bora iwe ivo manake udsm ni ktov na inasikilizwa kama ule mchongo wa kuongeza hela ya boom ilianzia wap? kama vp wafanye kwel ili na ss wa vyuo vngne 2nufaike.. wanao beza taarifa hi ujue wanamkopo!!!
Bora real Dr(Slaa) angechukua nch ila kura yangu ilichakachuliwa ni kwel elimu bure inawezekana,sasa uyo fek Dr(Kawambwa) anatueleza upuuuuz 2...... Oooooh ****
ni kwel jaman let's unite 2gether az 1 manake wazaz wamechanganyikiwa waktegemea mtoto amefaulu zen "no loan" inamaana kuingia chuo ni ndoto na div 2 angu...... noma xana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.