Hakuna swala la elimu litakalozungumzwa bungeni katika kipindi ambacho tume haijawasilisha ripoti yake, labda liwe halipo katika hadidu za rejea, na lisikaribiane kufanana na matatizo ambayo tume inayafanyia kazi.
Siku zote alie nje ya kiwanja ndio anakosoa mchezaji, ngoja aingie yeye uwanjani utaona jinsi atakavyocheza, likipigwa raggae yeye atacheza blues.
Na huyo Lissu wenu ndio itakavyokuwa, mtasema afadhali ya Mrema......!
Wacha dharau bw mdogo! Kama hauna kumbukumbu na wewe usikurupuke.
Mwaka 2011 bodi ya pamba ilitangaza bei elekezi ni shillingi 1,400 kwa kilo moja. Na kampuni ya NIDA ilinunua mpaka kwa bei ya 1,700/= kwa kilo mwaka 2010
Hizi data zako za kwenye soko la dunia zinaanzia mwezi Nov 2011, kama...
Zao la pamba lililokuwa linategemewa sana katika mikoa ya kanda ya ziwa, liko hatarini kutolimwa kabisa kutokana na serikali kuonekana haiwathamini wakulima wa zao hilo na kuwakumbatia wanunuzi.
Kikao kilichofanyika wiki hii baina ya serikali na wanunuzi hao wa pamba, kilionyesha udhaifu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.