Search results

  1. C

    Nape, 'Kujivua Gamba' ni danganya toto??

    hapo kwenye red uko sawa FUSO. wa kumkomboa mtz ni mtz mwenyewe, kosa letu tumekalia kulalamika tu hatuchukui hatua hivyo tutaendelea kutaabika siku zote!!
  2. C

    Wanandoa wanaotembea nje ya ndoa zao (wanaume 70% & wanawake 60%)

    uko sahihi THE BOSS!!!jamaa huwa hawana kazi za kufanya zaidi ya kudhulumu wasanii na kuongea ishu za kipumbavu....kuna ishu nyingi nzito na zenye tija kwa taifa zinazohitaji utafiti!!
  3. C

    Meli ya MV Spice Islander, yazama ikelekea Pemba; wengi wahofiwa kupoteza maisha

    matukio kama haya hayatakoma kutokea mpaka pale umma wa tz utakapoona umuhimu wa kuwawajibisha wazembe wanaosababisha haya maajali....mfumo wa uendeshaji nchi sio!!!
  4. C

    Ukimfumania Mke au Mumeo utafanya nini?

    hakuna kitu kama hicho mkuu, kuna makosa ya kusamehe sio hilo!1
  5. C

    Ukimfumania Mke au Mumeo utafanya nini?

    unampa adhabu ya kisaikolojia!!unakaa kimya kama hakuna lolote alilolikosea, unaendelea na maisha kama kawa bali hushiriki nae tendo la ndoa...atakimbia mwenyewe tu, maana atakuwa anajiuliza jamaa ananitafutia adhabu gani mbona yupo kimya??
Back
Top Bottom