Search results

  1. B

    Mke wa mtu

    Kaka mke wa mtu ni sumu acha kabisa, unapaje uchungu unapockia mkeo anatoka nje ya ndoa? Mwkite sehemu lakini uwe na shaidi ili umukanye mbele ya rafiki yako lazima aache kukufuatilia.
  2. B

    Elections 2010 Hukumu ya Igunga leo WANANCHI KUAMUA NANI AWE MBUNGE WAO

    Adhabu ya mwizi ni kupigwa hadi kufa na ikiwezekana kuchomwa moto kabisa ili kupoteza ushaidi.
  3. B

    Elections 2010 Mkutano wa lala salama wa CHADEMA uko Igunga wafunika

    Mbona zambia wameweza wa na nn na ss tushindwe tu na nn,tz bila ccm inawezekana,tuende tukapige kula wote kesho kwa fujo, chadema ndiyo mkombozi wetu
  4. B

    Kosa kubwa Watanzania tunaloelekea kulifanya

    Tunachohitaji ni mabadiliko ya kweli kama kitakufa basi kife tu, kwani mambo ccm c shwali kabisa wanakoelekea watatwangana makonde, uchu na ufisadi unazidi kupamba moto kila mtu kwa sasa hivi anaandaa watu wake kwa ajili ya2015 wanachoona ni chema kwao ni kuingiza suala la udini ili kuwapotezea...
  5. B

    Ushindi kwa CCM Igunga njia nyeupe

    safari hii igunga lazima kieleweke ,ccm inabidi waandae askari wa jwtz na sio polisi ili kuweza kuzima hasira za watanzania wanoendelea kuwa watumwa ktk nchi yao. ccm inaleamatatizo ili ipate kitu cha kusemea baada ya kuwasaidia wananchi,tanzaina co watu wa kulia na janga la jaa karibu...
  6. B

    Madaktari watatu kutoka china ujerumani na tanzania wakijadili mafanikio

    Duuuuuuuuuuuuuuuuuu................................ kwa hilo ,mchango ni mgumu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  7. B

    Karanga na hamu ya mapenzi.

    Karanga zinaongeza/spedup uzalishaji wa shahawa mwilini
  8. B

    Mke ni nani? Rafiki au ndugu?

    Mke anaaweza kuwamajibu sahihi ya Ndugu/Rafiki pia anaweza kutokuwa majibu sahihi ya ndugu/rafiki Kama haujaoa omba sana Mungu akupe mke mwema na kama umeoa omba sana neema ya Mungu na Barka ktk ndoa yako. Ndoa ndio maana halisi ya upendo.
  9. B

    Mapenzi ni huruma!

    Ok,kwanza nikupongeze kwa hicho ulichokiibua. Watanzania wengu huruma yetu na misaada ni ya kukopeshana na kuaazimana, kwani misaada mingi huenda kwa watu ambao wanauwezo wa kurudisha,maslani angalia watu wanapochangia vikao vya harusi, tafrija nyingine kuliko kusaiadia wahitaji kama vile...
Back
Top Bottom