na Bw. Nicas Mtei. Yes, huyo King'asti anatakiwa kuwa wa kwanza kuchangamkia dili.
  4. J

    Natafuta mtu anayekusudia kununua gari toka japan wiki/mwezi huu tusaidiane ktk transactions .

    Salaam! Mimi ni mtanzania, kwa sasa naishi Japan kwa muda. Natafuta mtu ambaye ana kusudia kununua gari au bidhaa yoyote toka hapa Japan ili tusaidiane ktk transactions za pesa kwa faida ya wote wawili. Mimi: nakusaidia kulipia gari lako hapa japan kwa kutumia YEN, na hivyo nakuondolea risk...
  5. J

    Ajali ya Meli Zanzibar: Baharia asimulia...

    Inasikitisha sana, nawapa pole wa Tanzania wenzangu na hasa wote waliopoteza ndugu na rafiki katika ajari hii. Mungu awape faraja na kuwaondolea huzuni na simanzi.
Back
Top Bottom