Search results

  1. E

    Fundi pikipiki anahitajika!

    Mi niko DAR ES SALAAM, maeneo ya tabata Kimanga. Fundi anahitajika kwa ajili ya permanent job! lakini ingekuwa vizuri kama ungepiga hio No nilokupa nikakupa maelezo zaidi! asante sana!
  2. E

    Fundi pikipiki anahitajika!

    Ndugu wana jf, anahitajika fundi pikipiki mwenye uzoefu wa kutosha katika kazi hii. Kwa maelezo zaidi piga 0713 727676.
  3. E

    Container linahitajika!

    Ndugu wana jf ninahitaji container kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. liwe linapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri. Bandarini yanauzwa lkn bei ipo juu kidogo. Kama unalo au unamfahamu mwenye nalo nifahamishe au nipigie simu 0713 727676...
  4. E

    Container linahitajika!

    Ndugu wana jf ninahitaji container kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. liwe linapatikana katika mkoa wa Dar es Salaam ili kurahisisha usafiri. Bandarini yanauzwa lkn bei ipo juu kidogo. Kama unalo au unamfahamu mwenye nalo nifahamishe au nipigie simu 0713 727676...
  5. E

    Container Linahitajika!

    Ndugu wanajamii forum,natafuta CONTAINER kama yale ya kubebea mizigo bandarini lenye urefu wa ft 20. Container liwe maeneo ya Dar es Salaam. Bandarini yanauzwa lakini bei kidogo iko juu! Kama unalo au unamjua mtu mwenye nalo tuwasiliane kwa No 0713 727676. Natanguliza shukrani!
  6. E

    Kanikimbia kisa sina hela.

    nisaidie basi dadaangu si unajua kukaa bila mke!
  7. E

    Inakuaje unapokimbiwa kisa huna hela?!!

    sasa unanisaidiaje coz siwezi kukaa bila mke. pliz do whatever u can.
  8. E

    Inakuaje unapokimbiwa kisa huna hela?!!

    koment yako imeenda shule nimeikubali
  9. E

    Kanikimbia kisa sina hela.

    Natumani mu wazima wana jf. Naomba mnisaidie wanajf wenzangu kwa hili. mchumba wangu ameamua kunikimbia kisa sina hela. nimechanganyikiwa nisaidieni sijui la kufanya.
  10. E

    Inakuaje unapokimbiwa kisa huna hela?!!

    Hellow wanajamii wenzangu yamenikuta ya kunikuta. kanikimbia wangu kisa nimefulia. pliz help and tell me what to do.
Back
Top Bottom