Search results

  1. qn of sheba

    Binti wa TB Joshua kuolewa Arusha

    Ndo imeshafungwa ya 3 sasa jana ya Kitakoliki,sijui mlikuwa mnambishia nn mleta Uzi..
  2. qn of sheba

    Ni chuo gani kati ya hivi ni kizuri katika fani ya accounting na katika kuajirika?

    Maana yake vyuo vyote ni sawa tuu muhasibu anapimwa kwa CPA sio degree alisoma wapi, so nenda kokote. Usifikiri kama ukisoma Mzumbe BAF utapata priority kwenye ajira kumshinda aliyesoma Accounting TEKU lakini ana CPA
  3. qn of sheba

    Ni chuo gani kati ya hivi ni kizuri katika fani ya accounting na katika kuajirika?

    Kasome CPA uhasibu hauna chuo ukiwa certified una uhakika mkubwa wa ajira
  4. qn of sheba

    Maisha Mapya ya Jackline Ntuyabaliwe...

    Kapata umiss 2000 akiwa na miaka 21
  5. qn of sheba

    Maisha Mapya ya Jackline Ntuyabaliwe...

    Jacky kazaliwa 1979 ana miaka 40 rika moja na Jide
  6. qn of sheba

    Tanzanian most successful women under 40

    Monica Joseph.... Wealth from her own stuggle. Pia ni rafiki na Jide Sent using Jamii Forums mobile app
  7. qn of sheba

    Hasheem Thabit, kumbuka nyumbani ule mema ya nchi

    Ni Makongo naona kakosea Sent using Jamii Forums mobile app
  8. qn of sheba

    Watanzania waliopo nje ya nchi watapataje vitambulisho vya Taifa?

    Ofisi za NIDA Manispaa ya Ubungo ziko wapi? Msaada
  9. qn of sheba

    Sababu za kitaalam zinazosababisha mzazi asinyonyeshe mtoto

    Hahhahha Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
  10. qn of sheba

    Sababu za kitaalam zinazosababisha mzazi asinyonyeshe mtoto

    Nina hisi hicho ila anadai mtoto akinyonya anatapika hivyo hospitali wamemkataza kunyonyesha na anasema kaambiwa ni jambo la kawaida, ila me i doubt ndio maana nimejaribu kuuliza humu kama kuna mtu ashawahi sikia hii kitu.
  11. qn of sheba

    Sababu za kitaalam zinazosababisha mzazi asinyonyeshe mtoto

    Hello Kwa wataalamu wa afya ningpenda kujua ni sababu gani zinamfanya mzazi akatazwe kunyonyesha mtoto ukiacha ya HIV ambayo ndio pekee naifahamu. Leo nimeshangazwa kuona mzazi hanyonyeshi tena mtoto sababu anasema maziwa yake ni machafu hivyo ameshauriwa ampe mwanae maziwa ya ng'ombe au kopo...
  12. qn of sheba

    Nani mkali Sean Paul vs Shaggy?

    Sean ana nyimbo nyingi kali compare with Shaggy.
  13. qn of sheba

    Natafuta Kitabu cha Abunuwasi

    Enda Elite book utapata kwa elfu 10 tu. Nimekinunua huko last yr Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
  14. qn of sheba

    Natafuta Kitabu cha Abunuwasi

    Nisingekuwa mhenga ningekijuaje Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
  15. qn of sheba

    Natafuta Kitabu cha Abunuwasi

    Vinapatikana kwenye maduka ya Elite book stores wapo Mlimani city,Mbezi beach na Quality Centre kwa sh elfu 10 tu. Nimekipata nimefurahi sana Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
  16. qn of sheba

    Uhuru Kenyatta: Ruksa Watanzania kumiliki ardhi, kufanya kazi, kuishi, kuwekeza na kuhamia Kenya bila masharti

    Danganya toto ili nasisi tuwaruhusu waje wamiliki ardhi na wafanye kazi huku. Kwa ardhi gani ya kupata kenya kama wenyewe tu wanastruggle kumiliki. Kazi ndo usiseme ajira finyu, Magufuli usiruhusu hii bongo tuendelee tu na utaratibu wa sasa.
  17. qn of sheba

    Biashara ya Uokaji (Bakery): Mbinu, Ushauri na Changamoto Zake

    Ahsante nimeuliza mapema ili nijipange chanzo cha mapato, unaweza kopa ukashindwa rudisha marejesho kwa wakati kutokana na aina ya biashara. Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom