Search results

  1. thehunk

    Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

    Kaka mpaka kufikisha hapa ulikuwa umetumia kama shilingi ngap? Na je baadabya msingi uliweka linta
  2. thehunk

    Makadirio ya ujenzi

    Umetumia shilingi ngap kufikia hapo??
  3. thehunk

    Mtandao wa bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu

    Jamii tunahitaji kukamilisha taarifa zetu katika mtandao wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu lakini mtandao huu haufunguki .au huko kwenu vipi unafunguka?
  4. thehunk

    Mwenye bodi ya toyota brevis tafadhali

    kuna brevis yenyewe inaitaj hela kidogo tu
  5. thehunk

    Msaada eti gari hii inaweza kurudi kwenye hali yake ya kawaida?

    auze gari kwasababu limepata ajali kisha akanunue kwa mtu amabaye naye analiuza kwasababu lilipata ajali alili repair ndio kaliweka sokon
  6. thehunk

    Kwa wataalamu tu, kuhusu mwendo kasi wa magari

    mkuu si unit ya mwendo kasi ni km/h au mph kwa maana ukiandika 80km/p maana yake ni kwamba itakukuchukua lisaa limoja kutembea kilomita 80. sasa hakuna umbali wa gari kubwa au ndogo umbali uko ardhini . na hii imekaa ki theory lakini practicaly ni ngumu ule mshale ukawa uko kwenye 80km/h lisaa...
  7. thehunk

    GARI KUVIBRATE IKIFIKA SPEED 80 NA KUENDELEA

    JAMIIFORUM, NAJUA HUMU KUNA WAJUZI WENGI HIVYO NAAMINI NITAPATA MSAADA,GARI YANGU AINA YA TOYOTA CROWN ILIGONGA JIWE NA KUPINDISHA PROPELA,TANGU SIKU HIYO IMEKUWA NA TATIZO LA KU VIBRATE IKIFIKA SPEED 80 NA KUENDELEA. JE HILO NDIO LINAWEZA KUWA TATIZO MANA NIMEPELEKA KWA FUNDI HAPA MTAANI...
  8. thehunk

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Na ili uelewe zaidi soma passport act ya tanzania na citizenship act ya tanzania ndio utaelewe raia ni nani na msafiri ni nani
  9. thehunk

    Passport: Maombi ya Hati ya Kusafiri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Huyo jamaa juu hapo amekudadavulia vizuri sana.passport ya tanzania ni haki ya kila mtanzania ambaye ni msafiri .ili upate passport lazima uwe mtanzania na uwe na safari, haya ndio masharti makuu mawili na lazima yathibitishwe kwa maandishi without reasonble doubt . ili kuthibitisha uraia wako...
  10. thehunk

    Hifadhi mazao bila kutia dawa

    Mazao yanaota
  11. thehunk

    Malipo ni hapa hapa duniani

    Kuku wangu wameanza kutaga,lakini cha kushangaza inaweza kupita siku kadhaa hawatagi, yaani usipowafungia bandani kwao basi ndio kabisa hawatagi. na uchunguzi nilioufanya nimegundua wanataga kwa jirani yangu na jirani ameuchubua. Wakati natafakari hili ndio ikanijia kumbukumbu ya kwamba zamani...
  12. thehunk

    Tahadhari: Kuweni makini sana na wahudumu wa bank

    huku mkoa wa songwe wilaya ya songwe hata wiki moja haijaisha tangu bank ya NMB ifunguliwe,lakini wizi wa kusema hela iko pungufu wakati ulihesabu vizuri umeanza.sasa tunasema wataondoka.
  13. thehunk

    Vitambulisho vya taifa!

    Ficha id yako....mbona ume ji expose hivi
  14. thehunk

    Tanzania dhidi ya malawi juu ua mgogoro wa umiliki ziwa nyasa

    Hali tofauti kwa upande wa mpaka wa msumbiji na malawi ambapo mpaka upo nusu kwa nusu
  15. thehunk

    Tanzania dhidi ya malawi juu ua mgogoro wa umiliki ziwa nyasa

    Habari wana jamvi Leo nimepata muda wa kupitia pitia Google Maps kuangalia maeneo tofauti tofatuti. Lakin nilipofika katika ziwa nyasa vitu vya kushtusha naviona mbele ya macho yangu.kwa kifupi ni ziwa lote la nyasa kupewa umiliki nchi ya malawi Vitu hivo ni kama ifatavyo; 1) jinsi mipaka...
  16. thehunk

    Itakuchukua Miaka Mingapi Upinzani kuja kushika Dola

    Upinzani watashika dola siku ambayo ccm itaweza kubadilisha mgombea kwa miaka mitano na siku 10
Back
Top Bottom