Search results

  1. mbalamula

    Waliofanya usaili DUCE, Sekretariati ya Ajira

    Je ardhi nao wmeshatoa shortlist yao au bado?
  2. mbalamula

    Nafasi za Kazi chuo cha Ardhi

    Natumaini wote turn wazima WA afya. Naomba kujuzwa je chuo cha ardhi wameshaita watu kwenye interview au bado kwa nafasi za afya? Nashukuru kwa ushirikiano wenu
  3. mbalamula

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Habari wanajamii forum. Naomba kujuzwa ngazi ya Mshahara PMGSS 8 ni Tsh ngapi? Nahitajika kufanya maamuzi ya wapi niajiriwe kati ya sehemu mbili hiyo nyingine Tayari naijua, nahitaji kuijua hii.
  4. mbalamula

    Mishahara ya NIMR

    Habari zenu wanajukwaa, samahani naombeni msaada wenu wa kujua kiwango cha mshahara kwa mtu anayeanza akiwa na degree moja kwa NIMR ni Tsh ngapi. Pia mshahara wa kuanzia wa tutorial assistant ni Tsh ngapi. Ninahitaji kufanya maamuzi niende wapi bado Sijajua hilo la mshahara vigezo vingine tayari...
  5. mbalamula

    Medicine vs Pharmacy

    MD ni 1192000 pharmacy Sijajua
  6. mbalamula

    Master in tropical disease

    samahani wapendwa naomba kujua mtu akisoma master in troppical disease atafanya kazi zipi na anaweza kuajiriwa wapi?
  7. mbalamula

    Skills to include in cv

    Nashukuru na asante sana,Mungu akubariki.
  8. mbalamula

    Nimesoma na kuhitimu uhasibu kwa ngazi ya cheti

    Si tabia nzuri kumkatisha mtu tamaa,wazo lako si baya ila namna unavyowasilisha linaweza likaumiza hisia za mtu,jali hisia za wengine pia,nashukuru kaka.
  9. mbalamula

    Skills to include in cv

    habari zenu wanajamii?Naomba mnisaidie ktk hili,je naweza kuandika kwenye CV yangu ujuzi/elimu ambayo ninayo ila sina cheti kwa sababu ya kututolewa ktk taasisi husika mfano kufundisha temporary ktk shuke ya kata na sikupewa certificate of appreciation?Natanguliza shukurani zangu kwenu.
  10. mbalamula

    Tuwekane sawa kuhusu oral interviews hapa.

    Zipo witten interview mimi nimeshawahi fanya moja.Da ila watanzania kwa kukosoa balaa yaani kumtia mtu moyo na kujibu vizuri hata kama kakosea ilo halipo,et unamwambia rudi darasani.
  11. mbalamula

    Vyuo vya nje ya inchi

    Natumaini wazima wanajamii, Naomba msaada kwa anyejua vyuo vya UK,Malaysia,USA au India ambavyo vinatoa scholarship kwa kozi za online. Nashukuru kwa masaada wenu,mbarikiwe wote.
  12. mbalamula

    Msaada kutambua namba hii +255262604828

    khaaa bdo umenichekesha yani adai hadi kwa kutumia TTCL
  13. mbalamula

    Kozi za kusoma online

    Ahsanteni sana wadau nimefenikiwa kupata info,Mungu awabariki
  14. mbalamula

    Kozi za kusoma online

    Habari wajamii? Samahani naomba msaada kwa anayejua chuo cha hapa Tanzania kinachotoa kozi za MOnitoring and Evaluation au Project management hata kwa njia ya net naomba link ya chuo cha uhakika sio matapeli AHSANTENI
  15. mbalamula

    Msaada jamani

    Poleni na kazi wanajamii, Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu dipolama in environmental health science natafuta kazi za muda kwa yoyote anayeweza nisaidia anijuze jamani maana nimechoka kukaa home.Nina uzoefu wa kufundisha na nimewahi kufanya kazi kama medicalrepresentative ktk kampuni za dawa za...
  16. mbalamula

    Pata ebooks for free

    kaka ahsante sana kwa vitbu Mungu akubariki sana
  17. mbalamula

    Wenye Kuitaji Vitabu e-books

    kaka Munakubariki sana kwa kaz njema
  18. mbalamula

    Wenye Kuitaji Vitabu e-books

    mkuu naomba nitumie baadhi kama vya military,christian religion,marriage,fashion na self improvement books ktk email yangu ejmbalamula@yahoo.com
  19. mbalamula

    tumia android ufaid ulimwengu wa smart phones kwa yafuatayo

    naomba kaka unisaidioe jinsi ya kusoma ebooks kwenye cm yangu ya mkononi maana cna uwezo wa kununua laptop cm nayotumia ni ya kichina ina sehemu ya ebooks napenda sana soma ila vitbu bei gari
  20. mbalamula

    Taarifa:KWA WALE WALIOKOSA MKOPO 2011/2012

    kaka mi nimepangiwa udom koz ya saynsi wamesema fomu hazikufka ila kopi ya fomu ninazo risiti ndo ilipotea nifanyeje?
Back
Top Bottom