Search results

  1. S

    Nauchukia udaktari. Wanafunzi msiusomee. Hauvutii kama Ubunge, Uwaziri

    Aisee hujui hatari unayoieleza. Kwamba wauze skills zao. Sawa, duka lipo na customer wapo. Daktari anafungua clinic yake mtaani anafanya kazi jioni anapotoka Bugando au Muhimbili. Mgonjwa unakuja Bugando anakuambia hapa hakuna vifaa, hakuna dawa. Ugonjwa wako andaa hela nenda kwenye hospitali...
  2. S

    Bungeni: Spika anapaswa kuwa mwanasheria ili kudhibiti kazi zake vyema.

    Mijadala ya bajeti huchukua asilimia kubwa ya muda wa vikao vya bunge yaani zaidi ya asilimia 70. Vituko vingi kama kufukuzana ukumbini au mbunge kuadhibiwa na bunge hutokea wakati wa bunge la bajeti. Ni nadra sana kukuta mitafaruku hii kutokea kwenye vikao vile vya Novemba, February na Aprili...
  3. S

    Zitto Kabwe akataa kufuta kauli Bungeni kwamba Waziri katoa majibu ya Ovyoovyo

    Kumbe kutofuta kauli bungeni kuna historia ndefu na wala si John Mnyika peke yake!!
  4. S

    Zitto Kabwe akataa kufuta kauli Bungeni kwamba Waziri katoa majibu ya Ovyoovyo

    Moderator waweke scroll down ya TODAY IN HISTORY kwenye headline tab kama walivyoweka kwenye TETESI au BREAKING NEWS.
  5. S

    CCM kumng’oa Mukama; Wabunge walioipinga bajeti kukiona

    Mtabadili makatibu kila leo kwa sababu zilezile labda muombe CHADEMA ife kabla ya 2015. Kuhusu wabunge, je wabunge waliopinga bajeti ni akina nani? Kujibu swali hili inabidi CCM wachukue idadi ya wabunge waliopinga bajeti zote tangu 2011 na hii ya 2012 ndipo wapate ukweli kamili.
  6. S

    Calendar for july 2012 (this happens once every 823 years)

    Majesuit hawakosei hivi. Au ni Uamsho?
  7. S

    Lulu ana zaidi ya miaka 18 - Jamhuri!

    Mwacheni asote jela kwa kipindi chote atakachokuwa mahabusu. BInafsi nigependa afungwe ili liwe fundisha moja kati ya mafundisho mengi. Nchi hii tumezidi maisha ya kiujanjaujanja na uhuni kiasi kwamba ukiwa msafi unakuwa kama kituko. Mwacheni asote.
  8. S

    Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

    Katuhumiwa nini kwa maana halisi ya neno tuhuma!! Kwa uelewa wako mwajibikaji ni mtu asitefuatilia haki na wala mdhulumaji wa haki??!! Kama wafanyakazi wa TANZANIA DAIMA hawalipwi mshahara basi ni ujinga wao hawamfikishi mahakamani mwajiri wao.
  9. S

    tshirts inayoongoza kwa mauzo dar na arusha

    Publicity na lauching ya T-shirt imekuja siku mbili baada ya mbunge mmoja kutimuliwa bungeni kwa kumtaja binadamu mmoja kuwa ni Kiongozi dhaifu.
  10. S

    Kampuni za kigeni zinawanyonya watanzania Overtime zao

    Njoka Ereguu, Hebu pitia hii thread halafu ulinganishe na ulichokisema: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/274500-job-description-hazitolewi-na-waajiri-wengi.html Ninaamini hufanyi kazi kwenye private sekta. Fanya utafiti wako binafsi uone ndipo utaamini maneno ya...
  11. S

    Kampuni za kigeni zinawanyonya watanzania Overtime zao

    Hii ni kama taarifa na sehemu ya kuomba la kufanya kwa wataalamu waliomo humu JF.
  12. S

    Job Description hazitolewi na waajiri wengi

    NI kwa nini employers wengi wanavunja sheria ya kazi kwa kutotoa orodha ya kazi za mwajiriwa yaani Job Description. Mimi napendekeza watumishi wa idara ya kazi waanzishe mtindo wa kuzunguka kwa employers mbalimbali hapa nchini na ndipo watagundua madudu yaliytojazana huko. Mtu anafanya kazi...
  13. S

    Nani kampa madaraka Peter Kisumo ya kumvua Sabodo uanachama wa CCM?

    ….Ifuatayo ni kauli ya Celina Kombani, Mbunge, Ulanga-Mashariki..... ***** {"Ndugu zangu wa Ulanga-Mashariki, mimi kama mbunge wenu siwezi kutatua matatizo yote na hata Serikali haiwezi, hivyo nikatafuta wafadhili wanisaidie, ndiyo Sabodo akanipa visima 10 na ahadi nyingine"} *****...
  14. S

    Huu ndiyo Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Articles of Union)

    Mimi naomba kuuliza, Mapinduzi ya Zanzibar yalikuwa ni ya kwanza hapa East Africa. Mapinduzi mengine hapa East Africa ni yale yaliyotokea Uganda January 25, 1971 yaliyomuondoa Obote na kumuweka Idi Amin. Hivyo, utawala wa Idi Amin na Karume unafanana kwa kitendo cha wote wawili kuingia...
  15. S

    Huu ndiyo Mkataba wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar (Articles of Union)

    Mtumaji wa post namba hii . Jina Jamhuri ya Tanganyika na Zanzibar haifanyi kuwe na viti viwili kule UN. Kumbuka hata UK ni United Kingdom of Great Britain and Northen Ireland. Kuna seat moja tu kule kwa UK yote na kamwe si tatu kwa maana ya England, Scotland na Northen Ireland.
  16. S

    Hamu imepungua CCM: wanukuliwa kusema hawataki tena kugombea urais

    Tabia za madikteta ni kupiga kelele hata kama dunia nzima inajua umezingirwa na hutapona. Tuliona hili kwa Sadam, Gaddafi, Osama na wengine unaoweza kuwataja.
  17. S

    Hamu imepungua CCM: wanukuliwa kusema hawataki tena kugombea urais

    Kwa hiyo CHADEMA inapoteza umaarufu wake mwaka 2040. Nimeshakufa zamani!!!
  18. S

    Kitanzi cha Zitto kinavyomtesa Spika, serikali

    Hakuna mahali ambapo mwandishi amesema hoja inajadiliwa kwa siku 14. Labda hapo kwenye red unataka kuanzisha thread yako potofu ukiwa na uhakika kwamba wapo wavivu wa kusoma utakaowapata. Ukiona thread kama hii ambayo huwezi kusema kuna mleta mada kwa sababu kaikopi kama ilivyo kwenye makala...
  19. S

    Kuna mipango iliyosukwa Lema akigombea ubunge kuenguliwa na tume!

    Bandugu, Mimi nisaidieni kitu kimoja tu. Je, sheria ya uchaguzi iliyom-convict Lema ni namba ngapi na ya mwaka gani.
  20. S

    Gazeti la UHURU mnalipenda wenyewe

    Ni kweli tangu vyama vingi vimeingia gazeti la UHURU limekuwa likipingua na hatimaye kukosa kabisa wasomaji. Lakini kwa kunagalia thread za humu unaweza kubaini linavyoweza kupata wasomaji. Mtu anaansisha thread vizuri tu na wachangiaji wanaenda na mfululizo vizuri pia. Lakini ghafla anatokea...
Back
Top Bottom