Search results

  1. uronu

    Corona Virus imetengenezwa? Virusi hivyo vilibashiriwa katika Kitabu mwaka 1981

    These guys for real they are not serious..
  2. uronu

    Q-NET Company "biashara mtandao" ni utapeli unaoenea kwa kasi Tanzania. Serikali mko wapi?

    Wanajamvi embu nisaidieni kuifahamu vizur QNET, leo waliniweka chemba koti na kunipa lecture yao, it was very interested but nahitaji uzoefu wenu..
  3. uronu

    Whatsssssss!!!!!!!!!????

    Wee jamaa ni shida hahahahahahahah Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
  4. uronu

    Uganga na uchawi una faida zifuatazo

    Kumbe mimi pia ni mganga nicye jiamin ktk dawa zangu.. hahaha
  5. uronu

    Kwanini Dikteta Castro anapendwa sana?

    Umetumia kigezo gani kutuaminisha upendo anaopewa castro..
  6. uronu

    Trump azidi kukataliwa

    Kipind cha kampeni yake bwana Trump alishawahi kuckika akitamka juu ya kutawaliwa tena kwa Africa, ili mna lizungumziaje wadau..
  7. uronu

    Abiria asahau shilingi milioni 375 kwenye taxi, soma alichofanya dereva taxi

    Absolutely very correct.. Barikiwa mama..
  8. uronu

    Tunajifunza nini kwa kile kilichotokea Rwanda kwa mauaji ya Kimbari?

    KIGALI GENOCIDE MEMORIAL Part 2. Inaendelea ilipoishia Jana. ATHARI ZA MAUAJI Ndani ya makumbusho inaelezwa kwamba 75% ya watoto nchini kipindi hiko walipatwa na Trauma (ugonjwa wa kisaikolojia) either kwa wao vijana wadogo kushiriki mauaji au kushuhudia mauaji ya kikatili. Wataalam wanasema...
  9. uronu

    Trump azidi kukataliwa

    Kama ameweza kusema kuwa Barack Obama na Bi Clinton ndyo founder wa Islamic state atakuwa mzima kweli.
  10. uronu

    Tunajifunza nini kwa kile kilichotokea Rwanda kwa mauaji ya Kimbari?

    Yote yalikuwa yakichochewa na chombo cha habari cha private kilichokuwa kikifadhiliwa na serikali kikijulikana kama Radio Television Libre Des Mille Collines ....maana hao Radio Mille Collines walikuwa wakieneza chuki za kikabila wazi wazi ila hawakuwahi kufungiwa wala kuonywa na wafanyakazi...
  11. uronu

    Tunajifunza nini kwa kile kilichotokea Rwanda kwa mauaji ya Kimbari?

    Part one. 1.Rwanda ni nchi nzuri yenye milima mingi wenyewe wanaita the land of a thousands hills. Ni nchi yenye makabila mawili Hutu na Tutsi. Hapo zamani wakoloni walipokua wakiitawala ndio walipo asisi utengano na chuki baina ya makabila haya. Wakoloni wali favour Tutsi kuwapatia elimu ajira...
  12. uronu

    Nafurahia mapenzi nikiwa na binamu yangu kuliko mume wangu

    Kama bdo mnawacliana ni vigumu sana kuachna naye, siri kubwa ni kikata mawasiliano naye, lakin kwa binadam haiwezekan ila kwa Mungu kila kitu kinawezkana.. mshirikishe Mungu kama unaiman lakin kama huna iman watafute wataalam wa Counsellor.. fanya hivyo.
  13. uronu

    Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kuitwa AFRICAN TIGER cyo tija kama wananchi hawapati huduma za msingi kama maji safi na salama, dawa za kutosha, na maisha ya uchumi wa kati kwa watanzania..
  14. uronu

    Naombeni ushauri nianze na lipi katika haya

    Jenga kwa wazaz kama wana JF wanavyosema lakin ushaur wangu ni vema ukawashirikisha ndugu zako kama unataka uwajengee nyumba wazaz ili yeyote atakayeguswa na hilo wazo ajitolee kwa hiari yke lakini wew ufanye hata kama hawatatoa kitu.. lakin mbaraka utakuja kama hutakuwa na majivuno moyon mwako...
  15. uronu

    Kituo cha Polisi usa-river Arusha acheni kuiba vifaa vya Magari

    Mmmmmh waibe basi gari lote tusilione, wataibaje waache skrepa..
  16. uronu

    Gharama za Kupanda mlima Kilimanjaro zipoje?

    Jambo la msingi ni habar..
Back
Top Bottom