Search results

  1. Y

    Paul Makonda aja na wawekezaji 40 toka Uturuki

    Unamaanisha Bashite ama sijakuelewa vizuri!
  2. Y

    Kuunganisha mifuko hakufuti deni la Serikali

    Mamlaka haina taarifa ya deni?!!! Serious? ama ni wanataka kutufanya sisi wajinga? Wanafanya kazi gani kama hata hawajui deni ni kiasi gani...!!
  3. Y

    ATCL yarejea katika Shirikisho la Mashirika ya Ndege Duniani (IATA). Sasa kuuza tiketi dunia nzima

    Tupe link inayoonyesha ATCL imerudi.. maana kwenye website ya IATA IATA - Current Airline Members waliopo in Precision Air pekee toka Tanzania
  4. Y

    Mr. Senator: Tanzania nchi pekee yenye Kodi kubwa zaidi duniani inaua uchumi na kufukuza wawekezaji

    Ukimsikiliza Hussein Bashe haya anayazungumza kila siku, mlundikazo wa kodi unawakimbiza wawekezaji, production cost zinakuwa kubwa sana tunashindwa kushindana kwenye soko la dunia..
  5. Y

    Halmashauri ya Jiji la Arusha chini ya CHADEMA Miradi inayokaribia kutekelezwa baada ya mvua kuisha

    Asante kwa mrejesho huu, vipi kuhusu miradi ya maji? nakumbuka mkuu wa mkoa aliyetangulia nilimsikia akihojiwa na TBC kuwa jiji lilikuwa na bil 3 za miradi ya maji, ila hadi leo hii sijaona kinachoendelea...
  6. Y

    Nilitegemea kuziona CPA ( T ) na ACCA zikitufafanulia utata wa 1.5T kabla ya Polepole kuja kuokoa Jahazi

    Kwahiyo unataka kusema CAG hizo principle za cash/acrual basis hazijui?
  7. Y

    Sam Mahela kumwambia Hashim Rungwe anaropoka, ni kumkosea adabu

    Kabisa uko sahihi, Sam ameanza kufanya kazi zake kwa kutafuta umaarufu flani kwa ili aonekane na wakubwa.. nilikuwa namkubali sana huyu bwana mdogo ila kwa sasa duuuuh amekuwa mnafiki mkubwa sana!
  8. Y

    Uchaguzi wa udiwani Arusha, kiashiria cha kukubalika Rais Magufuli

    Unaifahamu vizuri Arusha ama unaisikiaga tu?
  9. Y

    Rais Magufuli kwa utendaji huu tutakupa vipindi kama vya Nyerere

    Unataka upewe vile vyeo vya dezodezo nini maana naona unaanza kulamba miguu ya bwana mkubwa!
  10. Y

    Mkapa aunguruma: Tanzania inahitaji Mijadala ya wazi tena Makini, agusia Katiba iliyokwama

    Yalipelekwa Mbowe akayakataa?! Huu upuuzi ndio anaouzungumzia Mkapa...
  11. Y

    Marafiki wa Isaac, aliyekuhumiwa kwa kumtukana Rais, wamchangia mil 4.5 ya faini

    Hata hata wewe ukitukana tutakuchangia usiwaze..
  12. Y

    UKAWA chini ya Lowassa, Sumaye, Kingunge kukwamisha Katiba ya Warioba; Mbowe&Maalim Seif Jitumbueni!

    So hapa ni kama unawalaumu UKAWA kukosekana katiba mpya?!! Ni ukilaza tu unakusumbua ama kuna kingine?!!
  13. Y

    Kassim Majaliwa: Niambieni ni nchi gani duniani Bunge huonyeshwa kwa saa 8?

    So na vyombo vya habari navyo vinazuiwa kuingia na mitambo yao?! we umeishi Marekani ipi?!!
  14. Y

    Panama papers: Majina ya Watanzania waliohifadhi fedha nje ya nchi yatajwa

    Kama jina langu halipo hapa ujue hii ripoti ni feki!
  15. Y

    Karatu itunukiwe tuzo maalum ya ujasiri, uthubutu na demokrasia iliyotukuka

    Mimi ni mpiga kura toka jimbo la Karatu since 2000, tunachagua mfumo sio mtu.. tungetegemea sana mtu basi tuwe tunafanya booking kwa Mungu atushushie tunayemtaka.. Steve Jobs alifariki mwaka 2011 lakini Kampuni ya Apple imebaki kuwa imara.. hatununui ipads, iphones kwa sababu zimetengenezwa na...
  16. Y

    Yah: Uyoga, Vipepeo na Midoli Bunge la Watanzania

    Shida kubwa ya uhuru wa kutoa maoni ni kuwa unatakiwa kuyaheshimu maoni ya muhusika hata kama yanaonekana ni pumba!
  17. Y

    Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

    KWa kiasi fulani nakumbuka mgogoro alioingia huyu mmiliki wa Naura Spring na serikali wakati wa ujenzi wa jengo hili, jamaa alishinda kesi mahakamani akaendelea na ujenzi hivyo inaonyesha huyu si mvamizi! Sasa hapa serikali isipotumia akili zake timamu itaingia kwenye kingi kirahisi sana.. Hili...
  18. Y

    Eti nimeenda kumpa salamu za mwaka mpya!!!

    Hawa wanaojifanya kwenda kutoa salamu za mwaka mpya na eti kumpongeza mheshimiwa mbona siwaelewi? watu wenyewe wachafu ama ndio wanaenda kuomba uchafu wao usije ukafichuliwa?!! Naomba mwongozo tafadhali mheshimiwa mwenyekiti!:(:(
Back
Top Bottom