Search results

  1. Mkillindy

    Equivalent hoii mwaka huu

    Yaaap, ila una uhakika na huu usemi? Kama ni kweli wameyasema hayo ni bora wadogo zetu waliopata selection ya kwenda vyuoni wasiende, na hivyo vyuo kama DIT, MIST, ATC na chuo cha maji wavigeuze nyumba za N H .Huo ni ushauri wangu tuu.
  2. Mkillindy

    HESLB (BODI) na EQUIVALENT

    Je mkienda chuo then mkaambiwa kuwa hamna hela kwa ajili yenu Je? mtafanya nini?
  3. Mkillindy

    Kwa nini uumize kichwa?

    Ni muda sasa umepita tangu neno jigambe liingie humu ndani ya Jamii Forum, Hebu bufya hapa tuingie humu ndani tuone, huenda kuna mazuri ya kuweza kutusaidia katika mishuhuliko yetu ya kila siku.
  4. Mkillindy

    Hii ndiyo tanzania ya sasa, na tz tuitakayo

    Kama kila kitu ni online, sasa tumefika pazuri tanzania. Au ni baada ya kusikia mkonge waja tz? Wadau niambieni, ni kipi bado kwa hapa tz hakipo online? mawasiliano yangu : a.rashid@jigambe.com au www.jigambeads.com
  5. Mkillindy

    Kuna umuhimu wa kuwa na shule za kata?

    Kama shule zinajengwa, na zina wanafunzi ila walimu wanakosekana, Je? ni za kazi gani? Unatoa ushauri gani kwa serikali yetu? Zianzishwa Online school ?
  6. Mkillindy

    Moto masokoni mpaka lini?

    kwa hiyo washauri masoko yote yachome?
  7. Mkillindy

    Hii hapa mpya, kazi bila CV, na INTERVIEW kuwezekana.

    Hii imezoeleka sana kwenye makampuni, huwa wakitoa nafasi za kazi wanahitaji more than 3 years of experience.Je kwa wanafunzi waliomaliza chuo miaka hii ya karibuni wana hizo sifa?, au ni kunyimana kazi ! Kwa sasa bofya hapa uone namna ya kupata kazi bila CV, na interview.
  8. Mkillindy

    Biashara imekuwa ngumu kuliko kawaida!!!

    Sijajua ni biashara gani. Angalia cha kufanya,ila kwa hapa tanzania jaribu kufua umeme wa upepo, waweza piga hela ukachanganyikiwa.
  9. Mkillindy

    Kazi zote ni hapa sasa

    Mkombozi anakuja kwa kasi nchini humu. anajiita jigambe.com Kama vp we ni sms kwa a.rashid@jigambe.com utapata maelezo zaidi
  10. Mkillindy

    Moto masokoni mpaka lini?

    Ni soko gani tena hilo?
  11. Mkillindy

    Kila kitu wanaume tuuu, bado wanadai haki sawa.

    Huwa yanikera sana kuona mwanamke mjamzito anasaidiwa na Doctor wakati wa kujifungua. Hv ni kwamba hamna madaktari wa kike au ni nn? Kwa nn wanawake wanadai haki sawa km suala hilo wanashindwa kulitatua? Unawashauri nn hawa kina dada? Waanze kujipanga na hili kwanza au wang'ang'anie usawa wa...
  12. Mkillindy

    tiGO mnatufukuza wateja wenu bila kujijua

    Kwani tatizo ni nn? Hamieni airtel kwani gharama zao ni nafuu zaidi kuanzia kwenye mazungumzo mpaka kwenye vifurushi vya internet. Nasema haya kwa ushahidi. Nimeitumia airtel kutengeneza system yangu pmaka imeisha bila matatizo na kwa gharama nafuu. Pia jamaa wa jigambeads.com , jigambe.com na...
  13. Mkillindy

    Kwa nini elimu hii?

    Elimu ya tz inachosha. Wanafunzi wa vyuoni huwa wanafanya project, mara baada ya kumaliza wanaziacha na kuchukua marks zao. Hawapati support juu ya hilo. Je, km wangepewa mtaji waendeleze project zao c lingepunguza uhaba wa kazi? Mf wa project zinazoendelezwa na wanafunzi ni online voting...
  14. Mkillindy

    Tanzania tunaweza na hii ni mpya tanzania.

    Tanzania tunaweza, kwani km kuna web-directory iitwayo tanzaniakwetu.com ,Website za tz zinapatikana hapo. Pia kuna iitwayo jigambeads.com hii ni kwa ajili ya kutangaza matangazo. Tz tunaelekea pazuri, mambo yote online. Mkonge ungefanya kazi mapema cpati picha.
  15. Mkillindy

    Elimu ya Bongo na ya Nje Ipi Bora?

    Labda uniambia nn tofauti ya m2 mwenye cheti cha shahada ya kwanza cha nje ya nchi na cha bongo
  16. Mkillindy

    Nahitaji kufanya kazi na M-PESSA, tiGO PESSA, Zan PESSA na Zap PESSA

    Thanks kaka, umenifungua macho nikakutana na website kibao za tanzania. Ila hiyo site ya JigambeAds nimeipenda sana. Hv inafanyaje kazi ?
  17. Mkillindy

    Nahitaji kufanya kazi na M-PESSA, tiGO PESSA, Zan PESSA na Zap PESSA

    YAhhhhhhhhhhhh You have done a good job Thanks a lot :whoo::brick:
  18. Mkillindy

    Just to say hellow

    Asanta sana mzee, nipo na nitaendelea kuwepo ila nikijisahau naomba unishtue a.rashid@jigambe.com. Pamoja sana mzeeeeeeee?
  19. Mkillindy

    HESLB (BODI) na EQUIVALENT

    Wanawanyanyasa tu watoto, kwani c wote wana ajira/wameajiriwa. Watakwenda wapi hawoooooooooooo?
Back
Top Bottom