Search results

  1. kande kavu

    Lady JD ajichagulia Jeneza la kuzikiwa

    Jay dee angekuwa Rubani nisingepanda ndege yake. Something seriously wrong/condesed upstairs!
  2. kande kavu

    Pendekezo la kupunguza foleni za magari Dar

    Wasalaam, Kwa yeyote anayehusika! Tumechoka, tena nasema tumechoka! Mnaotaka kupigiwa kura mwaka huu mfahamu hilo! Foleni za magari DAR tumechoka! Tulipofikia ni lazima watu baadhi waumie kiuchumi ili kupata suluhu! Ushawahi kutumia masaa manne kwenye mbanano wa DCM la Mawasiliano -...
  3. kande kavu

    SUMATRA acheni kulala

    Sumatra, Ni sahihi wananchi walio ndani ya Jiji (hardly 10 Kilometres) kulipa nauli ya shilingi 1000/=? Hivyo ndivyo tunavyokamuliwa wananchi tunaoishi Buza Kanisani na kufanya kazi au biashara maeneo ya kuanzia Airport kwenda Gongolamboto. Ni hivi, ninapaswa kulipa shilingi 400/= kwa bajaji...
  4. kande kavu

    Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

    Mkuu nitumie hapa credentobi@gmail.com
  5. kande kavu

    Kujamba (kutoa ushuzi) kuna faida kiafya?

    Hapo kwenye namba mbili leo ndo nimeelewa. Wakati niko skuli (O-level) kulikuwa na mtindo wa kujamba( bila kutoa sauti) kwa makusudi wakati wa mitihani. Hali ile ilikuwa inafanya darasa linajaa harufu mbaya sana na kumfanya Mwalimu atoke nje, hivyo kuacha fursa ya watu kupeana na kuangalizia...
  6. kande kavu

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Mkuu asante kwa ukarimu wako, nilikuja, nimeona na nimejifunza.Naamini nimeanzisha safari ya kuuaga umaskini! Mzee uko njema kwa hiyo kitu, na kikubwa hasa ni uelewa wa kilimo na sayansi yake! Nilidhani ni kajamaa tu kamekutana na teknolojia hii na sasa kanataka tu kupata pesa. UMENIDHIHIRISHIA...
  7. kande kavu

    Jenga Greenhouse kwa gharama nafuu

    Mkuu natia timu Jumapili kama tulivyoongea. Lakini naomba unitupie material hapa credentobi@gmail.com ili nijenge maswali muafaka nikitoka kukutembelea nikate shauri.
  8. kande kavu

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Mkuu, ni simple logic tu, kwa nini unadhani hizo ICAO Annexes na TCAA (TCARs) ziko kwenye kimombo wakati sisi majority ni waswahili?
  9. kande kavu

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    Pole. Si tatizo lako peke yako lakini ni la wengi! Mkuu ni kwamba mtazamo wako binafsi wa kwamba ndege watapanda labda watu wanaojua kinyaturu tu, si mtazamo wa Aviation Industry! Lakini pia sio kwamba wahudumu wa ndani ya ndege hawatatoa taarifa kwa lugha nyingine isipokuwa kimombo wakati wa...
  10. kande kavu

    Precision Air wamshusha Dr. Azaveli Rwaitama kwenye ndege kisa Lugha

    A passenger seated in an exit seat must: Be 15 years of age or older Have the capacity to perform the applicable functions without the assistance of an adult companion, parent, or other relative Have the ability to read and understand instructions related to emergency evacuation provided in...
  11. kande kavu

    IGP mpya, Ernest Mangu atangaza mabadiliko makubwa Jeshi la Polisi

    Intelijensia - Ukusanyaji/Unyakaji wa taarifa kwa namna na njia tofauti ili kusaidia kufanya maamuzi kabla jambo halijafanyika au kutokea. Kwa Polisi ni kabla uhalifu haujatokea. Upelelezi - Ni Uchunguzi kwa namna na njia tofauti ili kupata USHAHIDI wa jambo kutokea au kutokutokea. Uchunguzi wa...
  12. kande kavu

    Mikopo ya NSSF kwa wanachama ni ubabaishaji!

    Habari wana jamii/ NSSF Staff. Mimi ni mwanachama wa NSSF kwa kipindi cha miaka 15 sasa. Hivi karibuni mfuko wetu huu ulitangaza kuwa utaanza kutoa mikopo kwa wanachama wake kupitia SACCOS tena kwa riba ndogo! Tangazo hilo kama sikosei lilianza kutolewa mwezi wa Mei mwaka huu, ikiwapo...
  13. kande kavu

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Hapo kwenye red ndipo zilipo hisia zangu.Kwamba uko mkono wa CDM (uongozi) nyuma ya hii habari ya Lema. Lakini tofauti na wewe, naamini hii ni kama hatua ya mzazi kuamua kutumia fimbo badala ya maneno kumuelekeza kijana ukiwa na kusudio si la kumtia maumivu au kilema, bali kijana arejee katika...
  14. kande kavu

    Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na Ushauri wa Matibabu

    Mwanangu ana miaka sita sasa. Alipatwa na hiyo kitu dege dege (HATARI SANAAA!) akiwa na mwezi mmoja wa kuzaliwa.Shida ilipelekea kulazwa ICU kwa wiki mbili pale Bugando mtoto akiwa hajitambui. Miezi sita baadae, kwa kuona maendeleo yake ya ukuaji si kama ya watoto wengine, tukaenda kwa Daktari...
  15. kande kavu

    Miti ya Mijakaranda (jacaranda) na Mikrismasi

    Wadau. Niko DSM na nauliza wapi ninaweza kupata miche ya miti hii: Mijakaranda ya Zambarau Mikrismasi (si hii inayopambwa majumbani wakati wa Krismasi) ile yenye maua mekundu na huchanua sana mwezi wa kumi na mbili. Tafadhali mwenye kujua anijuze kwani nina shida sana na miti hii
  16. kande kavu

    Bileku mpasi

    Mhhh! Mambo ya Kanda ya Nini na Ibetibi
  17. kande kavu

    Polisi wamtia mbaroni mfanyabiashara maarufu kwa kosa la kumlawiti mfanyakazi wake

    Tayari wewe ushakuwa wa kwanza na hongera! Jinga jingine litakuwa namba mbili. Once an idiot, always an idiot!
  18. kande kavu

    MWAKYEMBE: Viongozi wasiopenda kukaguliwa wasipande ndege [Channel 10]

    Unanitega ujue Kande Kavu ni nani? Utakula ban ooohooo!
  19. kande kavu

    MWAKYEMBE: Viongozi wasiopenda kukaguliwa wasipande ndege [Channel 10]

    Mkuu wote hawo.Ila kwa CDF na IGP wakiwa kwenye manyota yao hapana sogea. Ikitokea hawajakaguliwa ni kwa sababu ya mambo mawili tu: Uoga wa Afisa Mkaguzi utakaosababishwa na; Macho na maneno ya Wapambe wa viongozi hao.
Back
Top Bottom