Search results

  1. J

    Gari linauzwa tshs 4,000,000.00

    Mkuu vipi bodi yake ishapata misukosuko ya kugongwa.Ilisha wahi kula mkenge hata mara 1.
  2. J

    hEbU LeO tUtAfAhaMiaNe kWa MaJiNa YeTu hALisIa/vIrEfU vYa aVaTaR zEtU!! NAANZA...

    mim nakuja /nafuatia kama hivi naitwa JOACHIMU MICHAEL NGIMBUDZI jinsia yangu ni ME nina umri wa miaka 26 natokea njombe iringa. Sasa naishi mwenge dar es salaam. Avatar yangu inajieleza yenyewe. Ukitaka mengi zaidi nitafute FB kwa JO MAIKO.
  3. J

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    anzakuwapiga darasa mdogo mdogo ukisubiri msaada wa matinga tinga na vifaru vije kumaliza kazi
  4. J

    Wataalam wa umeme hii haiwezekan

    Wakuu kuna nyumba 1 hapa dar tanesco walikata umeme kabisa wao wenye nyumba wakaunga waya 1 tu ma live na kuuacha ule wa neutral umekatwa na ndani wanatumia earth wire kama kawaida umeme unapiga kazi jamaa wana mwaka kama wa sita hiv wanadunda tu ishu kubwa ni je imewezekanaje. Nakuna mdau 1...
  5. J

    Wataalam wa umeme hii haiwezekan

    Wataalam wa umeme na wenye ufaham juu ya umeme kuna kitu kinaniumiza kichwa kidogo ningeomba mtegeu kitendawi hicho ndani ya kichwa changu. Je haiwezekan nikatumia umeme kwa kuunganisha waya wa LIVE na waya wa EARTH ili utumike kama NEUTRAL?? Kama haiwezekan ni kwanin haiwezekan wakati...
  6. J

    Redio Clouds kurudia rudia tangazo la CDM kuna nini?

    Wanafiki 2 hao hawana lolote vibaraka wa magamba
  7. J

    Msaada plz wa setting kwenye nokia 6230.

    Naomba kutanguliza kwen shukran zang wakuu kwa kuendelea ku2saidia na ku2elimisha. Nina nokia 6230 ambayo ukiplay video kweny net au ukidownload na kuiplay inagoma na kuandika FILE FORMAT NOT SUPPORT. Au ukifungua video kwenye u tube inagoma nakuandika msg hiyo.Au huleta msg ihusuyo mambo ya...
  8. J

    Startimes na vingamuzi vyao

    mi nimejaribu inagoma naona huu uchakachuzi ni kwa dar pekeyake tu mbona arusha unagoma? Wakuu msaada wenu bana ukitegemea huku itv,star na chanel zingine kibao zinagoma
  9. J

    Ukistaajabu ya Mussa..... Umewahi kusikia hii?

    Yalikukuta nin? Kuwa mwazi basi
  10. J

    Jihad imekwishaanza tz

    Safiii sana
  11. J

    Teknolojia ya Digitali ya Startimes na Ting: Kero za watumiaji

    Mmesha wasahau GTV nin??.Nao walianza kwa stail kama zao mara lipia miez 6 mara mwaka.Uliza kilicho fuata baada ya hapo .....Kwanza hata nikishika remot yao huwa nawakumbuka kabisa GTV maana zimefanana kila kitu.
  12. J

    kulikoni TGNP na MASHOGA

    Nyie mliyekuwa kwenye hilo tamasha mpaka mnafungua masikio yenu na kuwasikiliza ni mabasha nin?..Yaani popote wanapokuwepo hao makafiri malaika hukimbia na kukaa mbali kbs ,angalien mlio kuwa nao karibu mmebeba migundu..Ni bora hata wew unayeona kichefuchefu..
  13. J

    Mkisikia paaa.........!!!!!

    Lakini nyie imewapata wakati mkishangaa shangaa gaflaa mi nikawapata paaa ndani ya JF .pamoja xana wadau
  14. J

    Mkisikia paaa.........!!!!!

    Pa pa pa paaaaaaa..........aa nimewapata wana JF pa..papa.,.pamoja sana.
  15. J

    Mkisikia paaa.........!!!!!

    Pa pa pa paaaaaaa..........aa nimewapata wana JF pa..papa.,.pamoja sana.
  16. J

    Lakini kwanini ?

    Hivi kwanin artificial nyanya huitwa TOMATO na natural nyanya huitwa KACHUMBALI
  17. J

    Best yangu ni shoga

    Mbona maelezo yako yanamashaka sana aisee. Mlaji nae huliwa.Mlavyawenzie na vyake piwa huliwa?.Wew sema unaomba ushauri kwa wana jf wakushauli kwakuwa sasa hivi unataka kuacha hako kamchezo kakumpumulia mwenzio kisogon........suala kama hilo halihitaji hata kushauriwa wew mwenyewe lazima uwe...
Back
Top Bottom