Search results

  1. ElectronicSalim

    Mkeo anakwamba *Baby mgeni anakuita*

    Piga picha Mgeni kaja nyumbani kwako wewe ukiwa chumbani . Pengine mgeni huyu ni mtoto wa shangazi yako, mdogo wako kwa kifupi. Mke anakuja chumbani anakwambia Baby Juma anakuita, tuchukulie mgeni anaitwa Juma. Kuna tatizo lolote mkeo akitumia njia hii kukutaarifu kuwa kuna mgeni angependa...
  2. ElectronicSalim

    Nissan X-trail new model

    xtrail new model Bei 15.5 Million 78,000 KM Petrol Engine 1990cc 1 owner , the car has been well taken care of. Call 0762 53 578
  3. ElectronicSalim

    Fuel injector Service

    Mambo vp wakuu, Hivi kwa hapa Dar es Salaam wapi nitapata huduma ya fuel injector cleaning ? Najua mafundi wengi wanaweza kusafisha fuel injector lakini naulizia sehemu ambayo wanasafisha fuel injector kwa kutumia mashine.
  4. ElectronicSalim

    Nissan xtrail 2500cc inakula sana mafuta

    Yako utumiaji wake wa mafuta upoje ? Na injini yake ni cc2000 au cc2500 ?
  5. ElectronicSalim

    Nissan xtrail 2500cc inakula sana mafuta

    Ni kweli, nina OBD2, nimescan bila kupata fault code za oxygen sensor. ikibidi nitabadilisha oxygen sensor.
  6. ElectronicSalim

    Nissan xtrail 2500cc inakula sana mafuta

    hii gari ni QR25 four cylinder. Sio six cylinder. Manufacturer catalogue inasema gari inakunywa 11.9km/L ila hii sababu imeshatumika sanaa ilibidi iwe angalau 9km/L.
  7. ElectronicSalim

    Nissan xtrail 2500cc inakula sana mafuta

    Habari wadau, Nimenunua nissan xtrail cc 2500 kwa mtu, ni modeli ya uingereza imetembea kilometa 136,000 Nilivonunua tu nilijaza full tank, cha ajabu nimetembea kilometer 200 taa ya mafuta ikawaka. Nikaenda kujaza tena full tank, ilichukua lita 51 kujaza full tank kwa mara ya pili. Hivo km...
  8. ElectronicSalim

    Kifaa cha kupima matatizo ya Gari kutumia Simu Yako OBD 2 scanner

    Port ya obd inapatikana sehemu tofauti kutokana na aina ya gari. Angalia hii video
  9. ElectronicSalim

    Kifaa cha kupima matatizo ya Gari kutumia Simu Yako OBD 2 scanner

    Kinafanya kazi na magari yote yaliyotengenezwa kuanzia 1996 na kuendelea.
  10. ElectronicSalim

    Kifaa cha kupima matatizo ya Gari kutumia Simu Yako OBD 2 scanner

    Kifaa hiki kinakwambia kama gari yako ina tatizo lolote. Je gari yako inakunywa sana mafuta ? Tumia kifaa kujua nini inasababisha tatizo hilo ili uwe unajua tatizo kabla ya kwenda kwa fundi tengeneza. Mara nyingi mafundi wanaotea matatizo ya magari yetu, ukiwa na hiki kifaa kinakwambia shida...
  11. ElectronicSalim

    Nissan xtrail inatumia mafuta kiasi gani kwa uzoefu wako

    Pole sana Okw , umejaribu kupeleka service ikakaguliwe ? Pengine ishu ni ndogo tu. Na kwa uzoefu wako tangia ulivonunua inakunywa sana mafuta au imeanza hivi karibuni ?
  12. ElectronicSalim

    Nissan xtrail inatumia mafuta kiasi gani kwa uzoefu wako

    Nahitaji kununua xtrail 2003 yenye engine ya SR20VET, Nanunua modeli yenye engine ya SR20 kwa sababu engine hiyo inasifika kwa uimara duniani kote na ni nyepesi kwa mafundi kuirekebisha endapo ikisumbua. Kwa wale waliowahi kumiliki xtraili hasa ile yenye engine ya 2.0L au cc 2,000 naombeni...
  13. ElectronicSalim

    BM 800 Microphone + Microphone stand + pop filter vitu vyote vipyaaa TSh 200,000

    BM 800 condenser microphone mpyaa rangi ya blue Microphone stand mpya Pop filter mpya vyote kwa sh. laki 2 tu. Piga 0762 533 578
  14. ElectronicSalim

    Sehemu sahihi ya kubandika vibali kwenye gari

    Wengi tunabandika vibali vya gari mbele ya gari, hata mimi hubandika upande wa kushoto wa kioo cha mbele, Kuna wadau huwa nawaona wamebandika vibali kwenye kioo cha nyuma upande wa kushoto. Swali langu ni kuwa kubandika kibali kwenye kioo cha nyuma ni sahihi kisheria ?
  15. ElectronicSalim

    Natafuta gari ya kukodisha kwa mwezi mmoja

    Gari peke yake, dereva mimi mwenyewe. kuhusu kutokomea nalo hapana sitakimbia na gari yako. Tutafata taratibu zote ili kukuhakikishia usalama wa gari yako.
  16. ElectronicSalim

    Natafuta gari ya kukodisha kwa mwezi mmoja

    Ninaishi dar es salaam maeneo ya kibamba, shuguli zangu nafanyia katikati ya mji. Nina mizunguko ya kwenda na kurudi ofisini kila siku,hadi weekends. Na pia nikiwa ofisini mara kwa mara hutoka kuhudhuria vikao na business partners. Mizungunguko yangu inahitaji gari, hivyo ninahitaji gari ya...
  17. ElectronicSalim

    Advanced diploma ya IT/ICT

    ndio unaweza, minimum qualification huwa ni D 3.
Back
Top Bottom