Search results

  1. K

    Waziri gani shujaa awe wa kwanza kutumia japo vitara?

    kweli naunga mkono hoja watumie landrover 109 new model a.k.a mandolin coz zinamudu njia zote mijini vijijini mbugani na zina spidi kubwa kama v8 Mh Godbles Lema anayo yake pale Arusha anaweza kutujuza how much does t cost
  2. K

    CCM siyo mama yangu-Maige!!!!!

    mkuu hakuna lisilowezekana kwa serikali yetu unaweza kuwa hata na kibajaji kimoja ukapata 20,000,000 kwa mwezi, chunguzeni hiyo kampuni ya logistic inabeba mizigo ya nani huenda ni ya serikali na wamejipangia wao walilipe lori lao shilingi ngapi
  3. K

    Mkuu wa Wilaya ya Mbozi atangaza kujiuzulu!

    mi namp big up by the way ana ushahidi kuwa kuna mwanya wa rushwa waziri wa kilimo kapokea au huyu waziri wa kilimo ana kampuni yake ya ulanguzi inanunua kahawakwa sh 1,000 na kuipeleka moshi kuiuza kwa sh 7000 hayo ndio madai yake na pili anamlaumu rais kikwete kwamba tangu mwaka 2010 mpaka leo...
  4. K

    Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

    sure, instead of taking pics Ray was seriously supposed to call 911+ambulance urgently
  5. K

    Ray ageuka mbogo baada ya kuhusishwa na kifo cha kanumba.......amsweka ndani mmiliki wa u-turn

    kumbe dada wa watu kaolewa halafu nyie mnamsingizia anakaa kwa dr.... atakuwa amepanga hapo na mzungu wake au watoto wa dr wanapata faraja wakimuona huyo mdhungu!.!.
  6. K

    Mazishi ya Kanumba, kamati yapiga hela ndefu

    hata mimi nilikuwepo na niklishuhudia wasanii wakitaka funguo za magari ya kanumba sijui ili nini, labda walitaka wakapunguze petroli kwenye hizo gari na pia walitaka funguo za ofisini kwake, huwezijua labda wangekwenda kuipa copy za filamu zake! nashukuru yule ndugu kwa msimamo wake aliwanyima...
  7. K

    Raisi wa jamhuri wa muungano wa tz jk wa pili unayajua haya

    Umesahau petrol, diesel,,,, hata wale ewura siku cku hizi wanakaa baada ya wiki mbili wanapandisha tu hakuna kushusha imagine sasa hivi petrol ni 2300 kutoka ile waliyogoma wakati ule ya 1800 walipokuwa wanatufanyia kakomedy kutudanganya toto nadhani hawa ewura wanaibeba zaidi hii mikampuni ya...
  8. K

    Gavana wetu shopping Lauer's Maryland nchini Marekani.

    kuna gazeti moja jumanne ya wika hii lilitoa front page kuwa akaunti zake marekani zinafanya kazi sasa cjui nani anae zirun! kweli tanzania ya nkwere hamnazo, yawezekana analinda maslah ya bush na dhahabu zetu, nkwere na ufisadi wake, mkapa,,,,,,,, ndio mana nae analindwa lol
  9. K

    Maandamano ya Kumpinga JK Washington DC

    hata mimi nimeumbuka mkuu nilipingana na mtu juzi nikamwambia kwamba mkuu wa mbayuwayu lazima aaibishwe akifika kule majuu lakini cha kushangaza alilakiwa na mpaka watoto wadogo ambao bibi na babu zao tupo hapa bongo tukiteseka na maisha mabovu, binafsi kimeniuma sana
  10. K

    Kijana kati ya miaka 18-35 anaesapoti CCM akapimwe akili

    Hao vijana, wazee, akinamama wanaopewa khanga, wanaume wanaopewa kilo1 ya nyama mi nawaona ni legelege kama serikali na viongozi wa chama tawala, vitu hivyo vinakufanya unapoteaza kura yako na kupata shida, kuishi kwenye giza miaka mitano! AIBU HII WATANZANIA AMKENI
  11. K

    Family Photo

    na hii hapa ndo nikikumbuka najiona **** xana NAAPA NAAHIDI MBELE YA CHAMA, MAPINDUZI NITAKULINDA MPAKA KUFAA!
  12. K

    Raisi Kikwete umesoma hili bango uwanja wa ndege wa Kigoma ama ndio vip mpka ufe?

    rais yuko busy na safari za nje hawezi kusoma mabango
Back
Top Bottom