Search results

  1. Mizymade

    Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

    Wow! Kazi nzuri... Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Mizymade

    Rais Magufuli: Tutagawa bure Sukari itakayokuwa imefichwa

    Atleast kuna watu ambao wanafikiri bila kuweka siasa mbele kama wewe mkuu. Economically nchi yoyote ile duniani inaendeshwa kwa uwekezaji na biashara, sasa kama ikitokea wafanyabiashara wameondoa biashara zao hapa nchini hayo mapato na ushuru vitatoka wapi!? Naomba ieleweke hapa kuwa ninaongelea...
  3. Mizymade

    Nina swali la uchumi

    Naam, kwa mtazamo wangu hiyo ndo conclusion hapo...
  4. Mizymade

    Nina swali la uchumi

    Hujanielewa nilichomaanisha hapo juu. Nadhani kuna tofauti kubwa mtu akisema "tennis au movie" na atakaposema "tennis na movie"...
  5. Mizymade

    Nina swali la uchumi

    So far katika swali kuna condition hii 'tennis or movie'. Kwa hiyo opportunity cost ni moja kati ya hivyo vitu viwili hapo juu. Ukiangalia mwisho wa swali anasema 'tennis and movie' ndo opportunity cost. Therefore that analysis is not correct based on the principles surrounding the concept of...
  6. Mizymade

    Dah! I got into everlasting pain

    I ain't trying to be a teacher here, I wanted her to realise a honest mistake she has made... I can't blame you. Go back to your english teacher and try to think about the words before you post something else thats gonna embarass you... Ndo anarekebishwa hivyo...
  7. Mizymade

    Dah! I got into everlasting pain

    I can't deny that's codemixing but she ain't clear as to what she is saying in the part where she has written in english. (read the post again)
  8. Mizymade

    Dah! I got into everlasting pain

    Pole... Siku nyingine andika kiswahili tu maanake hiyo broken hata kwa super glue haiunganiki.....
  9. Mizymade

    The problem is .....

    Daaamn!!!! U've nailed it man.....
  10. Mizymade

    Bachelor degree applicants missing diploma qualifications

    Kwangu kila kitu kimerudi kama kilivyokua siku naapply, namaanisha hata capacity zimerudi kuwa vilevile.....
  11. Mizymade

    Hivi hawa ni wezi nacte kweli au matapeli?

    Hebu angalia huu uzi https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=936628
  12. Mizymade

    Msaada tafadhari kuhusu email toka nacte

    Kwenye email huwa kuna folders tofauti, hizo email za nacte mara nyingi huwa haziingii direct kwenye inbox so mwambie aangalie folder linaitwa spam. Hapo lazima ataikuta kama kweli aliapply.. NB: Email zote kutoka nacte zinaingia humo.....
  13. Mizymade

    For JamiiForums Mobile users

    Red out of Black
  14. Mizymade

    MMU na vijimaneno vyake

    Ili asiulize tena, sometimes kinaitwa mpango wa kando...
  15. Mizymade

    Kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kujirahisisha?

    On the other hand hawa sometimes wanaboa kupita maelezo
  16. Mizymade

    Kwanini baadhi ya wanawake wanapenda kujirahisisha?

    We utakua umechezea za uso huko, hasira unazimalizia humu.....
  17. Mizymade

    CAS is now open for 2nd round applications only

    Kwa wale wa nacte hii inawahusu.....
  18. Mizymade

    Diamond afikisha followers Milioni moja Instagram

    Hivi vizazi vya mzee benja na jk hasara tupu. Badala ya kufanya na kufikiri mambo ya msingi, kazi kuangalia wasanii wanafanya nini...
  19. Mizymade

    Mpenzi wangu wa zamani arudi na mtoto

    Solution ni simple.. Kama huna upendo ule ule, mfanyie alichokufanyia wakati anapata huyo bwana mwingine.
  20. Mizymade

    Shirikisho la Vyuo Vikuu Tanzania latoa tamko la kumuunga mkono Dr. Magufuli

    Usilete thread zisizo na msingi humu. Kwanza source ya hii habari ni nini na ni kiongozi gani wa hilo shirikisho alietoa hilo tamko? Kuna watu wazima humu, na hawapelekwi kwa maneno matupu. NB: Hilo bango mtu yeyote anaweza kutengeneza so halina tija yoyote hapo.
Back
Top Bottom