Search results

  1. W

    Nauza shamba 25Km from ferry - Kigamboni

    Duh... mambo ya kufanya anonymously yanapunguza sana accountability.
  2. W

    Mwaliko kwa WanaJF

    Ni kweli... wengine wanapenda kulalamika na kusema hizo deal ni za mafisadi tu. Sio kweli... ulimwengu wa sasa unatupatia nafasi kukutana na watu wa mataifa mengine; tusilaze damu. Sio siri leo hii watu wa nje wana hamu ya kuingia katika soko la Tanzania kuliko nilivyowahi kuona maishani! Kama...
  3. W

    JF Entrepreneurs Networking Chit-Chat

    Count me in... will be in Dar mid to late Dec and would be more interested in agribusiness initiatives with ROI of 30% or more annually. Will consider investing or joint ventures depending on required investment and the profile/experience of individuals looking for investment. Not to take away...
  4. W

    Mwaliko kwa WanaJF

    Heshima mbele wakubwa! Mimi nimekuwa nikipita mara kwa mara na nimeguswa sana na moyo wa wengi hapa wa kufundishana na kusaidiana utaalamu wa biashara na ujasiriamali. Nimeona pia kuna ari ya kujiendeleza na kujikwamua kiuchumi na kimaisha. Nafikiri huu mwaliko hapa ndipo mahala pake. Bila...
Back
Top Bottom