Search results

  1. F

    Ajira Online

    Habari wadau, naomba kuuliza hizi ajira online ni kweli zipo au ni kanjanja? kuna hii link hebu nipeni maoni. Top 10 Online Data Entry Jobs from Home Without Investment
  2. F

    Depons Finance Officers Post

    Habari wadau!, naomba kujulishwa kuhusu hii kampuni ya Depons nafasi za Finance Officer kwamba wako wapi na wanajihusisha na nini?.Natanguliza shukrani kwa yeyote atakaye tujuza
  3. F

    Ajira kwa mhasibu (Computerised Accounting)

    Ndugu zangu wana jamvi anahitajika kijana mhasibu mwenye at least Diploma in Accountancy anayefahamu accounting package mbili yaani Quickbooks na Tally ERP 9. Hii ni kwa ajiri ya kufundisha Short course tajwa, kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa namba 0657 844 380
  4. F

    Wana JF kwa wale wanatafuta kazi jaribuni hii

    Wana JF wenzangu kwa wale wanaotafuta kazi, kazi ni kazi bora mkono uende kinywani jaribuni hii website wanasaidia sana. BigCashJob.com Earn 10$ for every 1 minute Task. Internet Job
Back
Top Bottom