Search results

  1. Ambakisye Lazar

    MKEKABET MAMBO NI MOTO SASA, BONUS MPYA MUHINDI LAZIMA AOMBE POO MWAKA HUU

    Sema nmeijaribu, ukibeti wanakupa mzigo kesho yake 100% bonus. wacha waliwe hadi wagundue kuwa inakula kwao, tutakua tushajilia vyetu
  2. Ambakisye Lazar

    MKEKABET MAMBO NI MOTO SASA, BONUS MPYA MUHINDI LAZIMA AOMBE POO MWAKA HUU

    Mkekabet sasa wameweka miguu sawa. Mmenifurahisha kwa ofa hii..... Bonus kama yote. Ujanja ni huu: bonyeza link hapa: bit.ly/2yaFODE ukiweka 2000 wanakupa 2000 zaidi, ukiweka 10000 unapata 10,000 bonus. Mwendo huu, lazma muhindi aombe poo mwaka huu.
  3. Ambakisye Lazar

    SUMATRA: Marufuku abiria kuzungumza siasa, dini, biashara ndani ya basi!

    Kuna laana imeikumba Africa. Inatafuna taifa Moja baada ya jingine. Tz zamu yetu..ila laana uwa inaingia kupitia mlango / upenyo kutoka kwa chochote/mtu/watu walio na influence ktk taifa. Laana hiyo yabidi aliyeiruhusu afe au atengwe au aondolewe kwenye ngazi hiyo yenye influence La sivo...
  4. Ambakisye Lazar

    Nimeathirika kisaikojia nimefikisha miaka 42 sasa bado nashindwa kuoa. Kila napowaza naghairi

    Utaliwa tu...Either mkeo au wewe mwenyewe kiboga siku watakulia timing wakulambe. cha kushangaza.... Ww mwizi, unaogopaje kuibiwa? kuwa mwanaume bwana ... Oa na wewe uliwe maisha yako yaendelee
  5. Ambakisye Lazar

    Makonda hakuvamia, ila alipeleka 'footage' ya tatizo la maji CLOUDS

    Hatuwezi sikiliza udaku hapa, tuna imani na first hand information only. Ruge ameongeza, Kasema walivamiwa.. mbona bwana zero hajaongelea in media kama alienda "ziara" tu???
  6. Ambakisye Lazar

    Kamati kuu CHADEMA kukutana kikao cha dharura Dar es Salaam

    Ongeza elimu yako na upeo kwanza. Ndio uje KUchangia hoja
  7. Ambakisye Lazar

    Kamati kuu CHADEMA kukutana kikao cha dharura Dar es Salaam

    Inaonesha dhahiri upeo wako
  8. Ambakisye Lazar

    Kamati kuu CHADEMA kukutana kikao cha dharura Dar es Salaam

    Hatupangiwi cha kujadili, sisi Ni chama kinachojielewa.
  9. Ambakisye Lazar

    Piga kura yako sasa: Wangapi bado wana imani na straika wa timu yetu

    Pogba is doing good. Yuko sawa TU. Amebadilisha game ya manUtd. Ball collection hapo nyuma , possessing Mpira, Mpira haupotei hovyo hapo nyuma. Ameongeza ubora wa Herera, Si mbinafsi....Tatizo tumezoea wabinafsi. Yeye anawafanya wengine wang'are pia. Anacheza almost uwanja wore ingawa...
  10. Ambakisye Lazar

    Piga kura yako sasa: Wangapi bado wana imani na straika wa timu yetu

    Nadhani tuelewe kwanza majukumu ya Pogba ktk ManU. Ukielewa/tukielewa then tunaweza Fanya analysis Bora zaidi hapa. Naona watu tunamkandia tu
  11. Ambakisye Lazar

    Askofu Gwajima: Makonda ni kombora ambalo halijaelekezwa pa kutua, linaweza kutua sehemu yoyote!

    Nyie ndio watumia "sembe". Acha kuropoka vitu vya uongo. Ama unataka tu kufurahisha vichaa wenzio? Haikusaidii chocote kuleta thread ya uongo.
  12. Ambakisye Lazar

    Askofu Gwajima: Makonda ni kombora ambalo halijaelekezwa pa kutua, linaweza kutua sehemu yoyote!

    Wewe ni mshirika wake au kiongozi ktk kanisa lake? Umejuaje hawafiki? Thibitisha
  13. Ambakisye Lazar

    Makonda: Awamu ya 3 imekamilika, tukutane ukumbi wa Mwl Nyerere

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  14. Ambakisye Lazar

    Mama Mjane amlilia Rais Magufuli mbele ya Waziri wa Sheria

    Nimejifunza hili: huyu Ni mfano tu wa maelfu ya waTz waliokandamizwa na sheria. Kama viongozi wetu wana akili za ziada basi Ni muhimu wajue kun a umuhimu kuanzisha public events / open days kwa wananchi kuletewa viongozi WA juu wa wananchi wazungumze kwa uwazi wale waliokandamizwa. Maana maelfu...
  15. Ambakisye Lazar

    Mwanaume yamenifika naomba ushauri kama Watanzania wenzangu

    Bro... Kama ulivyosema... "Kama mwanaume" Sasa kama mwanaume tumbua Hilo jipu faster... Usicheke na nyani...Utavuna mabua. Hapo hakuna ndoa .. usijejutia mbeleni. Mungu si athumani. Atakupatia tu mwingine wa kukufaa. Usipoteze muda kabisa. Ng'ofoa huo msumari.
  16. Ambakisye Lazar

    There Are 105 mps in Somalia Parliament with Dual Nationalities

    Kuwa na mchumba mzuri.. u pay for her school fees and all the bills ..Then in the end someone else marries her is ridiculous.. Wooote unasema oooh wamesoma shule Kenya etc but in the end they aren't serving u and instead u remain with ur pathetic leaders is absurd. Jisifie nchi yenu kuwa...
  17. Ambakisye Lazar

    Jamaniee, ni namba gani ya kuongea na Huduma kwa Wateja wa Airtel?

    Sijui uwa Wanakua wanapika Vitumbua uko ofisini kwao... Bora tu ufunge safari nenda Kesho kituo cha huduma au subiria usiku kuanzia saa 5 uwa wanapokea haraka kidogo...
  18. Ambakisye Lazar

    Wenye watoto kutoruhusiwa kufunga ndoa kanisani wakiwa wamevaa Shela

    Good stuff!!! This is the way to go[emoji41] [emoji41] [emoji41]
  19. Ambakisye Lazar

    (Picha)Harusi ya Dr. W. Slaa (21.7.2012)

    Aibu gani dada yangu? mapenzi hayana umri. mwacheni baba yetu wa taifa aliesalia ajilie vyake nae. haki ya kila mtu hiyo:israel::israel:
Back
Top Bottom