Search results

  1. W

    Kikwete awaachia huru Polisi waliomuua Jenerali Kombe

    Naunga mkono hoja. Alikuwa na uwezo kikatiba ya kusema wafungwe mwezi mmoja. Si yeye ni katiba ambayo ndiyo sheria mama.
  2. W

    Kuitwa kwenye usaili UDOM tarehe 15-16/10/2011

    Wewe nawe kweli lugha inakupa shida. Sasa tangazo hilo linatatizo gani. "The University of Dodoma would like to inform all applicants who applied for different positions that there will be a written examination which will be administered in groups at the College Social science and of Humanities...
  3. W

    LHRC yaitisha Maandamano nchi nzima kupinga malipo ya DOWANS

    Niko sambamba na Watanzania wenzangu kwa lolote. Kesho naanza kuvaa nguo nyeusi hadi siku ya maandamano hayo.
  4. W

    Elections 2010 Mbunge wa Sumbawanga mjini akiwa chini ya ulinzi baada ya kuvamia ofisi za CHADEMA Igunga

    Kumbe aliwarushia risasi juzi, huyo ni mtu hatari sana. CDM chungeni sana ngwe hii ya lala salama.
  5. W

    Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

    Mbona nawashangaza sana nyie. Kwaani huyu ndugu kakosea nini? Yeye kasema wazi kabisa tena mchana kweupee kuwa "KWA HALI ILIVYO SASA IGUNGA NO WAY CHADEMA ITASHINDA". Sasa tatizo la kumzogoa ninini?
  6. W

    Please! Please! Please CHADEMA nawaomba mkubali matokeo Igunga

    Yaani wewe unaakili sana. CHADEMA hapo Igunga kweli lazima ishinde. Tatito ndugu yangu ni hao CCM wao hawataki kukubali matokeo wakati hali iko wazi. WEWE
  7. W

    CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

    Ndallo, Huyu hajui analosema, ni Masaburu tupu. MWANTUMU MAHIZA anaelimu gani?????? serikali ya JK bure kabisa.
  8. W

    CHADEMA kuangukia pua Igunga.....!

    CHADEMA OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE. Mwendo mdundo. Tena huyo DC bahati yake sikuwepo, ningejiolea hapo hapo, maana hana mume.
  9. W

    Mwigulu Nchemba na Tuhuma za Ugaidi wa CHADEMA

    tatizo unafikiri kwa masaburi.
  10. W

    Anna Tibaijuka ajenga kwenye hifadhi ya Barabara.

    Dr. John pombe magufuli yuko wapi? nadhani mjulishe hili mh. John atalishughulikia ipasavyo. I count on that guy.
  11. W

    Mawaziri wa JK wagongana

    Ajibu nini?? hakuna hoja ya kujibu hapo.
  12. W

    Mke wa tajiri yangu ananitaka kimapenzi

    RMD, Amri ya sita ktk biblia inasemaje?
  13. W

    Rais Jakaya Kikwete aanikwa...

    Wewe mama weweee! Unamacho lakini ni kipofu, Unamasikio lakini ni kiziwi. Kumbuka msemo huu "auaye kwa upanga sharti auawe kwa upanga". WikiLeaks endeleeni kufunua maovuu yote.
  14. W

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Retreat, Hii inaonyesha jinsii gani mkuu wa majeshi alivyo kuwa makini na ulinzi wa Taifa hili. Kikwete hana upeo wowote wa kuchambua mambo, anajipeleka tu kwa kutaka kusifiwa bila kujali kama anachokifanya kinaleta athari kwa taifa au la. No deep thinking at all.
  15. W

    Zaidi ya Suti: WikiLeaks yafunua mgongano kati ya JK, Kapuya na Gen. Waitara...

    Kikwete hafai hata kwa kuchomelea. Anapaswa kujipima kisha kuchua uamuzi kama alio uchukua EL. ingekuwa ni busara sana kuliko kuuza nchi katika nyanja zote.
Back
Top Bottom