Aisee wameipeleka mbali kweli! Nakumbuka wakati bado naisaka miaka ya 2010 wakati napiga review class pale DIT kwa Msasira; siku ya graduation tulikuwa tunaenda kuwaangalia waliovaa majoo! Ilikuwa inatupa hasira na kututia moyo pia kuwa yote yanawezekana. Ilikuwa ni sehemu ya motivation! Sasa...
Mtu kwenye somo fulani kapata C, alafu amzidi mtu mwenye A kwenye kulielewa hilo somo? Huo ni muujiza mkuu. Labda akijibu maswali ya tell us about yourself na siyo ya taaluma! Never on earth, labda kama mwmenye A alipewa bure! Gpa kubwa means aliscore vizuri! Mpaka muujiza utokee au hizo gpa...
Sasa mtu mwenye gpa ya 2.0 atakuwaje vizuri kichwani? Yaani anakuwa hajui hata kujielezea ukamuelewa! Tusidanganyane, gpa ni kipimo kizuri cha mtu anayeelewa vitu! Mtu hawezi nidanganya eti kwa kuelewa ana mzidi mtu mwenye gpa ya 3.8! Haiwezekani! Vijana mlioko mashuleni someni, kazi zimekuwa...
Ujue kuna kitu sijakielewa hapa, na ninadhani na nyinyi wanawake hamkielewi! Kukaa na mumeo kwenye nyumba nzuri na watoto hapo hapo wakati akitaka kutuliza moyo, mtu wa kucheka naye, mtu wa kumpa furaha si wewe mke wake ni mchepuko ina maana gani? Mchepuko hasikudanganye mtu, ata kama...
Watu wenye ishu za msingi, hawapotez muda kwa kuandika mambo haya! Sasa unapowatukana waliokataliwa na baba zao na kulelewa na mama zao, unataka tukueleweje? Kuna maneno mengine mnayatumia lakin yanaumiza wengine! Mi nadhan jitahidi kuwa mtu wa busara na si kutafuta umaharufu uchwara humu JF!
Kimsingi sheria inamtaka muhadhiri wa chuo kikuu / chuo cha elimu ya juu kuwa na GPA ambayo si chini ya 3.5 kwenye degree ya kwanza. Kwa maana hiyo hata hivyo vya CBE, IFM, TIA huwezi kuingia kama hauna 3.5! tena kwa sehemu kama CBE, kwa sasa huwezi kupewa part time kama hauna GPA ya 3.8 kwenye...
Kwa akili yenu ilivyo, hata akisoma na kuelewa na kupata GPA kubwa basi nyinyi mtasema alimeza! Mi naona mnachokifanya ni kutetea hizo GPA zenu ndogo! Nani aliwaambia mtu mwenye GPA kubwa hajui kazi mwenye pass ndo anaweza kazi? Mnajifariji tu, angalieni mambo kwa uhalisia wake!
Kama aliweza...
GPA kama nzuri fresh from school unaomba kuwa tutorial assistant kwenye vyuo vya umma na unaanza na zaidi ya hiyo 1.5! cku ukiongeza na masters basi unakula zaidi ya 2.2! vyuo vya umma vinalipa vizuri sana
Kuna watoto humu Jf, basi tu Mungu awasaidie! ujinga na kiburi vimewajaa! kama umekosea unakubari yanaisha! humu ndani hata mbumbu anajifanya anajua! ndo tz lakini...!
Nyani naye ana akili japo kuwa haelewi calculus, hatuwezi kusema calculus ndo yenye matatizo (haieleweki) bali akili ya nyani ni ndogo kuelewa calculus..............!!!!!!!
Ha ha ha ha!:nod::nod::nod::nod:
Ha ha ha ha ha ha ha! haya bhana! kwenye kabila langu hatutofautishagi R na L ndo mana nimeadhirika! By the way shule sisomi kwa kiswahili, ninasoma kwa kidhungu! Haya ndugu, kapitie tena IFRS yakwanza hadi ya 14 bila kusahahu IASs hadi ya 41, ISA kuanzia ya 200 hadi 800, na IPSAS then ndo uje...
Hujui ulisemalo wewe ndo mana unabwabwaja, na siku ukiona utumishi wameacha kufanya hii kazi ya kuinterview watu basi ujue watu kama wewe mtakaa sana mtaani! Mi naamini hukusoma, ila unatafuta wa kumrahumu tu..! Maandalizi ni muhimu sana kwenye interview za utumishi. Kuna jamaa zangu vipanga...
Ni bora mara mia uwe nayo kuliko kutokuwa nayo! You never know, kuna siku inaweza kukusaidia!
Ila kwa hii curriculum mpya utaenda kuchukua kweli au utachukuliwa wewe?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.