Search results

  1. Nyaubwii

    Wadau wa Magari, vipi gari aina ya Mitsubish Outlander

    1. Chief fuel consumption ni variable ya vitu vingi ukiweka pamoja. Sasa iko hivi kama kila kitu kipo sawa kwa maana air filter, spark plugs na vitu vingine vinavyoweza kuathiri ulaji wa mafuta kwa yangu ambayo ni 2009 model CVT transmission napata around 8.5km/l kwa trip za mjini na around...
  2. Nyaubwii

    Wadau wa Magari, vipi gari aina ya Mitsubish Outlander

    Mi ninayo tangu Jan 2019, now ni karibia miaka 3 na ushee. Sasa hebu kuwa specific unataka kujua kuhusu nini kwenye hii Mitsubishi Outlander.
  3. Nyaubwii

    Soko la ulezi

    Alishauza mkuu, ilikua muda sana hii post tangu 2011
  4. Nyaubwii

    Wadau wa Magari, vipi gari aina ya Mitsubish Outlander

    Mi ninayo tangu January mwaka huu. Kiukweli ni gari nzuri sana, na nimesafiri nayo, Dar-Arusha-Dar. Dar-Ifakara-Dar, Dar-Mor-Dar, Dar-B/Moyo-Dar na Dar-Dodoma-Dar bila matatizo yoyote. I would recommend one to buy. Binafsi haijanisumbua hadi sasa, cha kuzingatia ni aina ya oil inayotumia mfano...
  5. Nyaubwii

    3M-3.5M gari inahitajika

    Naitaka hii starlet, nipe mawasiliano jinsi ya kuiona na kufanya biashara
  6. Nyaubwii

    Toa kiasi kidogo nitoe opportunity tushirikiane

    Mkuu Zanzibar Spices naomba ni PM details za kilimo hapo kibaha nipo interested.
  7. Nyaubwii

    Mgomo wa mabasi wanukia tena

    Kigogo watu wanawaza habari za uchumi kudhorota siku za migomowe unawaza kupiga wadudu. Haahahaaaaah heshima kwako mkuu
  8. Nyaubwii

    Nauza used Marine boards, Mirunda

    Nahitaji hizo Marine board. Unauzaje?
  9. Nyaubwii

    Nina milioni moja na nusu natafuta gari

    Zipo kaka ila zinahitaji marekebisho machache tu, hiyo moja inahitaji tairi tu na vitu vidogo vidogo. Niambie umeipenda ipi tufanye biashara.
  10. Nyaubwii

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    ...... Still available
  11. Nyaubwii

    Nauza: Suzuki Carry T (CSK)

    Vipi mkuu gari bado ipo hii?
  12. Nyaubwii

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    Gari bado ipo wakuu final price 6.85M.
  13. Nyaubwii

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    Pretty 6.85 final price
  14. Nyaubwii

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    Upo chini sana Sista Sophia, hapo kweye 6.9 nimekua more than fair dada yangu. Fanya survey ndogo tu uone market price ya hizi gari
  15. Nyaubwii

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    Mkuu Mlachake huyu jamaa Zamaulid ni kiboko kwakweli. Yani gari imelipiwa ushuru anataka atoe 4. Duh kweli JF kiboko.
  16. Nyaubwii

    2005 Toyota Passo going for cheap price

    2005 Toyota Passo 98,000 km Champagne color Automatic Transmission 990 cc 5 Seats All Duties Paid + Registration & Insurance PRICE: 6.9 M CONTACTS: 0689132520 call or text that number.
  17. Nyaubwii

    Urgently Needed 2 Pizza chefs & 1 Cashier

    Batman Pizzeria Restaurant which is located along Haile Sellasie Road near Atlantis Hotel, is urgently looking for 2 Pizza chefs & 1 Cashier. A minimum of one year experience in doing similar job is a must. If interested please send your resume and CV via email batmanpizzeria@gmail.com OR call...
  18. Nyaubwii

    Wafanya biashara k.koo wagomea mashine za EFD

    Mkuu inasemekana wafanyabiashara wamefunga maduka kariakoo kugomea mashine za TRA sasa nadhani hizo fujo itakua labda kuna wasaliti waliotaka kufungua ndo wanachezea kichapo.
  19. Nyaubwii

    Inasikitisha wanawake nyie ni viumbe hatari

    Kwahiyo mkuu jumla walikua watoto wawili au wanne?
  20. Nyaubwii

    Picha za dereva wa daladala akishushiwa kichapo cha mbwa mwizi mara baada ya kumgonga mtoto maeneo y

    Tumepoa ila inasikitisha sana mkuu ni mtoto ambaye alikua amezoeleka sana pale mtaani.
Back
Top Bottom