Search results

  1. N

    Waziri Maige na nyumba ya Sh milioni 656m

    Utetezi wa WAZIRI MAIGE unamapungufu mengi na yamsingi kwamfano amekopa serikalini 90milioni analipa kiasi gani kwa mwezi kwa njia ipi mshahara au biashara? amekopa CRDB Dola laki 200,000 analipa kwa utaratibu upi? dada yake anabiashara ya matrekta sota hiyo ni ya dada yake au yakwake iko...
  2. N

    Sehemu kuu 3 za maisha ya ndoa

    hallow! hallow!!! kuna ukweli!!! unajua watu wengi siku hizi wanaoa kwa mkumbo! unaweza muoa dada ati kwa mavazi tu kibaya zaidi yale ya uchi uchi!! so ukianza kupata uzoefu ktkt ndoa unagundua ulikosea na dada anakueleza ulimuoa akivaa hivyo . kinadada wengi hushindwa kutofautisha kabla ya ndoa...
  3. N

    Mdahalo Shirikishi: Watanzania Waarab au Wahindi wako wapi kwenye uongozi wa taifa letu?

    MADA IMETULIA! Mwanakijiji: Tatizo la Nchi hii siyo Rangi, Tatizo ni FIKRA mgando kwa majority, Bado watu wengi Bongo ni Bendera fuata upepo.Bado tuwavivu Wakufikiri!! Bado Viongozi wengi wanateuliwa au kuchaguliwa si kwa Uwezo wao wa kazi na uzalendo unaoweza leta tija katika nchi hii bali ni...
  4. N

    Watambue wezi wa Malima

    CAMERA Hotelini hapo zipo tele!!!!!!!!!!! sasa sizianikwe tujue mheshimiwa aliingia na nani Hotelini??? ili tubaini uongo wa polisi!!!!
  5. N

    Modem ipi na mtandao gani ni bora zaidi kwa Video, Skype (VoIP) na Internet kwa ujumla?

    Air tel ni nzuri sana cheap and affordable zaidi ya vodafone
  6. N

    CCM yatoa tamko kupanda kwa posho za vikao kwa wabunge

    Aibu ya uongezaji posho kwa wabunge wetu kwanza ni sababu za kuongeza posho za spika mama makinda hazina hoja zito ni pumba tu na za kudhalilisha chama cha mapinduzi hivi hapo dodoma ni hotel ngapi zina viwango vya tsh.100,000/= na kuendelea hivi kweli wabunge wote wanakaa huko?? makinda...
  7. N

    CCM yatoa tamko kupanda kwa posho za vikao kwa wabunge

    Aibu ya uongezaji posho kwa wabunge wetu kwanza ni sababu za kuongeza posho za spika mama makinda hazina hoja zito ni pumba tu na za kudhalilisha chama cha mapinduzi hivi hapo dodoma ni hotel ngapi zina viwango vya tsh.100,000/= na kuendelea hivi kweli wabunge wote wanakaa huko?? makinda...
  8. N

    Radio Imaan, Shura ya Maimamu, Basuta na Bakwata Mnatudhoofisha Waislam kwa siasa za Tanzania

    BAKWATA ndio imefikisha uislam wa Tanzania hapa maendeleo finyu yanahitajika marekebisho makubwa ndani ya BAKWATA ili uislam uonekane km uislam hao radio iman ni wapya humu bongo lakini wanafanya makubwa ktk uislam haihitaji akili nyingi kuona uislam uko wapi kuna upotoshaji mkubwa ndani ya...
  9. N

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    ZUBEDA_MCHUZI Hao mawaziri walifanya ubadhirifu gani?? tujuze tuache kuanika vitu nusunusu hayo ni MAJUNGU
  10. N

    Rais Kikwete ateua wakuu wapya wa mikoa

    Watanzania tusiwe watu wasio nashukuran!!! wakuu wawilaya 11 wamepandishwa vyeo sasa tusubiri tuone uwajibikaji wao km unajua kuna mtanzania kateuliwa ana KASHFA anika javini sio kulalamika hata kama RAIS atafanya jambo jema!! tunawezaamini wanaopinga niwale wasio mpenda RAIS kwa CHUKI zao...
  11. N

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    mwanakijiji Wewe ni mtu unaeheshimika sana Tanzania MIMI ni mmoja wawanaokuheshimu lakini kwa MADA zako zinazowahusu waislamu Hapo hutendi haki kabisa unaonekana wazi kulalia upande mmoja wa dini uliopo ukristo. mi nadhani hao wanaotaka mahakama ya kadhi au oic wana sababu zao za msingi kwao...
  12. N

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    Napata tabu kweli kuelewa swala hili la mahakama ya kadhi mimi nahitaji kuuliza hivi nchi zingine zinazo tajwa kuwa na kadhi mfumo wake ni upi?? mbona hatuelezwi km nitofauti na tunavyotaka BONGO itakuwa haiwezekani MILELE lakini km ndivyo ilivyo ktk nchi zingine basi waislamu wanahitaji...
  13. N

    Ukabila Ikulu, Ujenzi, Mambo ya nje, Mipango, TRA, BoT + Ofisi nyeti za serikali

    Mada hii inahitaji karesearch sio nadharia za tangu miaka 70s kila kitu kinawezekana jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  14. N

    Lowassa kuchunguza Ufisadi Meremeta!

    ni kweli LOWASA alijiuzulu kutokana na kashfa ya Rechmond serikalini mi naona kujiuzulu ni ujasiri hasa kwa mazingira ya nchi zetu za Afrika hiyo nisawa na adhabu hata ukifuatilia siasa za japan mawaziri wakuu tofautitofauti wamekuwa wakijiuzulu kutokana na kashfa mabalimbali ndoi huo utamaduni...
  15. N

    Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

    schmidt Ukitaka kujua DINI jifunze mwana, falsafa ya utatu hata kwawanaojua huwa inawapa tabu kuielezea fuatilia mzee.
  16. N

    Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

    Fanyeni Research sehemu mbalimbali hapa nchini mtagundua ni DINI gani inasehemu nyingi na tangu lini?ambazo watu wa DINI nyingine hawaruhusiwi kujiunga nazo mtupe DATA humu then tujadili mimi naamini siku hizi watu wajinga wa mawazo wanaongezeka sana katika nchi hii minafikiri pamoja na ajira...
  17. N

    Nimesikitishwa sana Leo na mambo ya udini

    mambo ya udini yapo sana na si kwa dini mmoja zote tu hasa wakristo na waislam angalia hata humu ktk JF watu wanakomalia UDINI MNO hadi inatisha watu wanazungumzia KADHI wajinga wanageuza wanazungumzia kukatana mikono, mashetani nk na matusi kibao je wenye DINI yao wanafurahia? si wapo? siwamo...
  18. N

    Jk: Tumaini lililorejea

    kusoma kitu kingine na kukubaliana na hoja kitu kingine kuwa mbishi wa kila jambo ni mchawi
  19. N

    Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

    masikin jeuri <br /> <br /> Umesahau, na mtume mudy, Osama bin laden(marehemu) mullah (alqaeda kwa ujumla wao) al shabab, ccm na wote wasio na utu. Uislam naona ni kupoteza wakati na kujiandalia taabu jehanam Nadhani wakilala na kuwaza huona vile walivyo jingine na nafsi zao ila basi tu...
  20. N

    Mahakama ya Kadhi vs BAKWATA!

    m`bongo Hakuna vurugu za kidini BONGO na wala hakuna Dini iliyo juu ya nyingine. wewe huelewi unachosema!!
Back
Top Bottom