Search results

  1. C

    Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    Pigo takatifu limeikumba tanzia ya filamu tz kwa kuondokewa na muuigizaji nguli Stevin Kanumba. KANUMBA amefariki usiku wa saa 6 kuamkia leo. Source redio cloud fm.
  2. C

    Tumchangieni Mh Lema

    Nina imani kuwa hata huyo jaji aliyemhukum LEMA amefanya makusudi ili kuizika ccm kwan nafsi yake inajua lema akigombea anarudi mjengoni ila anataka magamba wapate vipigo mfululizo. Inauma lakin nguvu ya umma itawaumbua.
  3. C

    Tabora iliyodidimia inahitaji kuinuliwa...

    Mkuu umenena vema. Vijana wa tbr tuamke tuukomboe mkoa wetu. Tabora ilikuwa city center ya kanda ya magharibu lakin sasa imekwisha KIGOMA na SHY zinazidi kung'ara dawa ni kuweka ccm kando kama kigoma basi. Sasa na mimi natangaza nia SIKONGE. Nkumba jiandae kuachia jimbo.It is time 4change...
  4. C

    Kwa siasa hizi za UDINI TZ bara ukombozi upo Mbali

    Kwani wewe unajifanya hujui walichofanya BAKWATA Igunga dhidi ya Chadema?
  5. C

    Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

    Tunaomba ccm ife kivyake isife na Tanzania yetu.Kwani vyama vitapita lkn Tanzania itabaki.Hivi itakuwaje kama viongozi wa kikristo nao wakitoa muongozo wa kupiga kura kwa waumini wao? Kila mpenda umoja na amani anatakiwa aiche ccm ife kibudu mwisho wake umewadia!
  6. C

  7. C

    Udini waingilia Rasmi kampeni Igunga

    Mfa maji hutapatapa! Ccm waliisha anza kula matapishi yao ili waendelee kuishi lkn watambue muda wa mabadiliko ukifika hata dini haitawasaidia.Sasa dhahiri shairi kimekuwa chama cha kidini aibuuuuu! Hatari!
  8. C

    Ngo,ngo,ngo,ngooo! Wenyewe jf mpooo!

    Nimezaliwa ndani ya wanajf,naomba kupokelewa ktk familia ya wanaJF! Nimekuja na kahawa ili vijana wasilale ktk ukombozi halisia.Je,kuna nafasi jamvini?
  9. C

    Who Recruited Kikwete and what did they see in him and when?

    Jamani wakulaumiwa hapa ni sisi wenye nchi.Mwalimu Nyerere alimuona huyu mtu akatutahadharisha tumwogope anayelilia ikulu.Sasa jamaa katumia kila hila kuingia ikulu ufisadi,siasa makundi,udini nk.Kafika ikulu kaweka uhandsome mbele kamwaga vimwana wake kila kona ya nchi ktk uongozi bila kujali...
  10. C

    Nadhani hao waliomuandaa hawakutazama pande mbili za sh.walidanganywa na soga za kahawani hawakufikiria kwa undani uongozi na uswahiba wa kahawani ni tofauti.Ndio maana nchi imepoteza dira.
  11. C

    Who Recruited Kikwete and what did they see in him and when?

    Jamani wakulaumiwa hapa ni sisi wenye nchi.Mwalimu Nyerere alimuona huyu mtu akatutahadharisha tumwogope anayelilia ikulu.Sasa jamaa katumia kila hila kuingia ikulu ufisadi,siasa makundi,udini nk.Kafika ikulu kaweka uhandsome mbele kamwaga vimwana wake kila kona ya nchi ktk uongozi bila kujali...
  12. C

  13. C

Back
Top Bottom