Search results

  1. HNIC

    Je, ni kweli kampuni za Mchechu ndio zinajenga nyumba za NHC?

    endeleeni tuuu wakuu
  2. HNIC

    Mkurugenzi wa Mawasiliano CHADEMA ni nani?

    hajui english
  3. HNIC

    Siri Nzito: TPA (Bandari) walivyowazidi kete Magufuli, Majaliwa

    BANDARI na BRELA zimemshinda mkuu
  4. HNIC

    Paul Makonda: The 2nd most powerful man in Tanzania(?)

    Mbuyu huuu cant knock his hustle
  5. HNIC

    Waziri William Lukuvi alienda kufanya nini North Korea?

    Lukuvi lukuvi lukuvi
  6. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    yule alikuwa ni sibling wake rejea my post kuhusu ali akber veleyati jamaa hakufikisha mzigo wote alichukua 70%
  7. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    blackman...
  8. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Wakati huo huo alikuwa na passports 2 moja kadi ya CCM na nyingine ya Bibie kwa sababu naye alifanya ule mchezo wa wapemba under pretext kuwa yeye asli yake ni ni jirani na tall hapo les Grands-Lacs
  9. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Problem iliopo ni kuwa zama zimebadilika Old methods are not working
  10. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    BOYZ II MEN sasa hivi wako kwenye obscrurity Kuna makundi mengine mawili na wako so silent utadhani hawana wanachokifanya lakini wapo 1. AI 2. Clones itabidi kufungua uzi mpyaa na kwa faida zaidi itabidi iwe jukwaa la siasa na sio huku
  11. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    wao washaweka vijana wao kuna walio in their mid 20s kuna walio in their early 30s Kuna walio in their 40s most interesting thing tazama wanafanya nini bear in mind majority ya hao "new turks" wako serikalini na private sector na hawajawa exposed kwenye party machinery for obvious...
  12. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Prophet is irrelevant na ujuo wake hauna maana kwa sasa. Focus on huko mbele na new players
  13. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    ungemwambia aende GOOGLE nishachoka na hii generationa ya INSTAGRAM
  14. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Mukhabarat have bigger fish to fry. Hawana muda wa ku deal na wachangiaji au mada za humu. Afterall hili dude ni la kwao, ndio maana halihitaji matangazo kujiendeza Siku wakihitaji watu waingie kazini kufanya info warfare dhidi ya external enemies then utashangaa watu watakavyoingia kuchangia...
  15. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Chief, Hao wote uliowataka ni irrelevant Watu washaanza kujipanga for the next 50 years. Kuna new players na hao woote mnaowaona jamaa washasema hawana influence yoyote ile hivyo kwa sasa tazama hao vijana in their mid 20s Hao wengine its its just a matter of time wa check out au tuseme...
  16. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    Bwenga ni part and parcel ya Mukhabarat ndio maana kila kitu kinafungwa lakini hili dude liko live 24/7. Kwa lingo yetu yeye anakuwa agent provacateur for obvious reasons. Kitu kingine nataka nikuhakikishie, Mukhabarat hawana tatizo na hili dude, as a matter of fact wana bots zao just incase...
  17. HNIC

    Utata wa kifo cha Dkt. Omary Ali Juma

    ambaye naye alipewa burn notice Langley in the same manner kama yule aliyehamia kwa akina Dally Mpofu japo reasons zinatofautiana
Back
Top Bottom