Search results

  1. E

    Daftari la kudumu linakuja, tujiandae

    We kajiandikishe umeanza ubabaishaji utaratibu upo utapiga popote nchini.we utapiga kura kwelii?jibu
  2. E

    Daftari la kudumu linakuja, tujiandae

    Kisha mwende kupiga kura sio kujaza mikutano tu.mnaudhi sana
  3. E

    Daftari la kudumu linakuja, tujiandae

    Na mkapige kura sio kujaa kwenye mikutano na maandamano.hamkawii kulalamika
  4. E

    Haya ndo yanayiendelea bunge la katiba

    Na bado tunasubiri mkitoka humo ndani mtuambie mlichokipata maana huku nje wanafunzi hawajapata pesa ya mafunzo kwa vitendo,n.k
  5. E

    Kivazi cha mnato aibu kwenu madada

    Unakuta mdada kavaa kisuruali fulani chepesi kimenataaa kimemchoraaa kama na makalio mpaka makovu name manundunundu yanaonekana, kama ni pichu inaonekana wazi. Kichwa juu anakatiza hadi kichefuchefu. Jirekebisheni, mwenye picha tuwekee wajione walivyo.
  6. E

    Smartphone sasa balaa

    Hata ukiingia na kitu Kwenye rum kwa kazi ya kikubwa ni shidaaa.eti subiri kwanza nicheki whasp,duh mwingine kwa hasira anakodoa macho weee.hata morali inashuuuka.kama huyo anaesoma hii jf muda huu mwone kwanza
  7. E

    Smartphone sasa balaa

    Mmh eti ananuka mdomo acha dharau na maringo.
  8. E

    Smartphone sasa balaa

    Utakuta mtu anacheeka peke yake hadi anatoa machozi hee.wehu huanza taratiiibu
  9. E

    Smartphone sasa balaa

    Muone huyo hapo kwenye basi anavochati wee hebu msalimie huyo jirani yako kwanza ukipata matatizo safarini ndo unaanza ooh habari yako.ni shidaaaaa
  10. E

    Smartphone sasa balaa

    Zinapunguza wateja mahotelini kwenye mabaa kwa kuwa mtu afikapo anakaa tuu anaanza kuchati mara Whatsapp,kisha Facebook, alafu instagram, anamalizia na Jamiiforums ndo unasikia niletee mchemsho, akimaliza kula anaanza tena kuchati weee, Inaudhi sana hata kwenye usafiri mtu hakuna hata...
  11. E

    Mwinyi: Serikali haijawahi kufuta Azimio la Arusha kama inavyodaiwa na baadhi ya watu

    Kuzimua yaani umelala umelewa unapata moja mbili asubuhii au ndo hivo walizimua azimio?ndo ulevi ukazidi kujilimbikizia mali
  12. E

    Prof. Mukandara amepanda texi leo (Big up!)

    Bategereza hebu mjibu kwa kile kithungu safi
  13. E

    Mokiwa: Hatutaongozwa na wanyoa vipara

    Uraisi umekuwa wa kuchezea chezea tu kisa kuwa mbunge tu na kuaminiwa jimboni basi mabega juuu na masikio juu
  14. E

    Kuangalia mpira na Wanawake ni Shida.... Yaani Wana Maswali...!

    Mke:jamani hawa wamevaa njano kama yanga ndo wamefungwa WIKI .mume:shiii katandike tulale saa 7 usiku wasije kukusikia,
  15. E

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Refa anapendelea waziwazi wazimbabwe
  16. E

    Wewe unamuogopa Yeye anacheza nae.

    We mwache siku moja atajua anacheza na kifo
  17. E

    Tabia mbaya kumi zinazofanya ushindwe kuwa na akiba "savings"

    Kweli tubadilike mchepuko noma na unakufanya maskini
  18. E

    Anna K. Malecela: Ole Sendeka kaa kimya utapewa hela na akina Maswi

    Je la kupeana hela ili kutohoji ufisadi ni la kweli?
Back
Top Bottom