Search results

  1. MAAMUZI MAGUMU

    Kuwapigia magoti viongozi wa CCM, je ni sawa?

    Huyu mama ni diwani wa CCM akiwapigia magoti mawaziri kuombea wananchi wake waruhusiwe kuendelea kulima katika bonde la Kilombero. Je imefikia hatua ya viongozi wetu kuabudiwa kama miungu? Na je dunia ilipoumbwa si kila mtu mahali alipolizaliwa ndio eneo lake la kujipatia riziki na kuishi? Cha...
  2. MAAMUZI MAGUMU

    A Town vipi!!!!!!!

    Nimepewa habari kuwa Arusha kumekuwa na ongezeko kubwa la MASUGAR MAMY. Watu wa Atown je kuna ukweli hapo??
  3. MAAMUZI MAGUMU

    Hatuwezi kukataa Ushoga

    Ndugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata kuwakemea au kuwaelimisha kuacha uchafu wao. Tunawalea wenyewe na vile vile kuna wapuuzi wanaofanya nao...
  4. MAAMUZI MAGUMU

    Elimu ya Tanzania

    Hii ni kali.Tanzania badoooo!!
  5. MAAMUZI MAGUMU

    Elimu ya Tanzania

    Ndugu wana JF, hawa wanaoliongoza taifa hili wao walisoma katika mazingira yanayofanana na hay? Wananunuliana mashangingi na kupelekana nje kila siku huku watoto wetu wakiteseka hivi. <o:p> </o:p><o:p> </o:p><v:shapetype id=_x0000_t75 stroked="f" filled="f" path="m@4@5l@4@11@9@11@9@5xe"...
  6. MAAMUZI MAGUMU

    Kumbe Halima Mdee ni breki ya Pinda.......................

    Mkuchika mnafiki tu, cheki anavyocheka kinafiki nafiki. Yeye na mwenzake Pinda walijifanya kuwatetea madiwani waasi, wakagaragazwa wote. Halima anawacheka akimwabia achana na mambo ya CDM wewe !! Sisi ni watu makini, Sio kina nape.
  7. MAAMUZI MAGUMU

    Arusha: Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA wabwagwa mahakamani!

    Tuesday, September 20, 2011MAHAKAMA YAFUTA KESI YA MADIWANI WA CHADEMA ARUSHA MAHAKAMA ya hakimu mkazi Arusha imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na madiwani watano waliofukuzwa kwenye Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambapo imedaiwa kuwa madiwani hao wanatakiwa kulipa garama...
  8. MAAMUZI MAGUMU

    Arusha: Madiwani waliotimuliwa na CHADEMA wabwagwa mahakamani!

    MAHAKAMA ya hakimu mkazi Arusha imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa na madiwani watano waliofukuzwa kwenye Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ambapo imedaiwa kuwa madiwani hao wanatakiwa kulipa garama mbalimbali ambazo zimetumika katika kesi hiyo. Hapo awali Madiwani hao waliwasilisha...
  9. MAAMUZI MAGUMU

    Kufutwa kwa wanaojiita Wrong Parking System - A-Town

    Wana JF jana katiaka Mji wa Arusha kuna Gari lilikuwa linapita likitangaza kuwa ile kampuni iliyokuwa inakata nagai yaliyoegeshwa vibaya (kwa masharti na vigezo vyao) imeondolewa katika kazi hiyo toka tarehe 01/09/2011. Amri hiyo imetangazwa na Mkutugenzi wa Halmashauri ya Jiji la A-Town. Cha...
  10. MAAMUZI MAGUMU

    Arusha- Mji wa kitalii - mji uliojaa kinyesi

    Arusha tatizo ni wakazi wanaoishi hapa. Kila mahali ni pachafu hata majumbani kwa watu ni wachafu. Niliwahi kumwona dada fulani kaotesha majani (Garden) pembezoni mwa barabara uongozi ukwamuamuru ayang`oe, kisa ni aneo la barabara.Pita Kimandolu Stendi pembeni kabisa ya barabara ya Arusha- Moshi...
Back
Top Bottom