Search results

  1. M

    Uhusiano huu siuelewi naomba msaada tafadhali

    jamani Nashukuru kwa mawazo yenu, nitayafanyia kazi na naona mmenifungua macho....Mungu awabariki wote
  2. M

    Uhusiano huu siuelewi naomba msaada tafadhali

    Natumaini wote mu wazima, Tafadhali naomba mnisaidie kweli nahitaji ushauri. Mimi ni msichana, Nina mpenzi wangu tumeanza nae uhusiano wa kimapenzi mwanzo wa mwaka huu na kabla ya hapo tulikuwa ni marafiki wa kawaida tu kwa muda mrefu sana japo alishawahi kunitaka kimapenzi miaka 3-4 iliyopita...
Back
Top Bottom