Search results

  1. SenBoy

    Swali kwa Tundu Lissu

    Siku hizi kila nikimsikiliza TL huwa namkumbuka saaana marehemu Banza Stone, kwa ule wimbo wake "ELIMU YA MJINGA" au kwa jina jingine "MTAJI WA MASIKINI". Kuna verse aliimba "mjinga hupenda majivuno, hupendo majisifuu, asichokijua hujifanya anajua, mazuri ya kwakee mabaya ya wenzake......" TL...
  2. SenBoy

    Ni Kama kweli Hivi; "Tanzania ina Mamluki/Wanafiki Wengi Kuliko Wazalendo"!!

    Mtoa mada kauliza na kuomba tujadiri neno "uzalendo" ili tueleweshane mzalendo anatakiwa kuwa na sifa zipi. Hakusema tuijadiri nani ni mzalendo na nani sio mzalendo, ila kwa sababu ya ujinga wa uvyama wa watu fulani, tayari wameshakimbilia kutoa mifano kulenga watu fulani.
  3. SenBoy

    Rais wa Benki ya Dunia kuwasili nchini Jumapili

    Hapa waliongea lugha gani mkuu??
  4. SenBoy

    Kauli na maneno ya Tundu Lissu hayana tofauti na ya Mwalimu Nyerere wakati wa TANU

    Nimejitahidi kuisoma yote, tunashukuru kwa kutuletea historia ambayo wengine hatukuijua. Na hatukuwa tumezaliwa. Ila hakuna mahali ambapo unaweza kulinganisha kesi hiyo ya JKN na za TL. JKN hakuwahi kubadilika katika misimamo yake, hakuyumbayumba wala kunyenyekea viongozi waliokuwa wala...
  5. SenBoy

    Niionavyo awamu ya tano.

    Umesahau wabunge wa upinzani kutafuta kick kwa kuwachokoza polisi na kumtukana rais badala ya kwenda kwenye majimbo yao kutekeleza ahadi zao.
  6. SenBoy

    Mbinu za Rais Magufuli zinawaumiza wapinzani

    Akili yako ndogo haiwezi kuelewa mambo makubwa kama hayo. Hapo hata mwenyekiti wako wa CDM akisoma itabidi akune kichwa.
  7. SenBoy

    Mbinu za Rais Magufuli zinawaumiza wapinzani

    Kama wamo humu na wana akili timamu maneno yako ndio wanatakiwa wayafanyie kazi ili warudi kwenye mstari.
  8. SenBoy

    Kuilinda amani kwa gharama yoyote

    Kweli aisee, ila tunapoandika humu na tuwe wa kwanza kutangulia mbele kwenye maandamano. Tusiwajaze upepo wengine harafu sie tukae tunaangalia kwenye TV tu
  9. SenBoy

    Vifaa vya kubeba tarehe moja kama ni mshiriki operation UKUTA

    Hakikisha pia familia yako unaiachia pesa za kutumia miezi mitano utakapokuwa mahabusu.
  10. SenBoy

    Hivi Lowassa ni nani kwenye siasa za Tanzania?

    Lowasa ana PHD ya mambo ya usanii, kwa mtu kama huyu ni rahisi sana kuwateka akili wale wenye ufahamu mdogo. a.k.a VILAZA.
  11. SenBoy

    Rais Magufuli, mbona Majaliwa aliimba ana imani na Lowassa kulikoni ukamchagua kuwa Waziri Mkuu?

    Mie nimemuona akiwa anainua uko na kuinamisha kana kwamba kuna kitu mkononi ameshika, vile vile nimemuona akiwa anashangaa na kugeuka kuangalia watu wanaoimba. Sijaona kabisa kafungua mdomo na kuimba, kwa ufupi ni kuwa hakuimba. Bora kutafuta kazi za kufanya kuliko kufanya kazi za kudanganya...
  12. SenBoy

    Rais, Tanzania si chochote katika utalii

    Zimbabwe, daaaaaah. Najilaumu kwa nini sikulibeba lile gazeti aisee, lilionyesha Zimbabwe ilipokea Watalii laki 8+ kwa mwaka 2014. Wengi wao wanakuja kutokea Afrika Kusini na kurudi siku hiyo hiyo, ni 35% tu wanaolala kwenye hotel za pale Victoria Falls na Whange National Park.
  13. SenBoy

    Tuliomkataa Lowassa, Makuwadi wa Mabadiliko "Yale" na Waliojipanga Nyuma Kosa Letu Nini?

    MM, kwanza heshima kwako. Mie binafsi bado nashindwa kuamini kama sie Watz tuna akili finyu kiasi cha kujidhalilisha na kumuabudu mtu mchafu kama E.N.L. Mtu ambaye wapinzani woote wa nchi hii walimtumia kama turufu ya kuinyanyapaa CCM kupitia dhambi ya ufisadi eti ghafla akageuka kuwa malaika...
  14. SenBoy

    Mbunge anayetajwa na gazeti la Jamhuri ni yupi?

    Mkuu, pole na majukumu ya kazi za kila siku. kwa kukujibu tu swali lako, Hapa Mwanza kila kitu kinajulikana. Jambazi Mbunge aliyetajwa hapo ni Lameck Airo, mbunge wa Rolya na diwani hapo ni Henry Matata, diwani wa Kitangiri na meya wa Ilemela. vilevile wana washirika wao wanaojulikana akina Jack...
  15. SenBoy

    Kigwangalla: Mbowe mjinga, mpuuzi, ametia aibu na kushikishwa adabu...!

    Namshangaa sana Kigwangala, baada ya kupata ubunge akaanza kuuandama mgodi wa RUSOLUTE. Amesahau kuwa ndo uliomtoa, Kigwangala alifanya kazi pale akiwa kitengo cha BLASTING. Akawa anajiendeleza kusoma kwa mshahara aliokuwa akipata pale. Sasa baada ya kuwa mbunge akapigania ili mgodi ufungwe ili...
  16. SenBoy

    Hapa Sijamuelewa Lukuvi

    naomba niandike kwa herufi kubwa ili nisomeke vizuri; NDUGU WA JF, KWA JINSI NAVYOLIELEWA JUKWAA HILI NI KWA AJIRI YA WATU MAKINI NA WENYE MITAZAMO CHANYA. PIA NI KWA WATU HODARI WA KUFIKIRIA NA KUJIBU HOJA ZENYE UJUMBE UNAWEZA KUONGEZA HATA UFAHAMU KWA WATU WENGINE. LAKINI SIKUJUA KUWA KUNA...
  17. SenBoy

    Enzi Hizoooooooooo RIP

    Huyo mmoja ambaye sura yake imetokeza begani kwa Zamoyoni Mogella na Khalfan Ngasa a.k.a Babu. Baba wa Mrisho Ngasa. mwingine ndio simkumbuki.
  18. SenBoy

    Hawa wanajeshi ndio mnaotaka waende vitani? Kweli?

    Mkuu mbona huyu ni askari wa Malawi? kumbuka ma-MP wa Tz hawavai sare hizi. lakini Malawi hata ukipita kwenye Geti za barabarani utakuta maaskari wamevaa namna hii. hiyo MP ni Malawi Police, nina uhakika 100%. Au wewe ni Mmalawi unatutisha nini?
  19. SenBoy

    Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

    mkuu umesema kweli kabisa, si alikuwa anakaa mitaa ya nyakato miaka hiyo. Tena mama yake alikuwa mpishi pale bank kuu Mza, ana kichwa kigumu kinoma.
  20. SenBoy

    Mh. Vicky Kamata CV ...[ Mungu tuokoe]

    mkuu ni kuwa alizaliwa mwaka 1974 na sio 1978 na kaka yake deo alizaliwa 1972.
Back
Top Bottom