Search results

  1. O

    UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani

    Ng`wanakidiku;Zero siyo hilo tu. Nakumbuka wakati wanazindua ujenzi wa barabara za East Africa, JK alitamka kitu kimoja juu ya ufuatiliaji wa ahadi nilishangaa sana, alisema ni muhimu kuwakumbusha waliotoa ahadi, tena alienda mbele zaidi na kusema wakati mwingine hata kuwatembelea na kuwaambia...
  2. O

    Dk Slaa amshukia JK

    FaizaFoxy;Taja kimoja ambacho Kikwete hajakifanya zaidi ya Rais yeyote wa kabla yeke. Nnakuhakikishia huna. I'm really dumbfounded with your statement in red. Do you live here in Tanzania or you are somewhere else?
  3. O

    Dk Slaa amshukia JK

    Jakubumba; hayo ni mawazo yangu toa yako, ktk siasa za tanzania usitegemee mwanasiasa alete maendeleo, wote ni wachumia matumbo tu, nimetoa mfano tu kwa dr slaa kuhusu mshahara wake, ila kwa sababu humu watu ni washabiki wa chadema hawakubali kuambiwa ukweli. Chadema wanaongoza majimbo mangapi...
  4. O

    Hivi ni wapi wanaconduct TOEFL test?

    KANCHI; Huu mtihan hauhitaji kupiga msuli wala nini it is just to know how far is your english written and listening. If that is the case then every one would be passing Toefl test. I can't buy your fallacy because toefl nowdays is more than listening and writting. Your argument could be valid...
  5. O

    hi jf am miss america..i need a translator

    Miss America; hey guys..i need somebody who gona translate swahili's thread into english as i told before i know nothing about swahili..so who is ready?...i need more than 2people..help me please You must be kidding Miss America!
  6. O

    hi jf am miss america..i need a translator

    Mzee; we kiumbe, mjibu kistaarabu ujue hao ndio wawekezaji Mkuu umenichekesha kweli. Kwa hiyo wasije wakazila kuwekeza, siyo?
  7. O

    Hivi ni wapi wanaconduct TOEFL test?

    Ekwilibriamu; ...kuna mtu anajua procedure na sehemu wanapofanya mitihani ya TOEFL? Mkuu nenda pale UDSM Computing Center, watakupa procedures zote za kulipia na kufanya. Nilifanya huo mtihani 2006 pale Computing Center wa Internet based.Kwa kifupi unahitaji maandalizi ya kweli, kwenye kuongea...
  8. O

    Sababu za msingi za kumpiga mwenzi wako!

    Kaunga; Hivi unajua kuwa mwanamke ni mtu mzima? Anakanywa mtoto mdogo, mtu mzima mnajadiliana! Je ofisini secretary wako akikosea pamoja na kwamba 'umemkanya' unampiga? Na wewe mf; mkeo akikukanya kunywa pombe na kuchelewa kurudi nyumbani usiposikia akupige? Maana yangu kila mtu anakwazwa once...
  9. O

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    Mwana Kwetu; shauri huu ni wa kiutu uzima na unaonyesha ukomavu wa hali ya juu ;mkuu nakushukuru na mawaidha yako na mengine mengi nitayafanyia kazi kwa kina kwani mimi ni msikivu na pia napenda wazo la upande wa pili ndo maana nimelileta hili hapa jamvini nashukuru sana. Mkuu nashukuru pia...
  10. O

    Isiwe Makazini tu Iwe pia na Majumbani Mwetu

    Makindi N; Wamarekani walishatulipiga campaign fulani ikawa inaonyeshwa sana kwenye TV, inaanza kwa kusema kutana na Bwana -------(jina nimelisahau). Akiwa ofisini anaheshimika, role model, anafuatwa kwa ushauri etc, akiwa nyumbani ni kivumbi hawaivi na Wife wake". Mwisho wa siku ujumbe ulikua...
  11. O

    Ulinzi wa penzi.......

    afrodenzi, Ulizi uliyo wa muhimu ni kufanya yale yakupasayo katika kiwango chako. Kama ni mume muonyeshe mkeo unampenda kwa maneno na vitendo. Likewise, kwa mwanamke pia. Muheshimu partner wako na ujuwe pia ni vitu gani anavipendelea-uvifanye na vitu gani havipendi ili uviepuke. Jitahidi kuwa...
  12. O

    Isiwe Makazini tu Iwe pia na Majumbani Mwetu

    TANMO; Mkuu Oak heshima mbele, ushauri wako nitaufanyia kazi pindi nitakapo husika.. TANMO, sawa mkuu tunapeana chachu katika haya mambo maana yakialibika huko nyumbani yawezekana pia huko kazini mambo yasiende sawa.
  13. O

    Tatizo hili ni la mke wangu tu au wanawake wote married?

    Mwana Kwetu, umeandika mengi na umepata michango mingi kutoka kwa wanaJF. Umeona wengi wamekwambia mkeo ni mke mzuri wanatamani wangekuwa naye japo kuwa kwako unaona ana vijitabia vinavyokukela. Cha msingi wewe usilazimishe abadilike gafla kama upendavyo, na wewe pia yawezekana una vitabia...
  14. O

    Isiwe Makazini tu Iwe pia na Majumbani Mwetu

    Husninyo; we huusiki? Ahsante kwa ushauri. Husninyo, huyu nimeshamwambia hata kwa GF/BF wake nako pia anatakia kuonyesha appreciation. Siyo tu kwa wale alioko kwenye ndoa. Hata kwenye signature yake kasema ''Do something'' kwa hiyo hiyo something ndo appreciation yenyewe
  15. O

    Isiwe Makazini tu Iwe pia na Majumbani Mwetu

    F12: Hiyo ni nzuri sana kiukweli na si lazima umpe chochote bali maneno tu kuonesha appreciation nayo yanafaa, lakin pia panapowezekana onesha kumkubali hata kwa kumtuza kwa chochote itaongeza hamasa zaidi na upendo wa dhati kwan hiyo itakuwa ni ishara tosha ya kujaliana na kujali mchango wa...
  16. O

    Isiwe Makazini tu Iwe pia na Majumbani Mwetu

    TANMO; Ushauri mujarabu kabisa, wahusika kazi kwenu! Mkuu hii ni hata kwa GF/BF wako siyo lazima muwe mnaishi wote tu ndo u-appreciate mema anayokufanyia. Mkubali mtu wako usibanie.
  17. O

    Isiwe Makazini tu Iwe pia na Majumbani Mwetu

    Ni asubuhi njema natumahi. Mara nyingi tumekuwa tukipata compliments nyingi makazani pale tunapokuwa tumefanya vyema kwenye kazi. Compliments zinaweza toka kwa wafanyakazi wenzako na hata kutoka kwa maboss wako pia.Tunajisikia vizuri tupatapo hizo compliments na kutufanya tuwe makini na...
  18. O

    Bachelor of Accountancy and Finance (BAF)

    Senetor; me naamini bcom-accountng anajua mambo mengi kuliko huyo mwana BAF. Senetor, unatumia kigezo gani kupima kuwa mtu aliyesoma Bcom-Acc ni bora zaidi ya aliyesoma BAF?. Kwa nini kwenye ACCA huyu wa BAF apate exemptions ya masumo mengi zaidi ya wewe unayesoma Bcom-Accounting. Wanapendelewa...
  19. O

    Kazi au mume......ushauri

    Dena Amsi; Nailyne nakwambia ukweli kazi ndo mpango mzima mume mpango wa kando ha ha ha ha ha Mara nyingi mtu aliye na mtafaruku kwenye mahusiano yake atatoa maamzi kutokana na mazingira aliyomo. Kama ungekuwa na furaha na Upendo katika ndoa/mahusiano yako usingetoa huo ushauri. Mtu aliye na...
Back
Top Bottom