Search results

  1. R

    Shule ya wasichana Ruvu imekithiri ukabila na ubabaishaji

    Unasema shule imeshuka kitaaluma,nimeingia kwenye web ya wizara nahaya ndio matokeo yk one22,two40,three 106,four40,zero6.
  2. R

    Shule ya wasichana Ruvu imekithiri ukabila na ubabaishaji

    Ujinga ni kitu kibaya sana!eti unasema alikuwa anatakiwa kustaafu kwa mujibu wa sheria kwahiyo ameihonga serikali.au.kwaataarifa yk nenda ukaguzi kanda ya.mashariki.uilze ilipokaguliwa mwezi wa keanza ilipata alama ngapi ucpoifuta post yk
  3. R

    Wachaga na maendeleo-impressed

    nilipotaja vyuo na benk ckumaanisha kuwa viko rombo,hata benk iko marangu!
  4. R

    Wachaga na maendeleo-impressed

    Ukifka rombo ndio utashangaa zaidi,wkt wanajenga shule za kata zinapasukapasuka kabla ya mwaka,rombo shule zakata zimejengwa magorofa,by the way in tz is only sehemu kuna vijiji vyenye bank,na university!
  5. R

    Ujenzi: Kipi kinaanza, plaster au ceiling joists?

    Kabla ya yote,condrit pipe,then hch unachoita cinling watwat,kimtaa inaitwa blandaring,ndio inafuata thn plaster,kuna mtu ameshakushaur vzr hp juu,bt pipe is tha first!
  6. R

    Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

    Waamarekani wanashanglia cku ya uhuru wao!
  7. R

    Milio ya "risasi" kinondoni - tujuzeni wadau

    Mnatufanya tunashdwa kulala wengne tunaish karbu na makambi,tukafkir yambagala kimesanuka tena!
  8. R

    Milipuko huko kigamboni

    Duh baruti na mshndo wote huo c nyumba za watu ctakuwa chali?
  9. R

    Milipuko huko kigamboni

    niko hk goba nasikia hy misauti nimetoka nje najaribu kuchungulia hata nimekuwa nawsws bhana
  10. R

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Tangia niwe member wa jf,leo naweza kusema nimepata watu walioweka hisia pembeni na kuuona ukwel,nilikuwa nasoma juzi imam wa msikiti wa kichangani kwajina walid,alivyotaka kupigwa na waumini wenzake pale alipokuwa anajaribu kuwaelewesha kuwa shekhe ponda kukamatwa kwake na makosa aliyonayo...
  11. R

    Tanzania: Vyama vya upinzani vyanyimwa ruzuku Rasmi

    unaumwa ww bora ukapimwe akili kwani uliku haujui kuwa vyama vinapewa ruzuku?
  12. R

    Wassira amtaka Dr. Slaa aache kuita wake za watu chumbani!

    Hata akiwaitia chumbani angewafanya nn?wako wawili then bd kuna ushahidi wa mpiga picha hapo!
  13. R

    CHADEMA waamua kuchimba visima 11 Igunga na Kafumu haonekani tena Igunga!

    napata tabu kidogo kumwelewa vzr hy sabodo na mchango wake kwa chadema!
  14. R

    Dr Kigwangalla Amponda Benno, Amtetea Riziwan, Anatafuta Uwaziri?

    too much talking is a prblm!mbna husen mwiny is a very cul guy?
Back
Top Bottom