Search results

  1. T

    Polisi Waunda Tume ya kuchunguza kifo cha Daudi Mwangosi

    Wapendwa watanzania wenzangu, huku tunakokwenda ni kubaya sana. Kinachotusikitisha ni kwamba askali waliapa kutulinda sisi watanzania pamoja na mali zetu ndiyo wanaotuua. Ebu nioorodhesha kidogo matukio kadhaa. Kumbuka Arusha, Morogoro na hili la Iringa. Hivi hatujui thamani ya uhai wa...
  2. T

    Ma Auditor wamebaini Ufisadi wa Kutisha CCBRT, Wafanyakazi wawili wamefutwa kazi!!!

    Wanajamii Forum kwanza nawapongeza kwa kujadili mambo ya ufisadi kwani hatuyahitaji katika sehemu yoyote. Ni kweli watu wawili wamesimamishwa kazi na si kufukuzwa kama ilivyoandikwa na wanajamii forum wenzangu. Pia si sahihi kuwa mishahara imechelewa kwa sababu ya auditing, lahasha, ni kwa...
  3. T

    ipe maneno picha hii

    Inaelekea hapa waandishi walichukia sana, kwani kila anayemuangalia Luhanjo amekasirika, wanakumbuka jinsi alivyoitosa serikali na bunge na kumpendelea Jairo, sasa wanauliza je baada ya kustaafu atajibu mashitaka kwa kulidanganya taifa?
  4. T

    ipe maneno picha hii

    Inaelekea hapa waandishi walichukia sana, kwani kila anayemuangalia Luhanjo amekasirika, wanakumbuka jinsi alivyoitosa serikali na bungu na kumpendelea Jairo, sasa wanauliza je baada ya kustaafu atajibu mashitaka kwa kulidanganya taifa?
  5. T

    Dada zetu kwenye daladala

    Mbona sioni kama kuna tatizo katika ukaaji wake na ata uvaaji wake!!!!!! Ni hisia mbaya tu!!!!!!!!!!!!! Utakamatwa siku moja kupiga picha watu bila idhini yao,ni kosa kisheria.
Back
Top Bottom