Search results

  1. C

    Tangazo kwa wakazi wa mtwara

    Hatimaye wakala wa tvs king apatikana na wanauza kwa bei poa kabisa sawa na bure so wewe mkazi wa mtwara jipange jichange upate usafiri wako kwa ajiri ya kufanyia biashara na wametoa ofa maalumu kwa wateja 5 wa mwanzo watanunua tvs kwa sh 5,950,000 wanapatikana maeneo ya bima karibu na maktaba...
  2. C

    Jinsi ya ku-secure switch yako ya cisco

    asante sana mkuu kwa somo unapatikana wapi nataka unimezeshe na mimi hizo sumu
  3. C

    Msaada kuhusu frequency za TBc 1 na Star tv

    Habari za jumapili wanajamii forums naomba mwenye kufahamu jinsi ya kupata hizi frequency za TBc 1 na STAR TV Maana nashindwa kuelewa kama wamebadilisha amavipi mwanzoni ilikuwa zote zinaonyesha vizuri lakini sasa zimekata toka mwaka jana mimi niko mtwara mwenye kujua naomba tafadhali anijuze
  4. C

    Mpenzi wangu simuelewi jamani naomba ushauri wadau

    Kiukweli sina lingine zaidi ya kusema nimeshiba kwa ushauri niliopata sasa napata moyo na nishafahamu nini ninatakiwa kufanya mpaka sasa.Nawapenda sana ndugu zangu
  5. C

    Mpenzi wangu simuelewi jamani naomba ushauri wadau

    hapana mkuu hakuwahi kunikamata na kidumu ila ilitokea kwamba mimi niko na simu mbili moja kwa ajili ya matumizi ya office tu na nyingine ni yakwangu mwenyewe binafsi sasa wakti naongea nae kwenye ile simu yangu mara simu ya office ikawa inaita ikabidi nimuambie samahani kunasimu ya office...
  6. C

    Mpenzi wangu simuelewi jamani naomba ushauri wadau

    Habari zenu ndugu zangu . Mimi nina mchumba wangu ambaye tunapendana sana lakini tunapishana kwa kitu kidogo sana yeye yuko mbali na mimi yeye yuko Dar es salaam mimi nipo Mtwara kwa hiyo huwa tunawasiliana mara kwa mara kwa kutumia simu siku tunaweza kuongea kama mara tatu sio siri nampenda...
  7. C

    Jinsi yakutumia adobe photoshop

    Habrini wana jamii forums mimi huwanapenda sanakucheza sana napicha kwa kutumia editing software kama magic photo editor,photoshine lakini hizi nimezichoka sasa nataka mnisaidie jisi yakupata mwongozo utakao niwezesha kutumia adobe photoshop7 nimedownload jana nikashindwa kutumia asanteni
  8. C

    How To Troubleshoot Your Computer Hard ware

    mkuu hapa umetisha we ninoma nashukuru sana maana hata mimi nimepata somo hap
  9. C

    masaada wakuu

    ninasimu yangu aina ya iphone 4 alikuwa akitumia dada yangu alipokuwa anasoma huko nje ya nchi lakini baada ya kufika hapa Tanazania akiweka line inakataa inasema no simcard nifanyeje jamani ili niweze ku unlock jamani
Back
Top Bottom