Search results

  1. M

    Prof. Baregu azungumzia kadhia ya Zitto Kabwe

    Attach audio kama inawezekana tusikilize kama ni ukweli au ndio nyie maccm mliokosa hoja kazi yenu kujadili ZZK huu mtandao umekuwa wa kiduanzi sana nowadays uongo mwingiiiiiiiiiiiii
  2. M

    Shibuda atimuliwa kikaoni CHADEMA; Apigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye!

    Huu ni mwanzo bado sijafurahi ninachohitaji jamaa avuliwe uanachama baaaaaaaaaaaaaasi cause hawezi kuwa mamluki kiasi hicho
  3. M

    Sakata la kodi ya Simcard: Rais Kikwete aingilia kati!

    So kama kazi yake ni kutia saini alivyotia saini hakuona kua hii kodi ni mateso kwa wananchi mpaka asubilie watu na taasisi mbali mbali na wanasiasa walalamike?Hio hoja yako ni ya ki UVCCM sababu mmezeeka kifikra kama chama chenu kilvyozeeka
  4. M

    CCM: Serikali iifute kodi ya Sh 1,000 kwa simcards!

    Ninachotaka kusema CCM waache za kizamani kwa sasa wananchi wamesoma na wanaelewa so waache kutuzuga,bajeti wapitishe wao alafu sasa wao hao hao wanajifanya kuishauri serikali kwani serikali inaongozwa na chama gani?tuseme hilo hawakuligundua kuwa linawatesa wananchi kabla hawajaamua kuipitisha...
  5. M

    Chaguzi ndogo 16/6 na 14/7 majumuisho na tathmini

    Kwanza nakipongeza chama cha Chadema na madiwani na wabunge wa chama hiki kwa kujali zaidi maslahi ya wananchi na haya matokeo ndio zawadi au bahashishi kutoka kwa wananchi waliowaamini na wanaozidi kuwaamini,msirudi nyuma na harakati zenu nasi tupo pamoja nanyi katika kutimiza harakati za...
  6. M

    Chadema kuwa na wabunge wengi lakini si majority

    Sio vijiji vyote CCM wanakubalika kuna vijiji vingine haviwataki kabisa chukulia kata ile ya Dongo besh chadema washinda kwa kishindo na kama wataendelea na kasi hii 2015 upepo ni kwao,mfano halisi kata nne za CCM zilizochukuliwa so jipangeni sana Magamba
  7. M

    Kura ya maoni: Zitto vs Dr Slaa

    Mnatumia majina feki ili kutoa comments za ajabu acheni hizo baaana
  8. M

    RIPOTI MAALUM: Mtandao wa ufisadi, siri hadharani

    Duuuh if this is true hakuna msafi CCM,na tunahitaji dhamira na hatua stahiki kuchukua kuwapumzisha hawa wanyonyaji
  9. M

    Housegirl ana mvuto zaidi ya mke wangu...

    Naomba unijibu hili swali kabla ya ushauri nitakao kupatia "Je wakati unachukua uamuzi wa kumuoa huyo mkeo ulitumia vugezo vipi?"na je haukumchunguza tabia zake kabla?kipi kilikuvutia kuwa na huyo mchonga maneno?
  10. M

    UPDATE: Mtoto aliyechomwa moto na kulazimishwa kula kinyesi chake akatwa mkono

    Pole sana mtoto Aneth kwa dhahma iliyo kukuta,binafsi ninaiomba serikali kupitia vyombo vyake vya sheria vichukua hatua stahiki kwa huyu mama mkatili aliyemsababishia ukilema huyu binti,na taasisi za haki za binadamu nawaomba mfuatilia hana kwa hana mpaka mjue mwisho wa kesi hiiisije ikatokea...
  11. M

    Nyimbo: CHADEMA na Polisi walishirikiana mauaji ya Daudi Mwangosi

    Hana jipya akafie mbali gamba huyooooooooooo,anafikiri atapata umaarufu kwa kuongea pointless?
  12. M

    CHADEMA mambo ya meya wa Arusha inatosha, shughulikieni masuala ya kitaifa sasa

    Kwanza kabisa wewe haujui ki undani kwanini chadema wanaandaa maandamano haki hakuna katika Tanzania ya leo,uchaguzi wa meya haukua wa haki namaanisha wakazi wa arusha wamenyimwa haki yao ya msingi ya kuwa na meya kutoka kwenye chama wanachokipenda na kilichoshinda kwa kishindo,kaka inaelekea...
  13. M

    Kama CHADEMA ina wabunge vilaza kama hawa? Hawafai nchi!

    Hayo ni mawazo yako wewe mwenye mawazo finyu au wewe Ccm nini,Kwa taarifa yako wabunge ndio wataongezeka hayo ni mapungufu tu kwa kila mwanadamu je unafurahi CCM wanavyotudanganya kila mwaka? Nahisi wewe utakuwa ni mzee tena wa zaidi yamiaka 80 namaanisha umerudi utotoni manake chini ya hapo...
  14. M

    Sherehe za miaka 50 uhuru zina umuhimu gani?

    Wewe ndio unapotosha jamii hayo maendeleo unayoyasema ni yapi yanayolingana na miaka hamsini kama si ufisadi na kujilimbikizia mali kwa walio wachache.Naomba uniambie ni wananchi wangapi tanganyika au asilimia ngapi wanaotumia umeme ambao ndio chachu ya maendeleo kwenye nchi yoyote hapo ndipo...
  15. M

    Sherehe za miaka 50 uhuru zina umuhimu gani?

    Kiukweli mimi sioni mantiki ya kusherekea hiyo miaka hamsini japo unaweza kusherekea birthday lakini si yatanganyika kwasababu wanazidi kunitia machungu kwani wanatumia pesa nyingi kwenye maadhimisho yasiyo na msingi je nami nauliza Hio siku serikali itatueleza nini wanachojivunia?Kama ni gari...
  16. M

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Kama hayo matokeo ni kweli basi ni furaha kubwa kwa Chadema ni mabadiliko makubwa na mafanikio makubwa kuonyesha upinzani wa kutosha na kubadilisha mawazo ya wana igunga kwa siku 21 mungu awabariki chadema waendelee na mbio hizo ili tuchukue nchi 2015 CCM kwishnei masikini weeeeeeeeeeee
  17. M

    Kufuatia kibano cha DC (Igunga): Wabunge wa CHADEMA wakamatwa

    Thats true hapo kuna ubabaishaji na kutaka kukichafua chama chetu CHADEMA kinachotusaidia kujua maovu ya serikeli inayoongozwa na chama kisichomakini na kisicho na huruma kwa wananchi wake ambacho wabunge wake wanahitaji kuongezewa posho wakati kima cha chini cha mwananchi mfanyakazi wa kawaida...
  18. M

    Moto Mbeya: Yule Polisi kwa nini?

    Hapo umenena hili ni kosa na hapo ndio jaribu jingine la kuona kama serikali yetu ni makini au laaa
Back
Top Bottom